Hii mechi tulicheza vizuri kiasi kutokana na mpinzani kuwa dhaifu asiye na pace ila still timu inafanya mashambulizi very slow tukikutana na mpinzani anajielewa bado hatuna cha maana tutamfanya
Ule ugonjwa wa kufunga goli 1 na kurelax bado upo jana bahati yalipatikana magoli 2 ya haraka na timu ikaanza kucheza kama mazoezi kama kawaida na wakati rotation ilikuwa zaidi ya wachezaji wasiopungua 7
Bado najiuliza hivi team nyingine zinawezaje kuwa na high tempo ya mchezo kwa dak 90 sisi ni wazee wa kupoza mashambulizi