Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Issue ya defence na goalkeeper ni eneo muhimu sana kwa title contender na hapo ndio tunamapungufu makubwa
Mpira ni mchezo wa makosa lakini huko nyuma tunafanya makosa mepesi sana karibu kila baada ya mechi mbili
Resilience issue bado hatujawa nayo ya kuaminika hatuna uwezo wa kuhimili msako mkali bila kuruhusu goli ambao nayo ni character ya bingwa huwezi dominated game zote kuna mechi unasurvive kwa kuzuia/kutofungwa
Issue ya injury ni common factor kwa timu zote mafano licha ya kuwa na kikosi kipana lakini hakuna mbadala wa palmer na Caseido in term of quality
Mwisho ni gap kubwa na anae ongoza ligi wakati tukiwa kwenye good runs, ukiwa kwenye winning streak kama hizi hutakiwi kuwa nyuma ya mshindani wako kwa zaidi ya point 4
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba nyuma uku hatuja kua fresh sanaa ila hali sio mbaya kiasi kwamba hatuwezi kua katika title race, tulifanya cleansheat kadhaa ikiwemo ya Aston villa, kwa hiyo tikipata Central defender mwenye uwezo wa command na kuongoza nadhani wakina badishile, fofana wataweza ku-improve sio wabaya kivile ila Epl utafungwa tu hata ikiwa na beki wa aina gani na liverpool mwenye beki nzuri anafungwa.

Chelsea imebakiza mipira saba ya December/January yote inauwezo ya kuifunga tunaingia mwaka mpya na point 50+, sisi lengo ni kufunga kila mechi yetu ya bottom 4, Title ya epl FA wataamua wenyewe
 
Badiashile hatokaa akaimprove! Kwanza akiwepo kikosini ndio anasabasha Sanchez afanye a lot of mistakes, kwa kuwa mipira yake yote anaipeleka kwa kipa. Hatuwezi kuchukua ubingwa tukiwa na wachezaji wa hovyo hivyo, hata kama sisi ndio tungekua tunaongozA ligi kwa point7.
 
Sachezi makosa yake ni yakwake ana low concentration capacity anafanya makosa ya wazi wazi hata bila pressure, japo ana saving zingine anazo fanya tusimbeze sanaa.
 
Sachezi makosa yake ni yakwake ana low concentration capacity anafanya makosa ya wazi wazi hata bila pressure, japo ana saving zingine anazo fanya tusimbeze sanaa.
Sijasema Sanchez hana makosa no, nimesema akiwepo Badiashile makosa yanaongezeka yaani kama alitakiwa afanye ma3 basi yatakua ma5. Anapeleka sana mipira kwa kipa.
 
Naona mnajadili kuchukua ubingwa na matakataka yenu hayo, ubingwa tusahau kama bado tu hayo matakataka kwenye timu.
 
Naona mnajadili kuchukua ubingwa na matakataka yenu hayo, ubingwa tusahau kama bado tu hayo matakataka kwenye timu.
Mkuu Papa Gx timu ya ndoto yako haipo hapa duniani, Timu hata iwe nzuri namna gani lazima matakata yawepo kwa sababu hao ni binadamu. Kwa sasa Chelsea ndio inaongoza EPL kwa kuwa na squad nzuri na pana. Kitakachotukwamisha tusibebe ubingwa ni ugeni wa wachezaji tu
  1. Wageni wao kwa wao - hawajazoeana kama kwenye timu zingine kama Arsenal kwa mfano
  2. Wageni EPL, wengi wao wana misimu miwili tu
  3. Wengi wao bado wachanga - wengi ni U23
So tufurahie tu mafanikio yaliyokwisha fikiwa na yatakayofikiwa
  1. Naona timu imekuwa na consistency - kitu ambacho inatia tumaini
  2. Morale ya timu iko juu na wanacheza kama timu tofauti na wakati wa Potetr na Poche. Hii inaonekana hata wakifungwa wanakuja na ari kubwa ya kusawazisha na kuongoza
  3. Wachezaji wanaonekana kumuelewa, kumtii na kumpenda kocha kitu ambacho ni kuzuri sana
  4. Kocha naye anaonekana wazi harembi wa kuwabembeleza hao watoto kama walivyokuwa akina Potter na Poche
Yajayo yanafurahisha zaidi
 
Msimu uliopita kwenye Premier League baada ya mechi 15:
Chelsea: pointi 19
Man United: pointi 24

Msimu huu baada ya mechi 15:
Chelsea: pointi 31
Man United: pointi 19

Poleni sana Manure
1733838922811.png
 
Kama kuna kosa Marinyo aliwahi kufanya ni kuwauza de brune na Salaa....Palmer ni mchezaji na nusu.....palmer 1 ni sawa na wachezaji wa Man u 9
Salah alisatahili kabisa kuuzwa nyakati zile maana alikuwa underdog ilihali Oscar alikuwa on fire 🔥, asingeweza kuanza first 11 kisha Oscar atokee benchi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Umenikumbusha Pochettino, ilikuwa tukitunguliwa kamoja tu, hatuwezi kurudi mchezoni
Kweli kabisa ila si kwa Man City, Chelsea SC tulipambana naye nnje ndani chini ya Pochettinho.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mkuu sijui unamanisha nini? Chelsea ni no:2 kwenye table, Chelsea imefunga magoli kuliko timu yoyote Epl, Chelsea ina average timu ya umri mdogo kuliko timu yoyote Epl chelsea ina top players ambao wanapewa numbers timu yoyote Epl, wa kwanza ni 1.palmer 2, Neto 3,canceido 4 Enzo 5. Cuculera 7.Lavia hao wate wana uwezo wakukupa matokeo kwa wakati wowote.

Suali langu kwako ni kwamba unanataka timu iwe je ili tuwe title contenders mwaka hu?.....nina wakika hatuwezi kumfunga Liverpool kwasbb ya experience na kasi ya wachezaji wake, ila Brighton anaweza kumfunga sisi tuna uwezo wa 100% wa kumfunga Brighton na Newcastle kwahiyo mimi nasema chances za kua mabingwa 2024/5 ni above 50%

Liverpool sio wakuamini sanaa squad yake sio paana ki vile akipata majeruhi ataanza kuboronga, Arsenal kasha jikatia ringi mapema tu jana angepoteza tu, anategemea je, Kei, Rice, Thomas joghinio, Jesus, Matineli hao ni wa choovu fomu yao ni seasonal, timu Tishio ni mancity akijipanga ili dirisha la January kwasbb ya kocha wao ni wa mikakati ya kuchukua kombe.
Man City bado ana nafasi ya kuwania ubingwa wa EPL 2024/2025, ni mapema sana kumbeza kulingana na ufundi na uzoefu wa Pep Gadiola na ukubwa wa kikosi cha Man City.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Point No. 2 Mkuu umenikumbusha hiyo THE BLUES ya Potter na Poch ikishatanguliwa kufungwa ndio basi tena mechi imeisha. Wachezaji ndio kwanza wanacheza kama wao ndio wanaongoza magoli ilikuwa inakera sana.

Mechi ya juzi kusawazisha goli 2 na kuongeza aisee THE BLUES imebadilika sana. Hii ndio ile blues Tuchel alisema wapinzani hawatapenda kucheza nayo.

Nasubiria kwa hamu usajili wa January tuone Maresca anawaza nini kwenye maboresho ya kikosi.
Usitegemee january kama kutakuwa na usajili mkubwa ,

Kwa Upande wangu sitegemei kama tutasajil January
 
Kama kuna kosa Marinyo aliwahi kufanya ni kuwauza de brune na Salaa....Palmer ni mchezaji na nusu.....palmer 1 ni sawa na wachezaji wa Man u 9
Sidhan kama ni kosa ila kwa wakat ule Team ilikuwa imekamilika ni vile hatukuwa na plan ya misim 3-5 mbele

Ilikuwa ngumu sana kuwaweka Schurlle,Oscar,Hazard,Willian wakae nje wakat huo huo Mata nae anasuburi nje.
 
Feb - May Hapa Ndio Maboko ya Aser8 na Liverkuku yanapoanzaga na ndio kipindi hicho CITY anaanza kuchanga karata zake vizuri.

Ni kipindi ambacho ushindi wa goli 1 unathamani sana kuliko kutoa draw au kufungwa.

January tusajili Kipa + CB watakuotuvusha Feb - May. Kwenda na Sanchez ni Kwenda kutembea peku kwenye uwanja uliojaa mbigiri.
Tunajidanganya tunavyosemq January tusajili kipa😀😀😀

Sioni januar tukisajili labda yatokee tupate majeruhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom