⁉️Mkuu vipi kuhusu usajili wa Kendry Paez?
Kocha wako unaenpenda kala chuma 3 bila majibuEnzo Maresca bado ni takataka tu, kuchukua hilo kombe hakuondoi utakataka wake.
Mbona last seen siku nyingi hivyo?? Amepatwa na nn?
Na huyu mchangiaji mzuri sana Juan David kapatwa na nini tangu March ni miezi 4 na usheenzi haonekani hata kushangilia kombe la duniaMbona last seen siku nyingi hivyo?? Amepatwa na nn?
Kocha wako unaenpenda kala chuma 3 bila majibu
Tujikumbushe comment ya shabiki wa Arsenal siku walipomsajiri Jorginho kwamba ameenda kuchukua EPL 😂😂View attachment 2501414
Karibu jorginho kutoka nafasi ya 10 hadi nafasi ya 1
Yani naogopa ujue Arsenal ina Partey alafu ina Jorginho mhh katika pasi 100000 partey anapiga pasi 30000 arafu pasi 70000 anamalizia Jorginho
Kaja kuchukua EPL
Poor Cheltako
Akina zappacosta 😂Tulishawahi kuwa na midfield wanaitwa Zakaria, Drinkwater, Bakayoko
Yaani hata Jorginho na uzuri wake wakati wa Sarriball bado hawezi kufikia hata chembe ya Enzo Fernandez, Moises Caicedo, Andrey Santos na Romeo Lavia. Yaani Chelsea tumetoka mbali sanaTulishawahi kuwa na midfield wanaitwa Zakaria, Drinkwater, Bakayoko
Kuna siku tutasimulia eti tulikuwa na striker anaitwa Nicolas Jackson ndie alikuwa tegemea kuiongoza Chelsea ikamaliza top 6 na msimu wa pili top 4. Itafurahisha zaidi tukijikumbusha na misses zake kwenye YouTubeYaani hata Jorginho na uzuri wake wakati wa Sarriball bado hawezi kufikia hata chembe ya Enzo Fernandez, Moises Caicedo, Andrey Santos na Romeo Lavia. Yaani Chelsea tumetoka mbali sana
Kwenye upande wa kiungo Chelsea imejitosheleza tuna Essugo ambaye amesajiliwa dirisha hili anacheza nafasi ya Caicedo kumbuka pia Kuna Lavia hapo, tuna Santos ambaye anaweza kucheza 6 na 8 na tuna Enzo Fernandez. Nafasi pekee ambayo hatuna mbadala ni ya CucurellaMaoni yangu; Chelsea imbakishe Jackson pia atafutwe mbadala wa Cucurella, namba sita ambaye atakuwa regular kupatikana ili wawe watatu.
Msimu ujao itakuwa wa moto sana kwa timu za epl make kila timu inajiandaa vyema, hautakiwi majerui mmoja tu tunaanza kuchezesha wachezaji out of position.
Msimu wake wa Kwanza tu huu wa Enzo Maresca tumeingia big 4 baada ya kustruggle kwa miaka miwili kwa makocha tofauti Lamps, potter na pochentino, kabeba conference cup na mwisho kashinda kombe la club bingwa kwa kutoa dozi Nene Real Betis kala 4 vizuri, PSG kala 3 takatifu hivi uoni Kama tumepiga hatua kubwa? Anakuaje ni takataka?Hans Flick na timu yake hawakuwepo kwenye hayo mashindano.
Nasikia pia wachezaji wamepewa Dola 350000 kila mmojaKitu ambacho nakiamini kwa sasa THE BLUES itaendelea kuimarika zaidi kwenye sajili na utendaji kwa sababu tajiri Toddy Boehly ameshaonja utamu wa kushinda Fifa cwc na kukabidhiwa kombe mbele ya Trump.
Wamarekani wanapenda sifa.
Baada ya kubeba kombe la dunia taarifa za ndani zinasema kwamba Toddy aliahidi kutoa £1B ya usajili dirisha hili, management ya timu ikamtuliza asifanye hivyo ataharibu kikosi.
Tushukuru hata kwa hapa tulipo. Haikua kazi ndogo, kutoka kuwa kwa kina Fabregas mpaka tukaja kwa kina Bakayoko, mara Drinkwater mara Zakaria mmiliki halali wa wodi za wagonjwa wa Cobham japo alikua kwa mkopo.Yaani hata Jorginho na uzuri wake wakati wa Sarriball bado hawezi kufikia hata chembe ya Enzo Fernandez, Moises Caicedo, Andrey Santos na Romeo Lavia. Yaani Chelsea tumetoka mbali sana
UEFA wameitahadharisha Chelsea na Aston Villa kuwa swap yeyote itakayoambatana na inflated price za wachezaji watapewa adhabu stahiki. Chelsea na Aston Villa wanaweza kufanya swap deal ya wachezaji nahisi ni Morgan Rodgers na Jackson au NkunkuKitu ambacho nakiamini kwa sasa THE BLUES itaendelea kuimarika zaidi kwenye sajili na utendaji kwa sababu tajiri Toddy Boehly ameshaonja utamu wa kushinda Fifa cwc na kukabidhiwa kombe mbele ya Trump.
Wamarekani wanapenda sifa.
Baada ya kubeba kombe la dunia taarifa za ndani zinasema kwamba Toddy aliahidi kutoa £1B ya usajili dirisha hili, management ya timu ikamtuliza asifanye hivyo ataharibu kikosi.
ViungoKwenye upande wa kiungo Chelsea imejitosheleza tuna Essugo ambaye amesajiliwa dirisha hili anacheza nafasi ya Caicedo kumbuka pia Kuna Lavia hapo, tuna Santos ambaye anaweza kucheza 6 na 8 na tuna Enzo Fernandez. Nafasi pekee ambayo hatuna mbadala ni ya Cucurella