Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mudryk anakitu shida yake ni swala la maamuzi na anacomplicate vitu
Kocha kasema Mudryk hana shida kwenye quality ya uchezaji ila kwenye maamuzi. kila akitaka kujaribu kitu kipya anaharibu. Kwa nini asibaki na basics za mpira tu. Ana complicate kwa kutaka kufanya ubunifu ambao kwake unatakiwa uje naturally. Kama leo amejitahidi kucheza vizuri, movement zake ni nzuri na zina pace kubwa, very danherous to opponent, ila hizo move anazicomlicate kwa kutaka kufanya ubunifu usiowezekana
 
Funga domo lako kaya wewe Obi Mikel, Acha kuongea utumbo. Tunaua wenyewe kwa ajili ya Afrika
By Nicolas Jackson on Instagram
1724603523112.png
 
Madueke unamuonaje? Maana unampingaga

Zile mechi za mwisho msimu jana tulizoshinda Mudueke alikuwa na mchango mzuri.

Timu zenye kupaki basi Mudueke anaweza kuyafungua hayo mabasi,

anaweza kutoa cross ambayo inavunja mstari wa mabeki,

au akiona fursa anaingia kwenye box na kuwin penalty au kufunga kabisa.

Katika mechi chache za mwisho alizocheza msimu jana aliweza kufunga. Ikumbukwe hakuanza msimu kama alivyomaliza maana mwanzoni ilimlazimu hata Pochetino kumpiga benchi na baada ya kuboresha game yake alianza kupata nafasi.

Katika pre season katumika sana na kafunga magoli 3 na kuonesha improved game.

Sasa sina uhakika kama haya ni vigumu kuyaona. Na ukiona mpira unaenda kasi kiasi kwamba huelewi kinachoendelea, badi baada ya mechi nenda you tube search Mudueke ili ujionee kwamba amefanya nini ktk mechi nzima

Umenichanganya nini?

Usinichanganye na hao wasioangalia mpira
 
Nilishasema kuwa na Enzo, Caisedo ni uchochoro. Wiki iliyopita Kovacic alipita kati yao kama mazuzu akafunga. Na leo wanaicost timu.

Alafu pia Palmer na Enzo si wakabaji hivyo timu inalemewa kama hatuna mpira. Presha kwa namba 6 na mabeki inakuwa kubwa
Chelsea tuna namba sita mmoja ambaye ni lavia ,caisedo na enzo hawana habari ya kunusa hatari wala hawako confortable kuchukua mali chini,mechi ya city kabla ya kutoka Lavia mipira ilikuwa ngumu kupita katikati ,Lavia ni six ya boli inachukua mali nyuma ina turn 360 degree comfortable kabisa ,na badala anunuliwe six mwingine ,mngnt imeleta joao.
 
Hawa pundits wengine bana ni kwa vile wamepata bahati ya kuongea kwenye platform kubwa kubw akama zile za SkySports
Lavia bana mchokozi sana, ona alichopost kwenye Instagram yake
1724609366622.png
 
Uzuri kocha anaona kile mashabiki tunaona
 
Attachments

  • Screenshot_20240825_210951_Facebook.jpg
    Screenshot_20240825_210951_Facebook.jpg
    144.7 KB · Views: 11
Maoni ya ajabu: Ikiwa Noni Madueke atapata dakika za kutosha msimu huu chini ya Maresca na aina hii ya uchezaji, atafunga mabao 20+. Nini maoni yako
 
Naona aina uchezaji wa Enzo na Caicedo wa kutembea na mpira naona kama unaacha gap kubwa nyuma yao ambalo ni advantage kwa timu pinzani.

Solution ni nini? Kuwapanga wa Lavia au au beki zikabie juu kuziba gap?
Hili tatizo lilionekana toka kipindi cha Pochettino. Enzo alipopata injury akawa hachezi timu ikabalanse kiasi kwenye midfield. Nadhani Caicedo anacheza vizuri na Lavia kwa kuzingatia mechi dhidi ya Man City walicheza vizuri sana mpaka alipotoka ndio Kova anapita katikati ya wachezaji na kufunga kirahisi.
 
Tatizo la Madueke ni attitude sio kipaji
 
Attachments

  • Screenshot_20240825_210818_Facebook.jpg
    Screenshot_20240825_210818_Facebook.jpg
    176 KB · Views: 10
Katika wachezaji walioorodheshwa hapo wa kuondoka sijaelewa yule dogo Petrovic anashida gani mpaka naye aondoke. Alifanya vizuri sana msimu uliopita kipindi Sanchez kaumia sasa naona kocha naye hamuhitaji.
 
Attachments

  • Screenshot_20240824_223902_Instagram.jpg
    Screenshot_20240824_223902_Instagram.jpg
    267.3 KB · Views: 10

Similar Discussions

Back
Top Bottom