lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Haijawahi kuwepo sasa tunasubiri dili lipi? Taarifa ziliopo ni za uzushi mtupu!Ok mkuu. Let us wait and see whether the deal will go or fall through.
Haijawahi kuwepo sasa tunasubiri dili lipi? Taarifa ziliopo ni za uzushi mtupu!Ok mkuu. Let us wait and see whether the deal will go or fall through.
Ila we jamaa mbishi hakuna hiyo taarifa mkuu usiwe unafuatilia taarifa za page za vichochoroni we fuatilia Kama Fabrizio romano, sky sports au nizaar KinsellaOk mkuu. Let us wait and see whether the deal will go or fall through.
Sawa mkuu; nimekupata chifu.Ila we jamaa mbishi hakuna hiyo taarifa mkuu usiwe unafuatilia taarifa za page za vichochoroni we fuatilia Kama Fabrizio romano, sky sports au nizaar Kinsella
Hawa wakicheza pamoja watakuwa moto sana mkuu.
Malegendary wa Chelsea wanasema Sanchez atoshi kama tunataka makombe ni lazima Chelsea ifanye namna kumpata kipa mwingineHuyu jamaa kama unamfuatilia anazo kasoro nyingi kuliko hata za Robert Sanchez, wakati sanchez yeye udhaifu wake ni kukurupuka saa nyingine sio kila mara, huyu Gianluigi Donnarumma ni mdhaifu kwenye
Kucheza kutoka nyuma na distributions
Sio mtulivu langoni
Hawezi kucheza mipira ya juu pamoja na urefu wote huo wa mita 1.96
Hawezi kureact na kudaka mip;ira ya pembneni fuatilia mabao mawili ya Palmer
Hawezi kucheza mipira ya kona vizuri
Kujniamini kupita kiasi na hivyo kumuondolea umakini golini hasa wakati wa counter na presha ya kona kich au frfee kick nk
Inconsistency kwenye timu yake ya PSG na timu ya Taifa la Italia
Agosti 3: WataripotiWachezaji wa Chelsea wanaanza kuripoti lini?
Hiyo tarehe 6 inamaana kutakuwa na paradeAgosti 3: Wataripoti
Tarehe 6 Agosti: Sherehe ya Kutwaa Kombe la Dunia na Trump kaalikwa hapo Stamford Bridge
Agosti 8: Chelsea vs Leverkusen
Agosti 10: Chelsea vs Milan
Sawa mkuu tumekuelewa. Hili kombe tangu liliponyanyuliwa na Rais wa dunia niliona kweli lina thamani kubwa ulimwenguni. Jamani wadau wa Asenali na Manure mnaopita humu naomba mtambue kuwa hili sio kumbe dunia bali ni KOMBE LA ULIMWENGU. Chelsea ndiyo timu ya kwanza hapa ulimwenguni kushinda hili kombe. Kama kuna mtu hataki asage sumu anywe au abebe mimba azae mtoto amuite Chelsea.Tarehe 6:- Baada ya sherehe Kombe litapandishwa kwenye ndege ya Air force one, ndege itazungusha kombe dunia nzima, mashabiki wote duniani kote washuhudie Bingwa anapita kibabe
Ndio maana sasa tunakataa kusajili wachezaji wa mishahara mikubwa.Ndugu matajiri wa London naona tumepigwa na kitu kizito hapa. Huyu Nkunku ni hasara. Hakuna hata timu inayotaka kumnunua.
![]()
Inter reject chance to sign Christopher Nkunku from Chelsea with Serie A giants confident of bridging €5m gap to land Ademola Lookman from Atalanta | Goal.com
Inter have prepared a new offer for Ademola Lookman after deciding against pursuing a move for Christopher Nkunku.www.goal.com
| Mchezaji | Mshahara kwa Wiki (USD) | Mkataba Unaisha | Changamoto za Kuuzwa / Kupelekwa kwa Mkopo |
|---|---|---|---|
| Christopher Nkunku | ~$250,000 | 2029 | Majeraha ya mara kwa mara, mshahara mkubwa, klabu chache zinazomwinda |
| Raheem Sterling | ~$420,000 | 2027 | Hana nafasi kikosini, umri mkubwa, kiwango kimeshuka, mshahara wa juu sana |
| Ben Chilwell | ~$260,000 | 2027 | Hana nafasi kikosini, majeraha, mshahara mkubwa |
| Wesley Fofana | ~$260,000 | 2029 | Majeraha ya muda mrefu, gharama kubwa ya usajili, mshahara wa juu |
Hakutakuwa na Paradeitakuwa ni Exclusive event ya timu ya wanaume na wanawake ambapo makombe yote matano ambazo hizi timu zilishinda msimu uliopita zitaonyeshwaHiyo tarehe 6 inamaana kutakuwa na parade
Kocha na wataalamu wake anasema anatosha na amebeba naye makombe mawili tayari, sasa wewe hao malegend wanatoka wapi? Sanchez ni bonge la kipa. kapata glovu ya dunia ebu toeni kejeli zenu za wivu tu. Sanchez ataendelea kuwepo hadi hapo Mike Penders atakapokuwa tayari kudakia timu kubwaMalegendary wa Chelsea wanasema Sanchez atoshi kama tunataka makombe ni lazima Chelsea ifanye namna kumpata kipa mwingine
Ina maana hawataki kuhama wanatamani wamalize mikataba yao wakiwa hapohapo ilmradi wanalipwa mishahara minono bila kufanya kazi? Basi hili ni tatizo kubwa mkuu.Ndio maana sasa tunakataa kusajili wachezaji wa mishahara mikubwa.
Wachezaji wa Chelsea Wanaolipwa Mshahara Mkubwa (USD kwa Wiki) na kufanya uuzaji wao kuwa mgumu:
Mchezaji Mshahara kwa Wiki (USD) Mkataba Unaisha Changamoto za Kuuzwa / Kupelekwa kwa Mkopo Christopher Nkunku ~$250,000 2029 Majeraha ya mara kwa mara, mshahara mkubwa, klabu chache zinazomwinda Raheem Sterling ~$420,000 2027 Hana nafasi kikosini, umri mkubwa, kiwango kimeshuka, mshahara wa juu sana Ben Chilwell ~$260,000 2027 Hana nafasi kikosini, majeraha, mshahara mkubwa Wesley Fofana ~$260,000 2029 Majeraha ya muda mrefu, gharama kubwa ya usajili, mshahara wa juu
Hiyo tarehe 6 inamaana kutakuwa na parade
Si ni hao hao pia waliowasajili koulibaly, sterling, MaduekeUnataka kutuambia watu professional walioajiriwa ambao ni sporting directors wawili + Maresca hawajui wanachokifanya kwenye usajili?