Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha la majiribio linajiandaa na msimu ujao kwa kishindo ni mwendo wa trial and error tu
Mimi sikatai kwenye kujaribu mbinu ni kitu cha kawaida sana ukiwa kocha ila kinachonishangaza hiyo position anayomchezesha Gusto imeshindwa kuworkout mara nyingi na hata kwa James kuwa midfielder imefeli mara nyingi alivyomtumia but still kocha habadiliki
 
Chief hakuna kubet uwezo wake ndio umeishia hapo. Ameshatumia silaha zake zote ghalani kwa sasa anaokota mawe na kurumshia adui
Kocha anakichwa kigumu mno mbinu alizochezesha dhidi ya flamengo amewahi kutumia mara nyingi na ilifeli na lakini hachoki kutumia Tena lini Gusto awe winga? James ameshaonesha kuwa midfielder hawezi kucheza lakini kocha achoki kumchezesha Sasa tulimstajili Lavia na Essugo wa Nini? Hata sub ya Delap ilinishangaza cos Delap kacheza vizuri sikuona sababu ya kumtoa alikuwa anatoa kashikashi mbele ingawa mipira ilikuwa hamfikii ulikuwa unaona ile fight spirit but kocha kamfanyia sub ilimradi tu mtoto wake pendwa Jackson acheze
 
Kuna msemo nilishawahi kutumia huko nyuma kipindi kile tunafungwa mfulilizo.

Nikasema "Maresca ujuaji mwingi mbele giza"

Jamaa anajifanya ni mkali wa mbinu na mahesabu makali kumbe ni kichwa Boflo.
 
Ndio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuri
 
Kenge kwenye moja na mbili,,,, Bichwa kubwa Maresca hatowafikisha popote! Kipindi kile Luic Wa PSG na Flick wa Barca walikuwa free mkachagua kichwa boga , ! Sikio la kufa halisikii dawa !
 
Kama sijakosea uongozi wa kina kichwa hewa Todd ulikumkuta Tuchel ndo ametoka kuwapa UEFA, wakamla kichwa,,,,

Since then akaja Potter G,
Super Frankie,
Pochettino
Maresca

Mmegundua nini wanetu ? Hii ni siri yenu ! Amkeni
 
Ndio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuri
Hamna kocha pale anajidai anataka kuprove watu wrong kwenye selection ya wachezaji na mbinu, kumbe maamuzi ya kijinga anafanya.

Dunia nzima inajua Sanchez ni pazia la Ngorika bus, kipa ametucost sana still anapanga anataka kutuprovia nini sasa? Zaidi ya ujinga ujinga
 
Chief hakuna kubet uwezo wake ndio umeishia hapo. Ameshatumia silaha zake zote ghalani kwa sasa anaokota mawe na kurumshia adui
MBona kuna game tunacheza vizuri tu? Kwamba Felipe Luis (kocha wa Flamengo) ana mbinu kali kumzidi Maresca? Huyu kocha anahisi yupo pre season sio bure
 
Kiukweli kabisa napata mashaka na kocha Enzo Maresca. Anaanza kuwa na kichwa kigumu kama Potter au labda huyu kocha anabet
Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseason
 
Ndio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuri
Andrey Santos yupo pale world class CM
Esugo yuko pale kiungo bora halafu wote unawapiga benchi dakika 90 mili tu amfanyie majaribio Reece James world class RB kucheza Midfield tena kwenye mechi muhimu kama ile. Tumepoteza fursa ya kuongoza kundi na pengine hata kufunzu round of 16 huku unamuweka flop Gusto kwenye RB
 
MBona kuna game tunacheza vizuri tu? Kwamba Felipe Luis (kocha wa Flamengo) ana mbinu kali kumzidi Maresca? Huyu kocha anahisi yupo pre season sio bure
Tuseme ukweli, Fillipe Luiz kwenye ukocha ni mzuri, Flamengo kwenye mechi 9 hajapoteza mechi hata moja ila bado Chelse tungekuwa na serious coach kama Enrique ile mechi tungeshinda
 
Andrey Santos yupo pale world class CM
Esugo yuko pale kiungo bora halafu wote unawapiga benchi dakika 90 mili tu amfanyie majaribio Reece James world class RB kucheza Midfield tena kwenye mechi muhimu kama ile. Tumepoteza fursa ya kuongoza kundi na pengine hata kufunzu round of 16 huku unamuweka flop Gusto kwenye RB
Boflo anavuta bangi
 
Pengine kocha anajiona yuko pre season
Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseason
 
Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseason
Sasa kwa akili hizi tutaweza ku compete Europe kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom