Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HAuwezi kucheza with the same momentum katika dakika 90. Kuna muda mnatoka mchezoni ila kuna muda ndio kama ivyo. Nadhani ni kati ya vitu kocha anayohaja kuvifanyia kazi. Ukikutana na timu kama Flamengo inakuadhibu
Kucheza kw3a kasi au slow pia inaendana na game plan. Nilichokiona jana ni kuwa wachezaji sasa wana ball control ya hali ya juu na pia pass acuracy ni kubea. wana pass mpira kwa haraka na kwa kutumia mguiu wowote kuondo predicability ya pasi.
 
Jana niliwacheki Flamengo sio size ya Chelsea, hata tukitaka kuwafunga goli tano tunaweza. Watatushinmda tu kama tutakuwa careless
 
Hao flamengo sijawaona uchezaji wao lkn Kuna wabrazil wengine fluminense timu aliyopo Thiago Silva aisee wale sio poa Jana vs Dortmund nadhani kipa wa Dortmund aliibuka man of the match sio kwa kuwapelekea moto dortmund
 
Kucheza kw3a kasi au slow pia inaendana na game plan. Nilichokiona jana ni kuwa wachezaji sasa wana ball control ya hali ya juu na pia pass acuracy ni kubea. wana pass mpira kwa haraka na kwa kutumia mguiu wowote kuondo predicability ya pasi.
Mkuu umecheki PSG wanavyocheza? Wale jamaa sijui fame plan yao ikoje ila muda wote wanapeleka moto tu. Wachezaji wao wako active sana ni mara chache sana unakuta wanasinzia ila zaidi ya dakika 85 wana press, sharp pass, wanakimbia na ni wepesi sana kwenye transition.

Hiki kitu sisi hatuna kuna muda wa kushambulia halafu Madueke anapewa pasi unapiga TV kama una hasira.
 
Madueke japo sio kwa umuhimu.

Nguvu za giza zinamchanganya, kile kitambaa cheusi kichwani kinamfanya aone vitu vya ajabu uwanjani viivyoonekana kwa macho ya kawaida.
 
Naona fixtures leo imetoka na tutaanza na Crystal Palace.

Sasa kitu nilichokiona leo n kwamba unaweza kuunganisha ratiba ya timu yako au timu zote za EPL ziwe kwenye kalenda yako ya simu.

Mfano timu yako ikiwa inacheza leo, bc utaiona kwenye calendar yako na utakuwa unapata notification kuwa leo kuna mechi yako 🔥

Sijajua kama hii ishu imeanza lini ila binafsi nimeiona leo na nimeipenda sana.

Screenshot_20250618-112531.png
 
View attachment 3374313
Umefanyaje
 
Ratiba ya EPL Chelsea mechi 5 za mwanzo:

Sun Aug 17 - Crystal Palace (h)
Sat Aug 23 - West Ham United (a)
Sat Aug 30 - Fulham (h)
Sat Sep 13 - Brentford (a)
Sat Sep 20 - Manchester United (a).
1750235752188.png
 
Umefanyaje
Ingia Kwenye web ya EPL ila ukiwa na app yao itakuwa poa sana (Mm nna app mana nacheza fantasy league)

Ukiwa na app na ikifunguka tuu, utaona hii sehemu

Screenshot_20250618-113443.png

Ukibofya hapo, utatakiwa kufuata maelekezo ikiwemo kujaza taarifa zako kama majina n.k then utaletewa option ya kuchagua calendar unayoitumia kwenye simu (Mm natumia Google calendar) baada ya hapo utapata notification kwenye email na ukiingia Kwenye calendar yako ya tarehe ya leo utaona hii notification

Screenshot_20250618-112531.png

Mm nimechagua fixtures ya Chelsea tuu Ila ukichagua fixtures ya timu zote bc utakuandikia hapo.

Baada ya hapo utakuwa umemaliza kazi, ratiba yote utaiona kwenye calendar yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom