Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mamaee ,tumefungwaje kifala hivi ?,hebu anayecheki game hii atupe mrejesho game inaendaje wazee
 
Mamaee ,tumefungwaje kifala hivi ?,hebu anayecheki game hii atupe mrejesho game inaendaje wazee
We jiandae tu kiakili hii game ipo open sana mnaweza mkafa Goli nyingi au mkashinda vile vile ila beki zako zinafanya sana makosa ya kitoto sana pia ata spurs nyuma wanavuja ovyo
 
Viatu leo vinawaangusha. Kwa nini msiingie mkataba na adidas? Achaneni na viatu vya kichina.
 
Kuna Sanchez na mwanzie Badiashile, yaan hawa wachezaji ni mafala sana. Haya magoli tungekua na golie wa maana yasingefungwa.
Sijui kwa nini Kocha asimuanzishe Tosin ahead of Badiashile.
 
Ukitoa mistake ya cucurella ila Sanchez hapa Maresca inabid aanze kufanya maamuzi kwa huyu yani game 1 atacheza vizuri ila inayofuata tegemea tu alete makosa
 
Spurs wajanja sana Kuna mda wanarudi nyuma wote afu Kuna mda wanaifungua game kweli kweli
Mahaba niue ujanja wa spurs hapa ni nini wakati wanaacha matundu mengi ni vile huko mbele wanakosa chances
Na individual mistake za Chelsea ndio zitakazowabeba mechi hii wala sio tactical approach ya kocha
 
inaonekana spurs umeaza kuwangilia Jana Moja kati ya tatizo kubwa alinalo spurs msimu huu ni kuruhusu sana magoli na hii inatokana na style ya mpira wao wanaopenda kucheza spurs akiamua kuja kukushambulia anakuja mzima mzima ndio maana unakuta hata beki Yao kama van de veen na Pedro polo wameusika kwenye magoli mengi sana msimu huu ayo mashimo unayo yaona sio kwenye hii mechi yenu tu rejea kwenye mechi aliyocheza na Galatasaray kwenye Europa league victor osimeh alimanusa awafunge Goli Tano pekee ake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom