Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa maoni yangu nisingependa Gernacho aje Chelsea sio kwasababu ni mchezaji mmbaya la hasha ni mchezaji mzuri ila Nina sababu za msingi kwanini asisajiliwe Chelsea kumbuka Chelsea itamsajili Xavi Simon, kuwasajili hawa wote wawili ina maana upande wa winger wa kushoto kutakuwa Gittens na Gernacho na upande wa winger wa kulia kutakuwa na Pedro Neto na Estevao kwa maana hiyo nafasi ya Xavi Simon itakuwa lazima agombanie na Cole Palmer kitu ambacho itakuwa akimake sense mchezaji mzuri kiasi kile awe bench maker so Chelsea inabidi isimsajili kabisa Gernacho ili Xavi Simon apate nafasi ya kutosha kwenye kikosi cha Kwanza badala yake ni Bora tusajili kipa au beki wa kati wa kulia tutakuwa tumefanya maamuzi mazuri zaidi.
Kuna kitu unamiss ndg
Hakuna mchezaji wa nafasi moja. Marseca anataka akiwa na wachezaji wote 25-30 aweze kufanya internal rotation bila kutoa wachezaji wengi
Kushoto Gitten na Garnancho akija ni LW fixed na Neto n pia ni RW au LW fixed
Hao wengine ni maltipurpose
Palmer mfano anaweza kucheza nafasi zote za kushambulia isipokuwa Striker
Simons anaweza kucheza nafasi zote za kusmabulia
Pedro anaweza kucheza nafaso zote za kusmabuloia kama Simons
Estevao Willian anaweza kucheza nafasi zote za kushambulia isipokuwa Striker kama Palmer
Kwa mtindo huu majeruhi yeyote kamwe hazitaweza kuiadhiri Chelsea
Kumbuka Kocha alihitaji washambuliaji tisa na usajili wa Garnacho na Simons ndio utakamilisha washambuliaji tisa:
  1. Nicolas Jackson– Anaendelea kuwa sehemu ya kikosi licha ya tetesi za kuhama
  2. Liam Delap – Mchezaji mpya aliyeonyesha uwezo mkubwa kwenye Kombe la Dunia la Klabu
  3. Joao Pedro – Anaongeza chaguo la ushambuliaji na uwezo wa kumalizia
  4. Pedro Neto – Ana uzoefu wa EPL na kasi ya kuvunja ngome
  5. Estevao Willian – Chipukizi wa Kibrazil mwenye ubunifu na uwezo wa kupenyeza ngome ya maadui
  6. Cole Palmer – Mchezaji wa kiungo wa mbele mwenye ubunifu na pasi za mwisho
  7. Jamie Gittens – Winga mchanga mwenye kasi na uwezo wa kuchanganya mabeki
  8. Xavi Simons – Chelsea wanasubiri kuuza wachezaji (Hasa Christopher Nkunku) ili waweze kumsajiuli
  9. Alejandro Garnacho – Chelsea wanategemea kumnunua mwishoni mwa dirisha la usajili
 
Ina maana hawataki kuhama wanatamani wamalize mikataba yao wakiwa hapohapo ilmradi wanalipwa mishahara minono bila kufanya kazi? Basi hili ni tatizo kubwa mkuu.
Wengine naoan watakuwa tayari ila hatuwezi kujua kwa sababu ofa kwa Nkunku na Chilwell haijatokea. Kwa Sterling ndio naogopa kusema hatakubali kushusha mzigo wake kama Sancho
 
Swali je kweli Timu yetu imeimalika sana kwa mbio za EPL? Maana naona tuna rundika tu wachezaji swali je kweli mwalimu atajibu ma swali ya mashabiki mwezi wa 12 au mwez 5 ndio atajibu vizuri ???
 
Captain Pulisic alikuwa majeruhi wa kudumu ndani ya Chelsea FC ila tangu ahamie AC Milan FC anaupiga mwingi hadi unatoka nnje bila ya kuwa chronic injury player kama alivyokuwa Chelsea FC.

Kibongo Bongo ungesikia Wachezaji wa Chelsea FC walikuwa wanamroga ila Ulaya hawana hizi -perceptions.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Natamani yule daktari wetu aliyeshauri Lukaku akatwe mguu ,Ashauri tena Fofana na Lavia wakatwe miguu yote miwili maana ni useless players , wachezaji wa mechi za vitanda vya wodini ,sijui huwa wanazocheza na wauguzi ,washenzi hawa wauzwe
 
Yule Fofana ndio takataka mkubwa pale Chelsea na tulipigwa bei mbaya sana
Natamani yule daktari wetu aliyeshauri Lukaku akatwe mguu ,Ashauri tena Fofana na Lavia wakatwe miguu yote miwili maana ni useless players , wachezaji wa mechi za vitanda vya wodini ,sijui huwa wanazocheza na wauguzi ,washenzi hawa wauzwe
 
Kuna kitu unamiss ndg
Hakuna mchezaji wa nafasi moja. Marseca anataka akiwa na wachezaji wote 25-30 aweze kufanya internal rotation bila kutoa wachezaji wengi
Kushoto Gitten na Garnancho akija ni LW fixed na Neto n pia ni RW au LW fixed
Hao wengine ni maltipurpose
Palmer mfano anaweza kucheza nafasi zote za kushambulia isipokuwa Striker
Simons anaweza kucheza nafasi zote za kusmabulia
Pedro anaweza kucheza nafaso zote za kusmabuloia kama Simons
Estevao Willian anaweza kucheza nafasi zote za kushambulia isipokuwa Striker kama Palmer
Kwa mtindo huu majeruhi yeyote kamwe hazitaweza kuiadhiri Chelsea
Kumbuka Kocha alihitaji washambuliaji tisa na usajili wa Garnacho na Simons ndio utakamilisha washambuliaji tisa:
  1. Nicolas Jackson– Anaendelea kuwa sehemu ya kikosi licha ya tetesi za kuhama
  2. Liam Delap – Mchezaji mpya aliyeonyesha uwezo mkubwa kwenye Kombe la Dunia la Klabu
  3. Joao Pedro – Anaongeza chaguo la ushambuliaji na uwezo wa kumalizia
  4. Pedro Neto – Ana uzoefu wa EPL na kasi ya kuvunja ngome
  5. Estevao Willian – Chipukizi wa Kibrazil mwenye ubunifu na uwezo wa kupenyeza ngome ya maadui
  6. Cole Palmer – Mchezaji wa kiungo wa mbele mwenye ubunifu na pasi za mwisho
  7. Jamie Gittens – Winga mchanga mwenye kasi na uwezo wa kuchanganya mabeki
  8. Xavi Simons – Chelsea wanasubiri kuuza wachezaji (Hasa Christopher Nkunku) ili waweze kumsajiuli
  9. Alejandro Garnacho – Chelsea wanategemea kumnunua mwishoni mwa dirisha la usajili
Point ni kwamba kukiwa kuna kugombania namba wengi Kuna wachezaji wengine watakosa chance kabisa na kupelekea wakose furaha na ndio maana nikapendekeza hivyo
 
Swali je kweli Timu yetu imeimalika sana kwa mbio za EPL? Maana naona tuna rundika tu wachezaji swali je kweli mwalimu atajibu ma swali ya mashabiki mwezi wa 12 au mwez 5 ndio atajibu vizuri ???
Nakusahihisha hatujarundika ila tumemsajili wachezaji wenye ubora kwa mtazamo board ya usajili haina deni kabisa kwa mashabiki wamefanya kazi ya vizuri kinachobaki ni kwa kocha tu but Nina Imani mkubwa kwa Enzo Maresca kama ameweza kuweka team sawa kwa wakati mgumu tulikuwa tunapitia Nina uhakika atatupa ubingwa either EPL au Champions league
 
Natamani yule daktari wetu aliyeshauri Lukaku akatwe mguu ,Ashauri tena Fofana na Lavia wakatwe miguu yote miwili maana ni useless players , wachezaji wa mechi za vitanda vya wodini ,sijui huwa wanazocheza na wauguzi ,washenzi hawa wauzwe
Tunawachezaji wazuri sana hata wao pia wanajua ukizembea nafasi yako inachukuliwa
 
Ndio maana sasa tunakataa kusajili wachezaji wa mishahara mikubwa.

Wachezaji wa Chelsea Wanaolipwa Mshahara Mkubwa (USD kwa Wiki) na kufanya uuzaji wao kuwa mgumu:

MchezajiMshahara kwa Wiki (USD)Mkataba UnaishaChangamoto za Kuuzwa / Kupelekwa kwa Mkopo
Christopher Nkunku~$250,0002029Majeraha ya mara kwa mara, mshahara mkubwa, klabu chache zinazomwinda
Raheem Sterling~$420,0002027Hana nafasi kikosini, umri mkubwa, kiwango kimeshuka, mshahara wa juu sana
Ben Chilwell~$260,0002027Hana nafasi kikosini, majeraha, mshahara mkubwa
Wesley Fofana~$260,0002029Majeraha ya muda mrefu, gharama kubwa ya usajili, mshahara wa juu
Hivi kati ya Ganarcho na Sancho nani bora? Labda mm nimeanza kuzeeka huenda akili zimechoka.
 
🚨🔵 Armando Broja kwenda Burnley (kwa mkataba wa kudumu) "HERE WE GO" anamfuata Marc Guiu kwenda Sunderland (mkopo) na João Félix kwa Al Nassr…

…Chelsea haitakoma, huku Nkunku na Sterling pia wakitarajiwa kuondoka msimu huu wa joto.
1754090402630.png
 
Kocha Enzo Maresca anaripotiwa kutaka jumla ya wachezaji 15 waondolewe kwenye kikosi kupitia mauzo au mikopo, kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika kama Legit.ng na ripoti ya mwandishi wa Italia Nicolò Schira (1 Agosti 2025). Ingawa taarifa hizi hazijathibitishwa rasmi, inasemekana Maresca amewasilisha mpango huu kwa uongozi kama sehemu ya itifaki ya ndani ya klabu, akilenga kuunda kikosi kidogo chenye morali na ari ya juu kwa msimu wa 2025/26. Baadhi ya wachezaji tayari wameshauzwa au kutolewa kwa mkopo.

Orodha ya wachezaji waliotajwa:
  1. Christopher Nkunku
  2. Axel Disasi
  3. Lesley Ugochukwu
  4. Ben Chilwell
  5. Raheem Sterling
  6. Alfie Gilchrist
  7. Carney Chukwuemeka
  8. Marc Guiu
  9. Renato Veiga
  10. Aaron Anselmino
  11. Armando Broja
  12. David Datro Fofana
  13. João Félix
  14. Djordje Petrovic
  15. Noni Madueke
  16. Mathis Amougou
  17. Mike Penders
  18. Kendry Páez
  19. Mamadou Sarr
 
Hawa 9 wameshauzwa au kutolewa mkopo
  1. Marc Guiu
  2. Armando Broja
  3. João Félix
  4. Djordje Petrovic
  5. Noni Madueke
  6. Mathis Amougou
  7. Mike Penders
  8. Kendry Páez
  9. Mamadou Sarr
Bado 10 wanatakiwa kupunguzwa
  1. Christopher Nkunku
  2. Axel Disasi
  3. Lesley Ugochukwu
  4. Ben Chilwell
  5. Raheem Sterling
  6. Alfie Gilchrist
  7. Carney Chukwuemeka
  8. Renato Veiga
  9. Aaron Anselmino
  10. David Datro Fofana
 
Kocha Enzo Maresca anaripotiwa kutaka jumla ya wachezaji 15 waondolewe kwenye kikosi kupitia mauzo au mikopo, kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika kama Legit.ng na ripoti ya mwandishi wa Italia Nicolò Schira (1 Agosti 2025). Ingawa taarifa hizi hazijathibitishwa rasmi, inasemekana Maresca amewasilisha mpango huu kwa uongozi kama sehemu ya itifaki ya ndani ya klabu, akilenga kuunda kikosi kidogo chenye morali na ari ya juu kwa msimu wa 2025/26. Baadhi ya wachezaji tayari wameshauzwa au kutolewa kwa mkopo.

Orodha ya wachezaji waliotajwa:
  1. Christopher Nkunku
  2. Axel Disasi
  3. Lesley Ugochukwu
  4. Ben Chilwell
  5. Raheem Sterling
  6. Alfie Gilchrist
  7. Carney Chukwuemeka
  8. Marc Guiu
  9. Renato Veiga
  10. Aaron Anselmino
  11. Armando Broja
  12. David Datro Fofana
  13. João Félix
  14. Djordje Petrovic
  15. Noni Madueke
  16. Mathis Amougou
  17. Mike Penders
  18. Kendry Páez
  19. Mamadou Sarr
Nakumbuka alipokuja Marc Guiu nyimbo ziliimbwa sana leo hii wanatolewa kwa mkopo tunahitaji kununua mchezazji atatumika
 
Nakumbuka alipokuja Marc Guiu nyimbo ziliimbwa sana leo hii wanatolewa kwa mkopo tunahitaji kununua mchezazji atatumika
Ilikuwa awe direct kwenye timu lakini ilionekana anahitaji exposure ambayo Chelsea hataipata. Sio kosa la timu alipewa nafasi ila haikuwa nzuri. Naamini akipata nafasi ya kucheza Sunderland atakuwa mchezaji mzuri sana
 
Bado lavia, anasifiwa sana humu ila mm nasema tangu kitambo pale hamna kitu
Wewe hujui mpira Lavia mtu na nusu labda umlaumu kwa kuwa injury lakini si kwa kiwango uwanjani, anapokuwa uwanjani anafanya mabeki zetu na kipa wasifanye makosa kwa sababu anafanya team itulie ni mchezaji ambaye huwezi mkupress, anajiamini akiwa na mpira, anaweza kupokea mpira katika mazingira yoyote na mpira ukawa kwenye imaya yake. Kwanini ujiulizi tukicheza dhidi ya team kubwa kwanini Katikati lazima acheze Lavia na Caicedo na sio Caicedo na Enzo? na badala yake Enzo anapelekewa juu sambamba na Palmer Kuna kuwa number 10 wawili
 
Bado lavia, anasifiwa sana humu ila mm nasema tangu kitambo pale hamna kitu
Wewe hujui mpira Lavia mtu na nusu labda umlaumu kwa kuwa injury lakini si kwa kiwango uwanjani, anapokuwa uwanjani anafanya mabeki zetu na kipa wasifanye makosa kwa sababu anafanya team itulie ni mchezaji ambaye huwezi mkupress, anajiamini akiwa na mpira, anaweza kupokea mpira katika mazingira yoyote na mpira ukawa kwenye imaya yak
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom