Kucheza na midfielder wawili wakabaji haimaanishi hatushambuliwi kulingana na natura ya midfielder wetu Santos ukiachana na kuwa anakaba but ni aina ya kiungo ana offer kwenye ushambuliaji na ndio maana amefunga magoal mengi kwenye team yake uliopita, kiungo cha Caicedo na Santos kina offer both defensive na attack hii inamaana gani Enzo atakuwa juu tukishambulia wakati tunashambuliwa anashuka chini tunatengeneza midfielders watatu.Hii inatufanya tuwe na namba kubwa ya Kati kushinda PSG na hapo tunakuwa tumekama dimba la Kati.