Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,780
- 9,148
Dili la simons halikamiliki tu?
Jackson no ng'ombendg acha mhemko
Fofana, Lavia na Jackson ni wachezaji wazuri sana
Jackson kama atauzwa ni kwa sababu ya sajili mpya ya Delap na Pedro ila hatauzwa bei chee, hii nakuhakikishia
Jackson akiunlock clinbicality kwenye neti atakuwa ni striker wa 100+ fee
Lavia na Fofana wanapatiwa dawa ya majeruhi msimu ujao kama ilivyokuwa kwa James
Hall ni squad playuer mzuri, karidhika kuwa backup na akiingizwa anacheza vizuri na kwa kujitoa
Uzuri wake upo wapi? wakati muda mwingi yupo kitandani, hata Lavia anatukaba sana. James nae ni swala la muda tu atarudi Mloganzila.Ila Fofana ni mchezaji mzuri
We kuna muda akaunti yako inadukuliwa sio siri.ndg acha mhemko
Fofana, Lavia na Jackson ni wachezaji wazuri sana
Jackson kama atauzwa ni kwa sababu ya sajili mpya ya Delap na Pedro ila hatauzwa bei chee, hii nakuhakikishia
Jackson akiunlock clinbicality kwenye neti atakuwa ni striker wa 100+ fee
Lavia na Fofana wanapatiwa dawa ya majeruhi msimu ujao kama ilivyokuwa kwa James
Hall ni squad playuer mzuri, karidhika kuwa backup na akiingizwa anacheza vizuri na kwa kujitoa
Kwani ujui ubora wa Lavia na Fofana basi utakuwa huujui mpira vizuri hata hao wakiwa injury still tunawachezaji wanaocover nafasi zao Sasa hiyo pressure unataka wauzwe unaitoa wapi kwani wewe ndio unaowalipa mishahara yaoUzuri wake upo wapi? wakati muda mwingi yupo kitandani, hata Lavia anatukaba sana. James nae ni swala la muda tu atarudi Mloganzila.
Hawa hawana tofauti na Wanawake wazuri wasiozaa.
Kuwa mpole Sasa hivi wapo kwenye kukubaliana bei ya usajiliDili la simons halikamiliki tu?
Wapi nimeandika kuhusu mishahara?! Sisi kama mashabiki tunataka tuwaone uwanjani sio wodini, huo uwezo wa Fofana umeuona wapi? Wakat muda wote yupo wodini.Kwani ujui ubora wa Lavia na Fofana basi utakuwa huujui mpira vizuri hata hao wakiwa injury still tunawachezaji wanaocover nafasi zao Sasa hiyo pressure unataka wauzwe unaitoa wapi kwani wewe ndio unaowalipa mishahara yao
Ubora wake upo wapi? Kitandani? Fofana ni mchezaji mzuri ila majeruhi yake ni sababu tosha kabisa hatufai tangu asajiliwe hajawahi maliza msimu kwa thamani ya pesa alosajilia fofana ni hasaraKwani ujui ubora wa Lavia na Fofana basi utakuwa huujui mpira vizuri hata hao wakiwa injury still tunawachezaji wanaocover nafasi zao Sasa hiyo pressure unataka wauzwe unaitoa wapi kwani wewe ndio unaowalipa mishahara yao
Mtumishi hewa😂😂😂Naitwa Wesley Fofana nimesajiliwa THE BLUES kuja kula mshahara wa bure. Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam. View attachment 3420449
Sio msimu sema mechi tatu, na akicheza anakimbia tu hovyo uwanjani kama mwehu na kusimama juu ya mpira. Leo tunaambiwa ana kiwasha eti!! Labda anakiwasha wodini.Ubora wake upo wapi? Kitandani? Fofana ni mchezaji mzuri ila majeruhi yake ni sababu tosha kabisa hatufai tangu asajiliwe hajawahi malixa msimu
Eti na Silva naye yumo 😃😃😃. Haya yalikuwa mashindano ya kueleweka ama kibonanza kilichochangamka?Marc Cucurella, Enzo Fernandez, Pedro Neto na Cole Palmer kwenye timu bora kabisa ya Dunia
View attachment 3405814
Mbona wewe unawashwa washwa kuja kwenye uzi usiokuhusu badala ya kwenda kwenye uzi lenu la Liverkuku?Jadilini timu lenu ya Liverpool hayawahusu
Zidi ❎ Dhidi ✅Endelea kuota na wivu zidi ya timu kubwa Liverpool hawaongei Sanaa wao ni kazi tu we endelea kupiga ramli
Safi sana .Nasikia Chelsea wantaka kumuuza chalobah 😭😭😭
Chalobah ni beki wa kawaida sana, ingekuwa Gusto ningekubaliana na kauli yako.Dah ila Chelsea wanamkosea sana huyu jamaa
Captain Pulisic alikuwa majeruhi wa kudumu ndani ya Chelsea FC ila tangu ahamie AC Milan FC anaupiga mwingi hadi unatoka nnje bila ya kuwa chronic injury player kama alivyokuwa Chelsea FC.Bora ligi ianze ili tuanze kukimbiza watu...hivi majeruhi ya Lavia na Fofona ni ugonjwa gani usiyopona?