Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,887
- 17,614
Magumu kwako Kwa Liverpool palaini sana msimu uliopita Liverpool hakusajili na Kawa bingwa sembuse msimu huu tumia akiliMsimu huu pagumu mkuu timu nyingi zimefanya sajili za maana
Magumu kwako Kwa Liverpool palaini sana msimu uliopita Liverpool hakusajili na Kawa bingwa sembuse msimu huu tumia akiliMsimu huu pagumu mkuu timu nyingi zimefanya sajili za maana
Haina shida tukutane mwezi wa naneMagumu kwako Kwa Liverpool palaini sana msimu uliopita Liverpool hakusajili na Kawa bingwa sembuse msimu huu tumia akili
Haya hii ni meseji fupiMeseji ndefu yote ni wivu wewe subiri aje ukione Cha moto
Endelea kuota na wivu zidi ya timu kubwa Liverpool hawaongei Sanaa wao ni kazi tu we endelea kupiga ramliHaya hii ni meseji fupi
Liverpool is the next Man United, weka kumbukumbu hii messeji
Dah ila Chelsea wanamkosea sana huyu jamaaNasikia Chelsea wantaka kumuuza chalobah 😭😭😭
Hiyo taarifa haijathibitishwaNasikia Chelsea wantaka kumuuza chalobah 😭😭😭
Dah ila Chelsea wanamkosea sana huyu jamaa
Angekuwa takataka uongozi usingemrudisha.Huyo ni takataka tu, apigwe bei haraka sana.
Angekuwa takataka uongozi usingemrudisha.
Kwa upande wangu chalobah ni mchezaji mzuri ni vile tu mna muunderrate ni mzuri kwenye kukaba, anajua kupiga pass vizuri na pia sio mchezaji mwenye individual errors. Chalobah ni mtu haswa nitakubaliana na wewe labda kwa Tosin ila sio chalobah we si umeona alikuwa atakiwi angalia alivyorudi ndio akawa muokozi wetu kiwango chake ndio kimefanya iwe regular playerChalobah si beki wa kiwango cha juu, lakini pia si wa kupuuzwa. Akiwa ndani ya mfumo sahihi, Chelsea bado inaweza kutwaa ubingwa yeye akiwa mlinzi wetu.
Nguvu ya timu ipo kwenye kiungo. Kuanzia Machi 2025, tumeshuhudia Chelsea ikijijenga imara kwenye safu ya ulinzi—si kwa mabadiliko ya mabeki pekee, bali kwa stability ya viungo wetu na inverted role ya Cucurella. Hata ukiwachezesha Tosin, Chalobah, na Sanchez golini, timu inaweza kuhimili presha ikiwa kiungo kipo sawa.
Mfano mzuri ni kwenye Club World Cup, ambako Reece James alionyesha uimara mkubwa akiwa kwenye kiungo. Hii ndiyo sababu uongozi umetumia muda na fedha nyingi kuimarisha kiungo—hapo ndiko uhai wa timu ulipo.
Mungu akitujalia tukapata mabeki bora zaidi ya Chalobah na Tosin, itakuwa ni faida kubwa zaidi
Wawauze badiashile na disasi kwanza.Kwa upande wangu chalobah ni mchezaji mzuri ni vile tu mna muunderrate ni mzuri kwenye kukaba, anajua kupiga pass vizuri na pia sio mchezaji mwenye individual errors. Chalobah ni mtu haswa nitakubaliana na wewe labda kwa Tosin ila sio chalobah we si umeona alikuwa atakiwi angalia alivyorudi ndio akawa muokozi wetu kiwango chake ndio kimefanya iwe regular player
Huwezi kumlinganisha Chalobah na top defenders la sivyo timu kubwa kubwa zingemfukuzia hasa wakati na wakati huu Chelsea ina mpango wa kumuuza tena wangekuwa Tayari kumnunua kwa zaidi ya pauni milioni 60 au 70.Kwa upande wangu chalobah ni mchezaji mzuri ni vile tu mna muunderrate ni mzuri kwenye kukaba, anajua kupiga pass vizuri na pia sio mchezaji mwenye individual errors. Chalobah ni mtu haswa nitakubaliana na wewe labda kwa Tosin ila sio chalobah we si umeona alikuwa atakiwi angalia alivyorudi ndio akawa muokozi wetu kiwango chake ndio kimefanya iwe regular player
kwani ukiwa likizo kuna shughuli hutakiwi kuyafanya kama hayavunji sheria? japo sijaelewa hapo uliposema viongozi na mashabiki kulazwa hospitali, ni baada ya kushudia yanayotendwa na wachezaji wa Chelsea wakiwa mapumzikoni?Chelsea FC imeripotiwa kuamua kuwaita baadhi ya wachezaji wake kutoka likizo kutokana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu hali yao ya akili baada ya msimu mkali. Uamuzi huu unakuja kufuatia picha na taarifa za kushangaza zinazoonyesha wachezaji wakijihusisha na tabia za ajabu na hatarishi wakati wa mapumziko yao.
Kuanzia kuruka angani na ndege, kuingiliana na simba na chatu, hadi kushindana na pomboo na kufanya mizunguko angani, tabia hizi zimezusha taharuki ndani ya klabu. Vyanzo vinasema baadhi ya mashabiki na hata viongozi wa juu wa klabu walilazwa hospitalini baada ya kushuhudia matukio hayo ya kushtua.
View attachment 3419025View attachment 3419028View attachment 3419029
Starehe hatarishi kama hiyo ya Caicedo ni hasara kwa timu. Akipata ajali naweza asicheze msimu mzima. Kwa kawaid mwajiri anayo haki juu ya where abouts za wachezaji hata wakati wa likizokwani ukiwa likizo kuna shughuli hutakiwi kuyafanya kama hayavunji sheria? japo sijaelewa hapo uliposema viongozi na mashabiki kulazwa hospitali, ni baada ya kushudia yanayotendwa na wachezaji wa Chelsea wakiwa mapumzikoni?
hata hivyo mpango uko hivyo, Chalobah atauzwa bei nzuri ikija. Disasi yuko out of the squad. Badiashile anapendwa sana kwa sababu ni mchanga na ni ball playing CB. Chelsea inampango na Badiashile kwa muda mrefu kwenye mradi. Mzoee tu hiyo hali.Wawauze badiashile na disasi kwanza.