lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Bayern Munich walifanya makosa ya kutokuwa makini baada ya PSG kupungua Bayern wakabweteka wakawa wanashambulia tu bila kujali kuwa nyuma wameach nafasi. Kama Chelsea wakiweza kutotoa nafasi na muda. wakaamua kuwapress mwanzo mwisho. PSG inafungwa kirahisi. Kwa morali waliyo nayo wachezaji naamini wanawajua vizuri PSG na wataweza kuwamudu. Uzuri mwingine ni kuwa PSG hawapaki mabasi, wanacheza open football kama Chelsea. Atakayedhibiti kiungo na kupress kwa akili ndie atakayeshinda. Naamini Caicedo na Enzo an Santos wataweza hiyo kaziNipo naangalia hapa marudio y PSG na Bayern, itoshe kusema kwenye mpira bahati pia ina nafasi yake, aisee hii PSG inafungika kirahis sana. Ule upande wa Pedro akiamka vizuri siku hiyo magoli yatapitia huko.