Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mamaee ,tumefungwaje kifala hivi ?,hebu anayecheki game hii atupe mrejesho game inaendaje wazee
Bahati mbaya kabisa ile, Cucurela kateleza kwa sababu ya viatu vibovu, baadaye alipobadilsiha akatulia
 
Yule Sancho ni mpumbavu sana, hajui maana ya ambush kabisa...yaani wako 3 x 1 alafu anapoza tena mpira.
Isingekuwa penati lawama zote angebeba Leo.
Tulicheleweshwa sana...naona sasa tunakuwa mshindani wa ubingwa. Kuna mchezani kama Palmer akipoteza mpira ata hauna cha kulaumu.
 
Kocha afanyie kazi defence , naona hata Enzo kashaanza kuclick kwenye mfumo , naona central mildfield sio nafasi yake ,ndio maana labda alikuwa anazurura tu uwanjani siku za nyuma
Wale waliosema Enzo Fernandez abadilishwe na Aurélien Tchouaméni au auzwe lazima wafungwe jela mara moja.
 
Huu msimu tukiendelea kukaza hivi hivi tunaweza pata kitu , huyu kuku kishingo liverpool ni kwenda naye bampa to bampa ,hamna kupoteza mechi kiboya na ndio iwe falsafa ya kocha ,dawa ni kuhakikisha unashinda kila mechi ,hasa hawa underdogs ,hawa ndio wa kuwagonga kabisa bila kudondosha point
Nipo safarini. Nimeangalia live score.

HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI MNONO.

THE BLUES ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi.
 
Huu msimu tukiendelea kukaza hivi hivi tunaweza pata kitu kwenye ligi ya Epl , huyu kuku kishingo liverpool ni kwenda naye bampa to bampa ,hamna kupoteza mechi kiboya na ndio iwe falsafa ya kocha ,dawa ni kuhakikisha unashinda kila mechi ,hasa hawa underdogs ,hawa ndio wa kuwagonga kabisa bila kudondosha point
Nipo safarini. Nimeangalia live score.

HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI MNONO.

THE BLUES ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi.
 
Chelsea hii December yote mpaka January 24 kapangiwa Mechi rahisi. Mfululizo.
Maneno ya mkosaji.....mlitudhihaki sana wacha tutembeze mkongoto....wewe umeshindwa kumfunga newcasto tulia najua kuna mtu atakupiga kimoko utashindwa kurudisha


Sisi kazi yetu ni kukutia presure tu, tunacheza bila presure hatuna cha kuppteza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom