Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiyo mil 80 kumbuka ni option Kama watamuhitaji Bayern
Matarajio kule atacheza vizuri kwa sababu hatakuwa na manunguniko kuliko akilazimishwa kurudi sehemu ambayo hataki. Point ya msingi ni hiyo. akicheza vizuri wanaweza kumchukua au tukauza kwa wengine. Kumbuka wka sasa soko la striker ni gumu sana, wako wachache. Utashanga kama akicheza vizuri na Bayern wasipomtaka tunaweza muuza hata mil 100
 
Ngoja tuone hili swala la Jackson litakavyoenda ila kwenda msim mzima na Joao Pedro na Delap ilikuwa nikujipiga risasi mguu,
 
Ndg yuangu habari za kupotea tumekumisi sana
Ushauri wangu ni huu
Tusiziamini sana media kwamba Chelsea ilimsubirisha. Inaweza kuwa mchezaji ndie kajisubirisha na wala Chelsea hawakuwa na dili naye
Hadi sasa Chelsea haijawahi kupeleka posa zaidi ya mipasho ya mdomo tu.
Xavi Simon angekuja kuwa backup ya Palmer kwa sababu hawezi kucheza LW na striker role ina wenyewe. Sasa mchezaji wa Backup kumnunua kwa mil 60 sio fair.
Pia nasikia Maresca anampenda Fermin Lopez zaidi ya Xavi SimonsTusubiri kwanza tusiwe na harakla ya kuhukumu
Salama kabisa lembu, Nilikuwa napita japo nilikuwa sichangii
 
Hii hapa ratiba kamili ya mechi za Chelsea FC kwenye hatua ya makundi ya UEFA Champions League 2025/26, ikiwa na muda wa kuanza kwa saa za GMT na Saa za Afrika Mashariki (EAT) ⏰:

📅 Ratiba ya Mechi za Chelsea – UEFA Champions League 2025/26

🏟️ Mechi📆 Tarehe🤝 Mpinzani📍 UwanjaMuda (GMT)Muda (EAT)
1️⃣17 Septemba 2025Bayern Munich 🇩🇪Ugenini19:00 GMT22:00 EAT
2️⃣30 Septemba 2025Benfica 🇵🇹Stamford Bridge19:00 GMT22:00 EAT
3️⃣22 Oktoba 2025Ajax 🇳🇱Stamford Bridge19:00 GMT22:00 EAT
4️⃣5 Novemba 2025Qarabag 🇦🇿Ugenini19:00 GMT22:00 EAT
5️⃣25 Novemba 2025Barcelona 🇪🇸Stamford Bridge20:00 GMT23:00 EAT
6️⃣9 Desemba 2025Atalanta 🇮🇹Ugenini20:00 GMT23:00 EAT
7️⃣21 Januari 2026AEP Pafos 🇨🇾Stamford Bridge20:00 GMT23:00 EAT
8️⃣28 Januari 2026Napoli 🇮🇹Ugenini20:00 GMT23:00 EAT

📌 Maelezo Muhimu

  • Timu 8 za juu zitafuzu moja kwa moja kwa hatua ya mtoano (Round of 16).
  • Nafasi ya 9–24 zitacheza mchujo wa nyumbani na ugenini mwezi Februari.
  • Nafasi ya 25–36 zitatolewa moja kwa moja.
Ratiba yetu ya UCL kwa saa za UK
1756578538286.png
 
Mpaka tumefikia ya kupeleka ofa Barce basi nahisi kutakuwa na matumain kutoka kwa Fermin, Ngoja tusubir maamuzi ya Fermin
 
Nicolas Jackson amegoma kurudi na Didie Drogba akaunga mkono
1756579430560.png
 
🚨 Alejandro Garnacho apiga pozi maarufu ya kusherehekea bao aliyokuwa akiitumia akiwa Man United — sasa akiwa mchezaji mpya wa Chelsea! 💙

Amekamilisha uhamisho wa £40m na kusaini mkataba wa miaka saba.

Garnacho anasema mwenyewe:

🗣️ “Kujiunga na mabingwa wa dunia ni jambo maalum – sisi ni timu bora duniani! Nimefurahi sana kuwa hapa,” amesema Garnacho.

🔥 Chelsea wanajenga kitu kikubwa. #GarnachoToChelsea #CFC
1756580321563.png
 
Dili la Jackson kwenda Bayern limekufa baada ya Delap kupata majeraha. Wanafikiria kumbakisha

Ila sijawahi kuona mchezaji mbinafsi na asiye na maamuzi sahihi kama Nicolas Jackson. Chelsea haijawahi kumkataa. Amepewa miaka miwili akiwa boss wa nafasi yake, akicheza kila wiki bila presha. Sasa timu imesajili washindani wa kumpa changamoto, badala ya kupambana, amekasirika na kutaka kuondoka.

Chelsea ikamkubalia, ikamwekea bei kubwa—lakini badala ya kuonyesha shukrani, amejiona kama Messi, akaongeza kiburi juu. Timu inazama, tunahitaji msaada, lakini yeye anafurahia kuzama kwa jahazi. Kagoma kurudi, wakati hata ule ulikuwa ni mkopo tu bila obligation ya kumnunua.

Chelsea wako sahihi. Kama ni hivyo, Bayern Munich walipe hiyo milioni 80 tuachane na huyu mwoga na mbinafsi. Nasema hivi kwa hasira, kwa sababu wakati mashabiki wengine walimuita “takataka,” sisi tulimtetea kwa nguvu zote. Tulimwamini. Tulimpenda.

A real coward. Sijui kama angekuwa kwenye nafasi ya Trevoh Chalobah, angefanyeje. God forbid.

Chelsea wanapaswa kutumia muda huu kulazimisha Bayern Munich wamnunue kabisa, au waweke clause ya obligation to buy—ili tuachane naye kabisa. Hatufai tena.
 
Hiyo mil 80 kumbuka ni option Kama watamuhitaji Bayern
Huu ni muda muafaka wa kuwalazimisha Bayuern wafanye Obligation to buy. no way hatuwezi tena msimu ujao kuja kuendan na huy lijinga kiasi hiki
 
Huyo takataka mtajua namna mtafanya maana wewe ndio kiongozi wa kutetea matakataka.
Ila sijawahi kuona mchezaji mbinafsi na asiye na maamuzi sahihi kama Nicolas Jackson. Chelsea haijawahi kumkataa. Amepewa miaka miwili akiwa boss wa nafasi yake, akicheza kila wiki bila presha. Sasa timu imesajili washindani wa kumpa changamoto, badala ya kupambana, amekasirika na kutaka kuondoka.

Chelsea ikamkubalia, ikamwekea bei kubwa—lakini badala ya kuonyesha shukrani, amejiona kama Messi, akaongeza kiburi juu. Timu inazama, tunahitaji msaada, lakini yeye anafurahia kuzama kwa jahazi. Kagoma kurudi, wakati hata ule ulikuwa ni mkopo tu bila obligation ya kumnunua.

Chelsea wako sahihi. Kama ni hivyo, Bayern Munich walipe hiyo milioni 80 tuachane na huyu mwoga na mbinafsi. Nasema hivi kwa hasira, kwa sababu wakati mashabiki wengine walimuita “takataka,” sisi tulimtetea kwa nguvu zote. Tulimwamini. Tulimpenda.

A real coward. Sijui kama angekuwa kwenye nafasi ya Trevoh Chalobah, angefanyeje. God forbid.

Chelsea wanapaswa kutumia muda huu kulazimisha Bayern Munich wamnunue kabisa, au waweke clause ya obligation to buy—ili tuachane naye kabisa. Hatufai tena.
 
Mkuu kuanzia leo weka akili mwako, Enzo ni mchezaji wa kawaida sana. Hilo takataka usije ukalipa imani saba.
Japo Enzo Fernandez kafunga lakini hajacheza vizuri sio tu hii game tangu game ya kwanza
 
Mkuu kuanzia leo weka akili mwako, Enzo ni mchezaji wa kawaida sana. Hilo takataka usije ukalipa imani saba.
Nakupinga mkuu Enzo sio mchezaji wa kawaida ni kombe la Dunia winner angekuwa ni wakawaida Chelsea isingetoa pound 100m kumsajili na pia kumbuka kwenye hiyo michuano alishinda mchezaji bora kijana.Enzo Hana ile fitness nimeliona hili tangu pre-season atakaa sawa mechi zinavyozidi kwenda
 
Sioni mantiki ya kumrudisha mchezaji ambaye hana nia ya kuchezea Chelsea. Timu inaweza kushinda ligi bila Nicolas Jackson—kama Man City walivyofanya. Huu ni uamuzi dhaifu kutoka kwa uongozi wa Chelsea na kocha mkuu. Maresca anatakiwa kusema wazi: Jackson hahitajiki klabuni. 🔵⚽
1756596740131.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom