Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,046
- 27,431
Kwa namna yoyote ile kama MARESCA akiamua kuanza na DM wawili tutaweza kuumia vibaya sana. Caicedo pekee yake anatosha na kuna uwezekano Delap akaanza halafu pembeni akacheza Neto naa J PEDRO. Midfield wakacheza Palmer na Enzo holding akacheza Caicedo. Hapo tunaweza kuwa na maisha otherwise tuombeane kheri.