Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea vs E. Tunis
3-0
โšฝ๏ธTosin
โšฝ๏ธDelap
โšฝ๏ธGeorge
Enzo 2 assist
Santos assist
Chelsea imetinga round of 16 na itacheza na Benefica siku ya Jumamosi tarehe 28 katika uwanja wa Bank of America Stadium kule North Carolina saa 5 usiku
Benfica wazuri sana aisee tujipange kisawasawa, niliangalia mechi yao na bayern jamaa wanakaba sio kitoto halafu wana kasi sana
 
Nilishtuka sa 10 usiku nikasema kabla sijawasha niangalie kikosi kwanza. Baada ya kuona kikosi nikaamua kurudi kulala tu.

Hongera blues kwa hatua inayofuata mtoano dhidi ya Benfica.
Umeikatia tamaa timu yako. Mi nilishtuka nikakuta 2 - 0. Nikamalizia kuangalia dk 7 za nyongeza.

Benefica wa moto kwa yule kocha boflo safari yake imefika tamati.
 
Nilishtuka sa 10 usiku nikasema kabla sijawasha niangalie kikosi kwanza. Baada ya kuona kikosi nikaamua kurudi kulala tu.

Hongera blues kwa hatua inayofuata mtoano dhidi ya Benfica.
Hata mimi nilipokiona kikosi nililaani ila kusema ukweli walicheza vizuri kuliko kmikosi kile kilichokutana na Flamengo
Hawa walikuwa attaking minded
Badiashile na Tosin wakipata mipira ni kubreak line tu mbele kwa mbele
 
Hatuna kocha wa kuwafundisha soka Benefica labda Gadiola amsaidie kupanga kikosi na kumpa mbinu.
Tulia kijana wewe unakata tamaa mapema mno, usije tu ukapata magonjwa ya wazee ungali kijana. Furahia maisha hatuna maisha mengine
Chelsea wanafika Nusu Fainali pale ndio tutaelewana kwa sababu kutakuwa na Man City au Real Madrid kama hawataboronga na kutusafishgia njia kama Flamengo walivyoboronga. Wao wanatufunga wakidhani wametuweza kumbe tumewaweza
 
Mkuu wangu unajipa matumaini hewa, mechi ya Benefica utasaga meno na kulia kama Sikamona kwenye kitabu cha zawadi ya Ushindi.

BOFLO calibre yake ni mashindano ya Conference. UWC amekayakanyaga.
 
Nilishtuka sa 10 usiku nikasema kabla sijawasha niangalie kikosi kwanza. Baada ya kuona kikosi nikaamua kurudi kulala tu.

Hongera blues kwa hatua inayofuata mtoano dhidi ya Benfica.
Ila ukiangalia rotation ilikuwa inahitajika sana mzee wachezaji wametoka Msimu mrefu wa ligi ukijumlisha na Hali ya hewa ya huko mashindano yanapofanyika... ingeleta uchovu sana au ingeleta impact mbaya michezo inayofuata....naona hata delap alimtoa mapema tu dakika ya 57 na kuwaingiza kina guiu.. kina caicedo , cuculera hawakuingia kabisa Jana ..ilikuwa ni big move kwa maresca shukrani kwa kukutana na esperance
 
โšฝ๏ธ๐Ÿ’ฅ Tosin na bao zuri la kichwa!
๐ŸงŠ๐Ÿฅถ Delap alifunga bao lake la kwanza Chelsea kwa urahisi sana; Mabeki wa E. Tunis bado wanashangaa!
๐ŸŽฏ๐ŸŽ Enzo alitoa assists 2 za haririโ€”yeye kimsingi ni Santa mwenye mpira wa miguu.
๐Ÿ†๐ŸŸฆ Chelsea tayari wamefika nusu fainali ya FIFA CWC-London inatabasamu!
Karibuni Arsenal

View attachment 3382062
Hajafunga goal rahisi sema ufundi wake imeonekana ionekane ni rahisi
 
Ila ukiangalia rotation ilikuwa inahitajika sana mzee wachezaji wametoka Msimu mrefu wa ligi ukijumlisha na Hali ya hewa ya huko mashindano yanapofanyika... ingeleta uchovu sana au ingeleta impact mbaya michezo inayofuata....naona hata delap alimtoa mapema tu dakika ya 57 na kuwaingiza kina guiu.. kina caicedo , cuculera hawakuingia kabisa Jana ..ilikuwa ni big move kwa maresca shukrani kwa kukutana na esperance
Daah vijana waliopewa nafasi wamejitahidi kuonesha uhai na wanaweza kupewa nafasi. Nachofurahi Santos kapewa nafasi na hajazingua
 
Ndugu matajiri wa London leo usiku nimeshuhudia Chelsea akiwakanyaga waarabu na kufanikiwa kushika nafasi ya pili. Nimefurahi sana.

Kuna wakati timu inayoshika nafasi ya pili lakini inakuwa na furaha kuliko timu ya kwanza. Sipati picha tungeshika nafasi ya kwanza kama tungefika mbali. Kushika nafasi ya pili angalau kunatoa mwanya wa kufika walau robo fainali ya FIFA CWC. Asante Mungu kwa kutunyima nafasi ya kwanza na kutupa nafasi ya pili. Amen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom