THE BLUES YA ROMAN
1. Usajili wa Matured/World class players ambao wanasaka mafanikio
2. Usajili wa world class coaches
3. Chelsea ya lengo moja tuu kubeba makombe kila msimu
4. Faida kwa tajiri ilikuwa makombe na sio pesa.
5. Management bora kwenye mipango na kufanya maamuzi.
THE BLUES YA TODDY
1. Usajili wa vijana wadogo, wanaohitaji kufungwa pampas, kulelewa, kukuzwa kipaji na uzoefu
2. Usajili wa makocha ambao wanachipukia, rahisi kwa tajiri kuwacontroll kwenye maamuzi.
3. Ni Chelsea ya project phase 1, 2, 3, 5, 6, 7, 8, 9...... 100. kununua wachezaji wadogo, kuwakuza, matured, kubeba makombe.
4. Faida ya tajiri ni pesa kununua wachezaji wadogo kuwakuza kisha kuwauza kwa faida kubwa.
5. Management bomu, inakosea kufanya maamuzi kwenye kila idara. Usajili wa wachezaji mazagazaga, makocha vilaza.