Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

So far naona tupo vzr, tunashambulia, hatupotezi mpira ovyo, tunalinda vzr n.k ngoja tuone dkk 90 zitaisha vp
 
Kwa namna hii mechi inavyoendelea ni wazi bila shaka wachezaji timu zote mbili wamechoka jumlisha na hilo joto. Halftime imesema
 
Goli zuri la free kick la kapteni James ila hali ya hewa imesababisha mechi nkuahirishwa kwa nusu saa
Wachezaji wa Chelsea na kocha wamekasirika ile mbaya
 
Mechi ya Benfica na Chelsea imeahirishwa kwa dakika 30. Sheria ya FIFA ni kucheleweshwa mechi angalau kwa dakika 30 kwa sababu ya radi. Kila pigo mpya wa radi ndani ya eneo la maili 10 huweka upya saa. Mchezo hauwezi kuanza tena hadi dakika 30 mfululizo zipite bila radi yeyote kutokea tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom