Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,177
- 104,792
Jackson ni maandazi 😂Mpaka sasa sijaona umuhimu wa Jackson
Jackson ni maandazi 😂Mpaka sasa sijaona umuhimu wa Jackson
Ebu rudia tenaMpaka sasa sijaona umuhimu wa Jackson
Ulisema huoni umuhimu wake🔵 2 - 🍯 0
Jackson
Hata kama amefunga na ametupa ushindi, jamaa bado anazingua mbele ya goli kuna mistake amefanya akiwa pekee yake mbele ya goli ungekuta amefunga mawili na kutufanya tushinde kwa 3:1Mpaka sasa sijaona umuhimu wa Jackson
N kwamba amefunga tuu, ila bado anazingua.Ulisema huoni umuhimu wake
Kitu muhimu kwa Jackson ni mentality yake, baada ya kukosa goli la wazi, hakuridhika na hilo goli la pili ni goli la kulazimisha gumu, si kila striker anaweza kufunga hilo goli na ananikumbusha akina Diego CostaHata kama amefunga na ametupa ushindi, jamaa bado anazingua mbele ya goli kuna mistake amefanya akiwa pekee yake mbele ya goli ungekuta amefunga mawili na kutufanya tushinde kwa 3:1