Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu sijui unamanisha nini? Chelsea ni no:2 kwenye table, Chelsea imefunga magoli kuliko timu yoyote Epl, Chelsea ina average timu ya umri mdogo kuliko timu yoyote Epl chelsea ina top players ambao wanapewa numbers timu yoyote Epl, wa kwanza ni 1.palmer 2, Neto 3,canceido 4 Enzo 5. Cuculera 7.Lavia hao wate wana uwezo wakukupa matokeo kwa wakati wowote.

Suali langu kwako ni kwamba unanataka timu iwe je ili tuwe title contenders mwaka hu?.....nina wakika hatuwezi kumfunga Liverpool kwasbb ya experience na kasi ya wachezaji wake, ila Brighton anaweza kumfunga sisi tuna uwezo wa 100% wa kumfunga Brighton na Newcastle kwahiyo mimi nasema chances za kua mabingwa 2024/5 ni above 50%

Liverpool sio wakuamini sanaa squad yake sio paana ki vile akipata majeruhi ataanza kuboronga, Arsenal kasha jikatia ringi mapema tu jana angepoteza tu, anategemea je, Kei, Rice, Thomas joghinio, Jesus, Matineli hao ni wa choovu fomu yao ni seasonal, timu Tishio ni mancity akijipanga ili dirisha la January kwasbb ya kocha wao ni wa mikakati ya kuchukua kombe.
Jibu hapa ni dogo sana kama team haiwezi kushinda moja bila haiwezi kuchukuwa ubingwa,zipo mechi hakuna nafasi ya kufunga magoli mengi,chelsea haiwezi kushinda mechi hizo kwa sababu itafunga goli na sanchez na mabeki wayafanya makosa ya ki senge watafungwa goli .Pia team ya ubingwa kuna wakati unashinda ugly ,city na ubora wa wachezaji kuna wakati alifanya hivyo spurs vs city 2023/2024 1-0.Sisi chelsea tuna shinda na decorations za kutosha , maana yake tukikutana na team yenye quality na maturity inatuzidi hatuwezi kushinda hiyo mechi.
 
Mkuu kwani kuchukua Epl title ni lazima tushide mechi zote? Unamaanisha CFC haijawahi kufanya clean sheet hata moja?
 
Jibu hapa ni dogo sana kama team haiwezi kushinda moja bila haiwezi kuchukuwa ubingwa,zipo mechi hakuna nafasi ya kufunga magoli mengi,chelsea haiwezi kushinda mechi hizo kwa sababu itafunga goli na sanchez na mabeki wayafanya makosa ya ki senge watafungwa goli .Pia team ya ubingwa kuna wakati unashinda ugly ,city na ubora wa wachezaji kuna wakati alifanya hivyo spurs vs city 2023/2024 1-0.Sisi chelsea tuna shinda na decorations za kutosha , maana yake tukikutana na team yenye quality na maturity inatuzidi hatuwezi kushinda hiyo mechi.
Sanchez na ubovu wake hawezi kuizuia Chelsea isibebe ubingwa
Defense pia haiwezi kuzuia Chelsea isibebe ubingwa
Man City muda wote inabeba ubingwa haina Kipa world class
Man city muda wote inabeba ubingwa haina dfense bora EPL
Falsafa ya uchezaji wa PEP na kuwa na Kiungo anayeweza kuamua uchezaji ndio iliyompa PEP ubingwa muda wote huu. Rodri kaumia ndio sasa tunajua Defense ya city ni mbovu
Rodri kaumia ndio sasa tunajua Kipa ni mbovu
Chelsea kinachotuchelewesha tusibebe ubingwa ni timu nzima bado haiko tayari
Jackson kama striker wa kutegemewa bado hajafikia viwango hata kama anaimarika
Viungo wetu bado hakuna kiongozi pale, Caicedo ni mzuri na Enzo mzuri na Lavia ni mzuri ila hawajakomaa kwenye level ya kuamia kiungo wamilikije mpira kwa kila mechi
Mimi naamini hii timu msimu ujao au ule mwingine hata kama haitakuwa na mabadiliko itakuwa imekomaa kiasi cha kuweza kuchalenge ubingwa
Pia ili Chelsea ibebe ubingwa hata kama ni msimu huu, itategemea sana ubora wa hao contenders wengine. Mfano mrahisi ni huu, kama City, Liverpool na Arsenal form yao ikilegeza nati, Chelsea hao mabingwa hata kama ina timu yenye kipa mawewe na mabeki wasio wazoefu
 
Timu iliyosafiri kwa mechi ya leo ya UEFA Conference League hii hapa ikiwa na academy 11
Makipa
  1. Jorgensen,
  2. Bergstrom,
  3. Merrick
Mabeki
  1. Acheampong,
  2. Olise,
  3. Disasi,
  4. Tosin,
  5. Murray-Campbell,
  6. Veiga,
  7. Wilson
Viungo
  1. Chukwuemeka,
  2. Dewsbury-Hall,
  3. Dyer,
  4. Rak-Sakyi,
  5. Vale
Washambuliaji
  1. Neto,
  2. George,
  3. Guiu
  4. Ampah,
  5. Mheuka
Natabiri line up itakuwa hivi

----------------Guiu----------------

George ----------Vale--------Neto

--------KDH -------------Carney ------

V eiga --- Tosin ----Disasi ---Asheampong

--------------Jorgensen----------------
 
Leo wengi ni wa akademi
 
Mwaka wao huu na liverpol

Screenshot_2024-12-12-18-45-52-30.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom