Kwa usajili Chelsea waliokwisha fanya na kwa usajili wa Xavi Simon na Jorrel Hato unaotarajiwa na kwa kuzingatia shinikizo na vikwazo vya UEFA kuhusu uuzwaji kwanza wa wachezaji na kwa bei ambayo Newcastle watahitaji kutoka kwa Isak na kwa mshahara ambao Isak anataka sidhani kama Matajiri wa Chelsea wataweza kumnunua kwa sasaHaya Isak ameomba kuondoka kama kweli tunataka kushindana makombe tukamchukue huyo jamaa, sio hawa matakataka.
Kwa usajili Chelsea waliokwisha fanya na kwa usajili wa Xavi Simon na Jorrel Hato unaotarajiwa na kwa kuzingatia shinikizo na vikwazo vya UEFA kuhusu uuzwaji kwanza wa wachezaji na kwa bei ambayo Newcastle watahitaji kutoka kwa Isak na kwa mshahara ambao Isak anataka sidhani kama Matajiri wa Chelsea wataweza kumnunua kwa sasa
Labda Chelsea tuuze wachezaji kwa zaidi ya mil 200
Isak akubali mshahara usiozidi pauni 200,000/wiki na Newcastle wakubali kupunguza bei na kupokea pesa kwa installment may be Chelsea watafikiri kumnunua japo Liverpool wako obsessed na ISAK
Sio tu quality ya kwenye takwimu na jinsi anavyofit kwenye mfumoWewe unaangalia bei ya mchezaji badala ya quality yake unakumbuka bei aliyosajiliwa Darwin Nunez alafu angalia alichoenda kudeliver hata huyu striker walimsajili ni wa kawaida ni Bora wangemsajili isak huyu ndio striker sasa
Wirtz na Liam Delap wanacheza nafasi mbili tofauti Mimi namzungumzia Hugo Ekitike sio striker wa maana ila wametoa hela nyingiKwamba sifahamu bei na ubora wa mchezaji? Yaani ata kwa akili mgando umlinganishe Florian Wirtz na Liam Delap kweli, acheni kutetea upuuzi.
Chelsea tulishafunga usajili wa mastrikers mbona Joao Pedro na Delap ni wafungaji wazuri au ulitaka wasajiliwe kwa pesa ndefu ili ujue ubora waoHaya Isak ameomba kuondoka kama kweli tunataka kushindana makombe tukamchukue huyo jamaa, sio hawa matakataka.
Enzo Maresca anampenda awe na striker ambaye sio target man ndio maana wakaamua waachane na osimen maana hakuwa chaguo la kochaSio tu quality ya kwenye takwimu na jinsi anavyofit kwenye mfumo
Waje wawe na katimu kao ka wodini Fofana,Lavia,Isak, JamesHaya Isak ameomba kuondoka kama kweli tunataka kushindana makombe tukamchukue huyo jamaa, sio hawa matakataka.
100% nakubaliana na ww, Wirtz liva wamepata mtu hasaa. Ila huyo Ebitoke wamepgwa mchana kweupee!! EPL naona ikiwa ngumu kwake.Wirtz na Liam Delap wanacheza nafasi mbili tofauti Mimi namzungumzia Hugo Ekitike sio striker wa maana ila wametoa hela nyingi
⚽ Hugo Ekitike, 23.100% nakubaliana na ww, Wirtz liva wamepata mtu hasaa. Ila huyo Ebitoke wamepgwa mchana kweupee!! EPL naona ikiwa ngumu kwake.
Jadilini timu lenu ya Liverpool hayawahusu⚽ Hugo Ekitike, 23.
23 G/A katika mechi 33!
💰 Ada ya uhamisho: £79m.
💸 £250,000/wiki
Mchezaji wa tatu anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kikosi cha Liverpool. Hii inaweza kuzua kutoridhika kwa wachezaji wengine kwenye dressing room na kupunguza ari, kama ilivyoonekana katika Manchester United miaka iliyopita.
Chelsea lazima iepuke mambo haya kwa gharama yoyote.
Wamepigwa hao
PovuJadilini timu lenu ya Liverpool hayawahusu
Povu Gani isak anatua mda wowote msimu ujao nakusanya makombe yotePovu
Kuwa na masupa star kwenye timu haina maana mtabeba makombe. Wasopijenga chemistry mmeliwa.Povu Gani isak anatua mda wowote msimu ujao nakusanya makombe yote
The way anavyocheza Jesse Derry asipobadilika atatkuwa the next ZizouChelsea wamemsajil kinda wa crystal palace ambaye anacheza winga wa kushoto ambaye alikuwa anawaniwa na vilabu 8 vya ulaya kinda huyo anaitwa Jesse Derry anayetajwa kuwa na kipaji kikubwa
Msimu huu pagumu mkuu timu nyingi zimefanya sajili za maanaPovu Gani isak anatua mda wowote msimu ujao nakusanya makombe yote
Meseji ndefu yote ni wivu wewe subiri aje ukione Cha motoKuwa na masupa star kwenye timu haina maana mtabeba makombe. Wasopijenga chemistry mmeliwa.
Jifunzeni kwa PSG walikuwa na Neyma, Messi na Mbape, walivyotoka ndipo PSG ikawa ya moto
Isak atakuja hiyo haina ubishi ila mtamlipa pauni 300,000/week
Hugo pauni 250,000/week
Salah pauni 400,000/week
VVD pauni 350,000/week
Florian Wirtz pauni 200,000/week
Mtakuja kuwa kama Man Un ited
Wachezaji watahafukwa pale dressing room
Mtaanza kupoteza mechi kiuwenda wazimu
Mtataka kuwauza baadhi ya wachezaji mtagota mwamba
Subiri muone