Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii mechi inabidi tuwafue spurs ,hii mechi ni ya kushinda ,tatizo beki zimekaa kifala leo na kipa ni pazia .
Enzo katupia huko mamaee
 
Enzo fvcking Fernandez akili zimekaa vizuri baada ya kutoka kula benchi
Oyaaa ,ongeza Lingine
 
Inabidi tuwanyooshe lingine moja ili kujiweka fresh ,hawatabilikagi hawa pimbi
 
Chelsea inacheza poa sana kati hadi mbele shida wakiwa wanacheza nyuma roho mkononi
 
Aisee kipondo kinatembea si mchezo , dogo Palmer ana roho ngumu ,hawaoni huruma ,ni wayaaa tu imooo
 
Sanchez ni fala sana ,hafai kuanza kama kipa namba moja ,ana mistakes nyingi za ovyo mno
 
Kocha afanyie kazi defence , naona hata Enzo kashaanza kuclick kwenye mfumo , naona central mildfield sio nafasi yake ,ndio maana labda alikuwa anazurura tu uwanjani siku za nyuma
 
Mchezaji wa kwanza katika historia ya Premium League kufunga penalties zote 12 bila kukosa hata moja. Aliyekuwa anashikilia hii rekodi ni Yaya Toure kwa kufunga penalti 11 mfululizo
1733682967952.png
 
Mimi sitaki kuongelea mchezaji mmoja mmoja maana kuna watu wana mahaba humu ukimsema anakujia juu.

Hongera Blues. Jackson pengine ile Hattrick aliyoipata dhidi ya Spurs msimu uliopita inamrudia rudia kupelekea kupata wenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom