lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Maresca hana mpango naye msimu ujao na ndio maana Xavi Simons anasajiliwaMbona simuoni Nkunku wakati yupo sana kwa ajili ya fa cup
Maresca hana mpango naye msimu ujao na ndio maana Xavi Simons anasajiliwaMbona simuoni Nkunku wakati yupo sana kwa ajili ya fa cup
George anapelekwa mkopo bado hajakomaa kwa mtizamo wa kocha, muwe mnafuatilia vinavyojiri kule darajani. Maresca anahitaji timu ya wachezaji wachache wenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi ili kutoa flexibility na idadi isizidi 25 ila naona inaweza kufika hadi 27Mkuu huo upande wa winger wa kushoto tuna George na Gittens wanatosha kabisa, tunatakiwa kumpa nafasi sana huyu dogo kuliko kuanza kumuharibu kwa kumpeleka kwa mkopo wakati unaona kabisa potential yake ukiacha hivyo wote Neto na Estevao wanaweza pia kucheza kwenye LW plus Palmer bila kusahau pia Joao Pedro anaweza pia kucheza kwenye Hilo eneo in short tuna wachezaji wengi wanaoweza kucheza both winger ya kulia na kushoto (Gittens, George, Neto, Estevao, Joao Pedro, Palmer,Xavi Simons na Jackson Kama hatouzwa) Maresca ana option nyingi na ya kutosha huyo Garnacho anakuja kufanya Nini? Huu upuuzi ndio unaopelekea tuwe na mlundiko wa wachezaji wengi bila umuhimu wowote, mtu Kama Estevao mpira wake utakuwaje Kama hatopata nafasi ya kutosha kwasababu ya kulundika wachezaji wengi sisemi Garnacho ni mchezaji mbaya la hasha! Ila ninachopinga kufanya usajili bila kuzingatia mahitaji ya team hiyo pesa ya kumsajili Garnacho si Bora hata tumsajili kipa mwingine au beki wa kati wa kulia mzoefu
Mlundikano uko wapi. Ebu onyesha kwa sababu mimi nimetowa posible squad ya wachezaji 26/27 ambayo ndio standard ya kikosi kidogo kwani vikosi vyingi EPL vinazidi wachezaji 30. Hao wachezai uliowataja wana nafasi zao na nimeonyesha hapo kwenye kikosi. Hata kama Neto atacheza LW lakini nafasi yake hasa ni RW na hatuwezi kuacha kusajili LW eti kwa sababu Neto anaweza kucheza LW. Hii itakuwa ni bad decision makingMkuu huo upande wa winger wa kushoto tuna George na Gittens wanatosha kabisa, tunatakiwa kumpa nafasi sana huyu dogo kuliko kuanza kumuharibu kwa kumpeleka kwa mkopo wakati unaona kabisa potential yake ukiacha hivyo wote Neto na Estevao wanaweza pia kucheza kwenye LW plus Palmer bila kusahau pia Joao Pedro anaweza pia kucheza kwenye Hilo eneo in short tuna wachezaji wengi wanaoweza kucheza both winger ya kulia na kushoto (Gittens, George, Neto, Estevao, Joao Pedro, Palmer,Xavi Simons na Jackson Kama hatouzwa) Maresca ana option nyingi na ya kutosha huyo Garnacho anakuja kufanya Nini? Huu upuuzi ndio unaopelekea tuwe na mlundiko wa wachezaji wengi bila umuhimu wowote, mtu Kama Estevao mpira wake utakuwaje Kama hatopata nafasi ya kutosha kwasababu ya kulundika wachezaji wengi sisemi Garnacho ni mchezaji mbaya la hasha! Ila ninachopinga kufanya usajili bila kuzingatia mahitaji ya team hiyo pesa ya kumsajili Garnacho si Bora hata tumsajili kipa mwingine au beki wa kati wa kulia mzoefu
Huyo jamaa kila mchezaji anamtetea, haijalishi ni mbovu au yupo vizuri.yeye ni kusifia tu. Lavia ni mzuri sawa lakini hana msaada. Unajisifia una mke mzuri halafu hazai.Mpaka sasa lavia amefanya nn hapo Chelsea?
Mm nimeuliza lavia ameisaidia nn timu, watu wanaishia kusema jamaa anajua Ila majeraha ndo yanamrudisha nyuma 😂 nabaki kucheka tuuHuyo jamaa kila mchezaji anamtetea, haijalishi ni mbovu au yupo vizuri.yeye ni kusifia tu. Lavia ni mzuri sawa lakini hana msaada. Unajisifia una mke mzuri halafu hazai.
Hili deal likifeli nitafurahi sanaUsajili wa Alejandro Garnacho haujakaribia. Chelsea inawapa kipaumbele wachezaji wanaoondoka na Xavi Simons.
@FabrizioRomano
View attachment 3429328
Hata ka James tulisema hivyo hivyo alipokuwa anenda maheruhi kilpoa mara. Romeo Lavia hatuwezi kumuachia hivi hivi tutakuwa mabumunda wa mwisho duniani badala ya kumtafutia dawa tunakuja na masuali ya hovyo hivi ameisadia nini timu? kweli?Mm nimeuliza lavia ameisaidia nn timu, watu wanaishia kusema jamaa anajua Ila majeraha ndo yanamrudisha nyuma 😂 nabaki kucheka tuu
My point ni kuwa tayari tumejitosheleza hata asipokuja Garnacho nikakuonesha kuwa kwenye upande wa kushoto tuna Gittens lakini hata tukimtoa kwa mkopo George Kama unavyosema still Kuna Xavi Simons tumeifunga kazi na tukija upande wa kulia Kuna Neto na Estevao tumeifunga kazi tukija kwenye no 10 Enzo anaweza kucheza hapo lakini pia Kuna Palmer maana yake inatoa room kwa Lavia, Santos kucheza sambamba na Caicedo au Essugo kwa maana hiyo umuhimu wa Garnacho unakujaje hapa? Hii ndio imefanya Joao Felix anunuliwe hata msimu haujaisha katolewa kwa mkopo na now tumeuza hivyo ndio inasababushwa unnecessary signing Kama za kina GarnachoMlundikano uko wapi. Ebu onyesha kwa sababu mimi nimetowa posible squad ya wachezaji 26/27 ambayo ndio standard ya kikosi kidogo kwani vikosi vyingi EPL vinazidi wachezaji 30. Hao wachezai uliowataja wana nafasi zao na nimeonyesha hapo kwenye kikosi. Hata kama Neto atacheza LW lakini nafasi yake hasa ni RW na hatuwezi kuacha kusajili LW eti kwa sababu Neto anaweza kucheza LW. Hii itakuwa ni bad decision making
Vyanzo vya Chelsea vinasema wanataka kumpa Maresca kina cha kutosha cha kikosi cha kurotate maeneo yote ya timu saa nyingine bila hata kubadili wachezaji wa kwenye benchi.
View attachment 3429325
Anayepanga timu si SD na Kocha? au na sisi mashabiki tunapanga yetu 😀My point ni kuwa tayari tumejitosheleza hata asipokuja Garnacho nikakuonesha kuwa kwenye upande wa kushoto tuna Gittens lakini hata tukimtoa kwa mkopo George Kama unavyosema still Kuna Xavi Simons tumeifunga kazi na tukija upande wa kulia Kuna Neto na Estevao tumeifunga kazi tukija kwenye no 10 Enzo anaweza kucheza hapo lakini pia Kuna Palmer maana yake inatoa room kwa Lavia, Santos kucheza sambamba na Caicedo au Essugo kwa maana hiyo umuhimu wa Garnacho unakujaje hapa?
Kwenye hili kocha tumpe tano na pia imechangiwa na rotation anaofanya imesaidia sana lakini pia kwenye kutengeneza identity ya team, kuunganisha wachezaji kuwa kitu kimojaWakati wa huko nyuma na ikazidi wakati wa Pochettino wachezaji kuwa majeruhi kila mara. Tumpe sifa Enzo mMaresca maua yake
James alishindikana lakini msimu huu ameisaidia timu kwa mechi nyingi sana
Pedro Neto kule Wolve alikuwa ni wa kitandani mara kwa maar ila alipokuja Chelsea kacheza msimu mzima bila majeruhi.
Naamini Wesley Fofana na Romeo Lavia watapatiwa dawa msimu ujao nao majeruhi yatakoma
Historia ya Majeraja ya Pedro Neto
2020-21: Jeraha la goti - nje kwa siku 298, alikosa michezo 52.
2022–23: Alikosa michezo 27.
2023–24: Alikosa 11 kwa tatizo la misuli ya paja.
2024 - 25: Hakupata majeraha
View attachment 3429343
Hapo nimekupata umeeleza vizuriAnayepanga timu si SD na Kocha? au na sisi mashabiki tunapanga yetu 😀
Inaweza ikawa kweli Maresca hamtaki Garnacho kama ambavyo source zingine zinadai Maresca hakumtaka Joao Felix mwaka jana ila wakalazimisha
All in all ila hawa wamiliki wanasajili wachezaji wa aina mbili
1) Wale ambao kocha anawataka na ameidhinisha
2) Pia wanasajili opportunity player. Wale wachezaji wa fursa klwa maana ya aidha wako free agent kama ilivyokuwa kwa Thiago Silva au Tosin na au release clause yake iko chini kwa ilivyokuwa kwa Liam Delap na au anatakia kuondoka kwenye timu yake kama ilivyo kwa Alejanro Garnacho. Kama kweli Kocha hanja mpango na Garnacho basi kwa mil 30 huyo atakuja kuuzwa hata mil 60 hadi 70 baada ya msimu mmoja au miwili akipata minutes za kumfanya aonekane
kwan we Lemb huoni namba moja wachejazi wa 4 wote halafu kibaya zaidi kuna mchejazi kila shabiki wa Chelsea anatamani kumuona kma Estevao nilitami kuwe na kipengere kucheza kwake ni lazima wengine ndio wasubili maana naona kabisa anakwenda kutolew kwa mkopo maaana Garnacho kwa Estevao ni bora sana ila kwa ujinga wa mwalimu mweupe huyu atamuweka bench kisa upuuuz ngoja Ligi ianze ndio mtajua kuwa Timu yetu bado ni ujinga mtupuAlejandro Garancho atakuja kuwatapisha yote m,liyosema kama ilivyokuwa kwenye usajili wa Cole Palmer. Mashabiki walipinga hadi wengine wakatokwa na mapovu. Huyu Garnacho kaanzia Man U iliyooza na akiwa na umri mdogo sana, mentality yake ya kitoto. Anakuja kwenye system nyingine kabisa ambayo Maresca ameshainyoosha na akuitia adabu kwa sababu Maresca akisikia tu unalalamika hata uivunguni atakupiga ban ya haraka sana
Mimi sitaongea zaidi lakini Umuhimu wa kwanza kuliko wote wa garnacho ni LW pamoja na Jamie Gittens au mantaka Jamie Gittens acheze mwenyewe pale. Toeni majibu kwa sababu Marecsa hana mtu wa hapo
Options za winga nio hawa hapa
Wingers / Playmakers
- Jamie Gittens – Left Winger
- Alejandro Garnacho – Left Winger
- Pedro Neto – Right / Left Winger
- Estevão Willian – Right Winger / No. 10
Hata kuripoti hajaripoti na mmeshaanza kumwaga sumu. Ngoja kwanza aje halafu uone. Maresca anamjua sana Estevao na Estavao alimsalimia kwenye kombe la dunia vizuri sana kwa lile goli la kitaalamu ambaye aliyewahi kufunga goli kama hilo ni Lampard pekee yake. Huyo ni hotcake msiwe na wasiwasi. Plan ya Marecsa msimu ujao ni kufanya rotation kuhakikisha wachezaji wote 25-27 atakaobaki nao wanaridhika, Maresca anajua dhamani ya mchezaji kuwa happy na ndio maan kawatoa wote wanaolalamika na wasiofit kwenye mfumo wake. Taarifa za ndani ya Chelsea zionasema kuwa Maresca hatakuwa na Starting XI na wala hapendi kuwa nayo maana yake kila mchezi ni starting XI kupitia rotation labda tu mchezaji ashin dwe kucheza vizuri ndipo atakapotemwa benchi kwa muda mrefuKwa
kwan we Lemb huoni namba moja wachejazi wa 4 wote halafu kibaya zaidi kuna mchejazi kila shabiki wa Chelsea anatamani kumuona kma Estevao nilitami kuwe na kipengere kucheza kwake ni lazima wengine ndio wasubili maana naona kabisa anakwenda kutolew kwa mkopo maaana Garnacho kwa Estevao ni bora sana ila kwa ujinga wa mwalimu mweupe huyu atamuweka bench kisa upuuuz ngoja Ligi ianze ndio mtajua kuwa Timu yetu bado ni ujinga mtupu
Bado hajahukumiwa. Akiisha hukumiwa kifungo, itategemea ni miaka mingapi. Anaweza akahukumiwa miak michache na Chelsea ikamsubiri au akahukumiwa miaka minne akakata rufaa kama Pogba au Chelsea wakajadiliana naye kutengana kupitia win/win situation. Ila sasa bado mchezaji wa Chelsea na mkataba wake ni hadi 30 June 2031MUDYK mvuta bangi haiwezekani kuuzwa au mpaka amalize kifungo?
Yaani hata wewe na umbumbu wako wa soka ukisajiliwa Chelsea nitakutetea mbele kwa mbele 😀 😀 😀 😀Huyo jamaa kila mchezaji anamtetea, haijalishi ni mbovu au yupo vizuri.yeye ni kusifia tu. Lavia ni mzuri sawa lakini hana msaada. Unajisifia una mke mzuri halafu hazai.