Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wana mpango wa kumboreshea Cucurella makataba wake, Yuko kwenye mpango wa muda mrefu wa Mradi. Hakuna mazunguzo yeyeote na Al-Nassr FC
-Fabrizio Romano
 
Ninyi hamjui kumtambua mchezaji mzuri. Mnampima Jackson kwa makosa yake ila uzuri wake mnaweka kapuni
Didier Drogba kafunga magoli 10 msimu wake wa kwanza akiwa na miaka 25
Msimu wake wa pili kafunga goli 12 akiwa na miaka 26
Jackson msimu wake wa kwanza akiwa na miaka 22 kafunga goli 15 Na kafunga goli 10 msimu wake wa pili akiwa na miaka 23
Huyu bado anakuwa na bado anajifunza vitu vingi kwan i yeye hakuhuidhuria academy kama walivyo wengine, katolewa tu kwenye mipira ya matambara Afrika akapelekwa ulaya kuchjeza soka
Namuona Jackson kama mchezaji amabaye soka l;ake litalipuka ndani ya miaka michache ijayo na akifikia hapo atakuwa hotcase

Jackson anazo sifa ambazo ni nadra kukuta kwa washambuliaji wengine
  1. Uwezo wa kukaa kwenye nafasi muhimu za kushambulia
  2. Uwezo wa kuserereka na mpira na ball control ya hali ya njuu
  3. Uwezo wa kuwapita mabeki kirahisi na kuwafanya wawe busy na hivyo kuweka spaces kwa wenzake
  4. Uwezo wa kuwapita mabeki kwenye 1V1
  5. Uwezo wa kukaa na mpira, ksuubiri wenzake kuaka vizuri na kupasi hata kama ni kwenye presh akubwa
  6. Uwezo wa kuwachezesha wenzake
  7. Uwezo wa kupress na kusaidia kukaba, hakai tu uwanjani kuzubaa kama akina mAdueke
  8. Uwezo wa kucheza wide, kwenye kiungo
  9. Kufit kwenye mfumo wa posseional football na counter attack kwa urahisi
  10. Ana maiak 23 tu bado anao mmuda wa kurekebisha hayo madhaifu ya kwenye kulenga shabaha golini
  11. Ameoneysha dalili nzuri ya kufanya maamuzi sahihi uwanjuani
  12. Jackson ni mmoja wa washambuliaji waliotengeneza nafasi nyingi msimu uliopita
  13. Ndio maana Chelsea hawako tayari kumtoa kwa pesa ndogo na hawana presha ya kumuuza kwa sababu wanajua alichonacho Jackson ni kikubwa kuliko madhaifu yake
Mwamba umemaliza kila kitu sijui kwanini wanamchukulia poa Jackson
 
Ndugu matajiri wa London hili dili limekaaje? Litatuacha salama kweli?
 
Ndugu matajiri wa London hili dili limekaaje? Litatuacha salama kweli?
Chelsea wanamchukulia Cucurella Kama mchezaji wa future na wapo kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba so hiyo taarifa ipuuze
 
🚨 BREAKING: Jorrel Hato to Chelsea — Haya basi! Makubaliano yamefikiwa na Ajax kwa ada ya zaidi ya £34m.
Beki huyo Mholanzi mwenye umri wa miaka 19 alitaka tu kujiunga na Chelsea FC.
Hato atasaini mkataba wa muda mrefu na Chelsea
Chelsea wamepata kifaa chao!
@FabrizioRomano
1753905003839.png
 
Mabingwa wa Dunia
Arsenal wivu itawaua
Eti wanasema pre-season!
1753923799322.png
 
Chelsea wanamchukulia Cucurella Kama mchezaji wa future na wapo kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba so hiyo taarifa ipuuze
Mbona deal ya uarabuni tayari mkuu? Inasemekana atakuwa analipwa mara 3 ya mshahara wake wa sasa.
 
🚨 BREAKING: Jorrel Hato to Chelsea — Haya basi! Makubaliano yamefikiwa na Ajax kwa ada ya zaidi ya £34m.
Beki huyo Mholanzi mwenye umri wa miaka 19 alitaka tu kujiunga na Chelsea FC.
Hato atasaini mkataba wa muda mrefu na Chelsea
Chelsea wamepata kifaa chao!
@FabrizioRomano
View attachment 3425211
Chelsea wamelamba dume. Cha kushangaza, watakuja hapa wapuuzi wa Asenali na Manure kuja kutia nuksi zao hapa. Naomba muwapuuze!
 
Huyu nyanda vipi? Naona yupo sokoni turuke naye akamvunje Saka mguu kama alivyofanya kwa Musalia.

View attachment 3425306
Huyu jamaa kama unamfuatilia anazo kasoro nyingi kuliko hata za Robert Sanchez, wakati sanchez yeye udhaifu wake ni kukurupuka saa nyingine sio kila mara, huyu Gianluigi Donnarumma ni mdhaifu kwenye
Kucheza kutoka nyuma na distributions
Sio mtulivu langoni
Hawezi kucheza mipira ya juu pamoja na urefu wote huo wa mita 1.96
Hawezi kureact na kudaka mip;ira ya pembneni fuatilia mabao mawili ya Palmer
Hawezi kucheza mipira ya kona vizuri
Kujniamini kupita kiasi na hivyo kumuondolea umakini golini hasa wakati wa counter na presha ya kona kich au frfee kick nk
Inconsistency kwenye timu yake ya PSG na timu ya Taifa la Italia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom