Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani we pesa isiyo Yako inakuuma nini si ndio vizuri Ili nyie mbebe makombe yote au umepagawa hutaki timu Yako ibebe makombe acha Liverpool wasajili vibaya ilo mbebe makombe shida Iko wapi kwani🤣🤣🤣🤣🤣
Msimu huu Chelsea anampiga Liverpool nje ndani...Sasa sasa Liverpoon asilete timu uwanjani.
 
Kwani we pesa isiyo Yako inakuuma nini si ndio vizuri Ili nyie mbebe makombe yote au umepagawa hutaki timu Yako ibebe makombe acha Liverpool wasajili vibaya ilo mbebe makombe shida Iko wapi kwani🤣🤣🤣🤣🤣
Hainihusu mim i ila inawahusu ninyi na PSR mtakapoanza kulia lia kwa sababu ya restrictiosn kama inavyoikamnalia sasa hivi Nyumbu wa Serengeti
 
Hainihusu mim i ila inawahusu ninyi na PSR mtakapoanza kulia lia kwa sababu ya restrictiosn kama inavyoikamnalia sasa hivi Nyumbu wa Serengeti
Mbona kama umechanganyikiwa akilo kama haukuhusu shobo za nini kwenye kitu kisichokuhusu
 
Wewe inakuuma sana ndio maan ukaja kuvamia jukwaa na huyo utopolo wako Isak
Shida nini mbona kama umechanganyikiwa akili au ndio uzee maana umejiunga humu 2009 inaonekana uzee unakusumbua
 
Mmeliwa mbele nyuma tunasubiri tu manifestation mbwa koko wewe
Hasira za nini we mzee kazi na umri jitu tangia 2009 lipo humu inamaana ni lizee kazi na umri achia vijana akili ishakuruka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapana, wachezaji wa kutosha wameshauzwa, ni negotiation tu kwa sababu Ajax wanatakla zaidi ya milioni 50 bei sawa na ya Martinez kwenda Man United wakati Cheslea wao wanataka iwe chini ya mil 50
Sawa mkuu acha tuendelee kusubir tuna imani na bodi itafanikisha hili deal
 
20250729_175303.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom