Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sema huyo Sanchez ni kichwa kigumu hawezi cheza game 2 bila tufanya mistake ni vile tunalindwa na idara ya ushambuliaji
Felix na Madueke wameingia dakika ya 89 lakini wanakaba kama wao ndio walianza in short wanastahili bench ni wachezaji wasiopenda kusuffer kwa ajili ya ushindi
Sifa kedekede zimuendee kocha Chelsea ilikuwa ikitanguliwa kufungwa goli 1 ndio mechi imeisha ila leo kutoka 2-0 mpaka kushinda ni muda sana hatujafanya hivyo
Nkuku nae ajifunze kucheza kwa kuattack space anajificha mno kwenye backline ili jambo linamfanya aendelee kusugua bench licha ya kuwa clinical kuliko Jackson
 
Felix goli la tatu linamuhusu 100% alipitika kirahis sana mshenzi yule.

Goli la kwanza na la pili Sanchez anahusika 99% na 1% Cucu
20241208_232611.jpg
 
Sema huyo Sanchez ni kichwa kigumu hawezi cheza game 2 bila tufanya mistake ni vile tunalindwa na idara ya ushambuliaji
Felix na Madueke wameingia dakika ya 89 lakini wanakaba kama wao ndio walianza in short wanastahili bench ni wachezaji wasiopenda kusuffer kwa ajili ya ushindi
Sifa kedekede zimuendee kocha Chelsea ilikuwa ikitanguliwa kufungwa goli 1 ndio mechi imeisha ila leo kutoka 2-0 mpaka kushinda ni muda sana hatujafanya hivyo
Nkuku nae ajifunze kucheza kwa kuattack space anajificha mno kwenye backline ili jambo linamfanya aendelee kusugua bench licha ya kuwa clinical kuliko Jackson
Umenikumbusha Pochettino, ilikuwa tukitunguliwa kamoja tu, hatuwezi kurudi mchezoni
 
Unaziona rahisi kisa anashinda? Brentford, Fulham, Tottenham hizi sio mechi rahisi
Tusipomfunga big four moja round ya pili ubingwa sahau..... EPL anayeongoza Hadi Christmas mara nyingi huwa bingwa
 
Kwani ikimfunga unapata point ngapi? na pia ukimfunga wa mwisho unapata point ngapi? Epl haiko hivo funga mechi zako zote hata ukipoteza match 4 za hao bigfour uko tayari unaweza kua bingwa Epl ni kukusanya point sio umemfunga nani?
 
Kwani ikimfunga unapata point ngapi? na pia ukimfunga wa mwisho unapata point ngapi? Epl haiko hivo funga mechi zako zote hata ukipoteza match 4 za hao bigfour wako tayari unaweza kua bingwa Epl ni kukusanya point sio umemfunga nani?
Hata ivo big four yupo Man City, Liverpool, Arsenal, Tot na Man U hizi ndiyo timu za top six kwa uingereza.

Liverpool ametufunga sawa
Mancity ametufunga sawa
Arsenal tumetoa sare fresh
Man u tumetoa sare fresh
Tot tumepata point 3 pouwa kabisa. Ni swala la muda tu
 
Tusipomfunga big four moja round ya pili ubingwa sahau..... EPL anayeongoza Hadi Christmas mara nyingi huwa bingwa
Wala hatuna ndoto za ubingwa msimu huu ni just kuimprove na kujaribu kushinda kila mechi
Timu ilikuwa na matatizo mengi ambayo huwezi ya solve kwa msimu 1 zaidi ya hapo ni over expectation
Timu inafunga magoli mengi kitu ambacho ni kizuri lakini bado tuna wachezaji prone to error kwenye first eleven ambayo ni huge setback kwa timu inayojiita title contender
 
Ukitoa mistake ya cucurella ila Sanchez hapa Maresca inabid aanze kufanya maamuzi kwa huyu yani game 1 atacheza vizuri ila inayofuata tegemea tu alete makosa
Kila game lazima afanye makosa hata Kama kacheza vizuri Ni vile tu wapinzani hawamuadhibu sometime nafikiri ndio maana anavumiliwa Ila Kama makosa yake yangekuwa yanaadhibiwa kocha asingemvumilia
 
Wala hatuna ndoto za ubingwa msimu huu ni just kuimprove na kujaribu kushinda kila mechi
Timu ilikuwa na matatizo mengi ambayo huwezi ya solve kwa msimu 1 zaidi ya hapo ni over expectation
Timu inafunga magoli mengi kitu ambacho ni kizuri lakini bado tuna wachezaji prone to error kwenye first eleven ambayo ni huge setback kwa timu inayojiita title contender
Mkuu sijui unamanisha nini? Chelsea ni no:2 kwenye table, Chelsea imefunga magoli kuliko timu yoyote Epl, Chelsea ina average timu ya umri mdogo kuliko timu yoyote Epl chelsea ina top players ambao wanapewa numbers timu yoyote Epl, wa kwanza ni 1.palmer 2, Neto 3,canceido 4 Enzo 5. Cuculera 7.Lavia hao wate wana uwezo wakukupa matokeo kwa wakati wowote.

Suali langu kwako ni kwamba unanataka timu iwe je ili tuwe title contenders mwaka hu?.....nina wakika hatuwezi kumfunga Liverpool kwasbb ya experience na kasi ya wachezaji wake, ila Brighton anaweza kumfunga sisi tuna uwezo wa 100% wa kumfunga Brighton na Newcastle kwahiyo mimi nasema chances za kua mabingwa 2024/5 ni above 50%

Liverpool sio wakuamini sanaa squad yake sio paana ki vile akipata majeruhi ataanza kuboronga, Arsenal kasha jikatia ringi mapema tu jana angepoteza tu, anategemea je, Kei, Rice, Thomas joghinio, Jesus, Matineli hao ni wa choovu fomu yao ni seasonal, timu Tishio ni mancity akijipanga ili dirisha la January kwasbb ya kocha wao ni wa mikakati ya kuchukua kombe.
 
Mkuu sijui unamanisha nini? Chelsea ni no:2 kwenye table, Chelsea imefunga magoli kuliko timu yoyote Epl, Chelsea ina average timu ya umri mdogo kuliko timu yoyote Epl chelsea ina top players ambao wanapewa numbers timu yoyote Epl, wa kwanza ni 1.palmer 2, Neto 3,canceido 4 Enzo 5. Cuculera 7.Lavia hao wate wana uwezo wakukupa matokeo kwa wakati wowote.

Suali langu kwako ni kwamba unanataka timu iwe je ili tuwe trophy contenders mwaka hu?.....nina wakika hatuwezi kumfunga Liverpool kwasbb ya experience na kasi ya wachezaji wake, ila Brighton anaweza kumfunga sisi tuna uwezo wa 100% wa kumfunga Brighton na Newcastle kwahiyo mimi nasema chances za kua mabingwa 2024/5 ni above 50%

Liverpool sio wakuamini sanaa squad yake sio paana ki vile akipata majeruhi ataanza kuboronga, Arsenal kasha jikatia ringi mapema tu jana angepoteza tu, anategemea je, Kei, Rice, Thomas joghinio, Jesus, Matineli hao ni wa choovu fomu yao ni seasonal, timu Tishio ni mancity akijipanga ili dirisha la January kwasbb ya kocha wao ni wa mikakati ya kuchukua kombe.
Issue ya defence na goalkeeper ni eneo muhimu sana kwa title contender na hapo ndio tunamapungufu makubwa
Mpira ni mchezo wa makosa lakini huko nyuma tunafanya makosa mepesi sana karibu kila baada ya mechi mbili
Resilience issue bado hatujawa nayo ya kuaminika hatuna uwezo wa kuhimili msako mkali bila kuruhusu goli ambao nayo ni character ya bingwa huwezi dominated game zote kuna mechi unasurvive kwa kuzuia/kutofungwa
Issue ya injury ni common factor kwa timu zote mafano licha ya kuwa na kikosi kipana lakini hakuna mbadala wa palmer na Caseido in term of quality
Mwisho ni gap kubwa na anae ongoza ligi wakati tukiwa kwenye good runs, ukiwa kwenye winning streak kama hizi hutakiwi kuwa nyuma ya mshindani wako kwa zaidi ya point 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom