Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🚨💣 EXCLUSIVE: Chelsea send official written proposal to Barcelona for Fermín López!

Initial proposal worth €40m has been submitted this afternoon right after the game.

#CFC awaiting answer from Barça after sending a proposal today.
 
Attachments

  • Screenshot_20250830_183622_X.jpg
    Screenshot_20250830_183622_X.jpg
    401.4 KB · Views: 9
🚨💣 EXCLUSIVE: Chelsea send official written proposal to Barcelona for Fermín López!

Initial proposal worth €40m has been submitted this afternoon right after the game.

#CFC awaiting answer from Barça after sending a proposal today.
Hii barca lazima wakatae sema chelsea kama wachaga vile 😂😂
 
🚨 EXCLUSIVE: Chelsea inform Bayern Munich they will not be proceeding with proposed loan of Nicolas Jackson after injury to Liam Delap. 24yo striker travelled to Germany for #FCBayern move but #CFC requested Senegal int’l returns to London @TheAthleticFC
Ingekuwa mm ndo Jackson aisee sirudi 😂
 
Japo Enzo Fernandez kafunga lakini hajacheza vizuri sio tu hii game tangu game ya kwanza
Tukiacha ushabiki huyu ni mchezaji wa kawaida, sio mbaya wala mzuri sana ana on off nyingi, angalia jitu Caseido kati ya mechi 10 9-8 anakuwa kwenye ubora usiotia mashaka
Kibaya zaidi ni untouchable kwa Maresca
 
Dili la Jackson kwenda Bayern limekufa baada ya Delap kupata majeraha. Wanafikiria kumbakisha
 
Attachments

  • Screenshot_20250830_184732_Instagram.jpg
    Screenshot_20250830_184732_Instagram.jpg
    543.8 KB · Views: 12
🚨💣 EXCLUSIVE: Chelsea send official written proposal to Barcelona for Fermín López!

Initial proposal worth €40m has been submitted this afternoon right after the game.

#CFC awaiting answer from Barça after sending a proposal today.
Hii hela lazima ikataliwe
 
Mimi binafsi nimependa deal la Jackson kufa maana ninamkubali sana sana hii itakuwa Kama vile chalobah alivyorudishwa na angalia moto alivyowasha. Jackson na Joao Pedro pale mbele itakuwa combination nzuri sana, wote Wana energy ya kutosha na wanajua lupress haswa. Mungu amesikia kilio changu MY PLAYER IS BACK
 
🚨 EXCLUSIVE: Chelsea inform Bayern Munich they will not be proceeding with proposed loan of Nicolas Jackson after injury to Liam Delap. 24yo striker travelled to Germany for #FCBayern move but #CFC requested Senegal int’l returns to London @TheAthleticFC
Nilibashiri kitu kama hiki kitatokea. Pole yao Bayern kwa sababu walishamkaribisha na kumpasha moto za huko munich. Mungu anao mpango juu ya Jackson na Chelsea. Maybe hii itakuwa breakthrough ya Jackson kwenye ushindani na Pedro
 
KAMBI YA JACKSON WAMEGOMA KUMLUDISHA MCHEZAJI
 
Bado footwork yake sio nzuri hapigi pass za kufika na Leo nusu atoe boko kwenda kwa Tosin
Kinachmfanya Maresca ampende Sanchez ni footwork yake. Wewe katika occasion 20 hadi 30 anazofanya vizuri unamuhesabia makosa kosa moja. Makipa wengine hawawezi kabis akufanya anayofanya Sanchez. Katika EPL Sachez ni mmoja wa makipa wenye footwork nzuri. Kaangalie kwenye data
 
KAMBI YA JACKSON WAMEGOMA KUMLUDISHA MCHEZAJI
Pia leo Chelsea wamepeleka posa ya kumsajili Fermin Lopez ya euro mil 40, Barceloan wamesema wataruhusu dili kufanyika tu kama Fermin atataka iwe hivyo.
-Fabrizio Romano

Naona sasa uongozi wa Chelsea wamechanganyikiwa, Leo Georgew ndie alicheza kama Striker
 
Jackson arudi ,apewe chance .Atafaa pale Tu ,hamna shida .As long as kuna supply kubwa ya mipira .Atafunga tu na ukizingatia tuna Pedro ,Estevao .Neto , Fernandez wote hao ni wafungaji .Haina haja ya kukimbizana kusaka striker sasa hivi .Ni useless
 
Jackson ni mzuri kwenye kuleta threat kwa mabeki ,kuhold mipira na hata kutengeneza Chance kwa wenzake .Na anafanya pressing pia .Kitu ambacho delap hafanyi .Pia Jackson anaweza kucheza kwa kutokea pembeni
 
Kujiposition pia Jackson ni next level .Tatizo tu ni kutia kambani ndio ana mapungufu kiasi .Ila si mchezaji mbaya sana .Kocha ajaribu kumjenga kisaikolojia amuweke kwenye mstari atakuwa vizuri tu
 
Jackson arudi ,apewe chance .Atafaa pale Tu ,hamna shida .As long as kuna supply kubwa ya mipira .Atafunga tu na ukizingatia tuna Pedro ,Estevao .Neto , Fernandez wote hao ni wafungaji .Haina haja ya kukimbizana kusaka striker sasa hivi .Ni useless
Amekataa, akilazimishwa anaweza kuja kuharibu kambi na kucheza vibaya na bei yake kushuka. Wacha abaki huko acheze vizuri ili Bayern watupe mil 80
 
Amekataa, akilazimishwa anaweza kuja kuharibu kambi na kucheza vibaya na bei yake kushuka. Wacha abaki huko acheze vizuri ili Bayern watupe mil 80
Hiyo mil 80 kumbuka ni option Kama watamuhitaji Bayern
 
Hiyo mil 80 kumbuka ni option Kama watamuhitaji Bayern
Matarajio kule atacheza vizuri kwa sababu hatakuwa na manunguniko kuliko akilazimishwa kurudi sehemu ambayo hataki. Point ya msingi ni hiyo. akicheza vizuri wanaweza kumchukua au tukauza kwa wengine. Kumbuka wka sasa soko la striker ni gumu sana, wako wachache. Utashanga kama akicheza vizuri na Bayern wasipomtaka tunaweza muuza hata mil 100
 
Ngoja tuone hili swala la Jackson litakavyoenda ila kwenda msim mzima na Joao Pedro na Delap ilikuwa nikujipiga risasi mguu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom