lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Kama ulimfuatilia huko ulitakiwa pia kujau alikuwa na miak 18/19 na kumhukumu mchezaji wa umri huo ni ukatili mkubwa kwa mtu anayejinasibu kuwa anaujua mpiraMkuu Madueke namjua toka anacheza league ya uholanzi, ni mchezaji wa kawaida mno kucheza Chelsea labda let's hope miaka mitatu ijayo awe amejifunza mpira lakn kwa Sasa hapa he's too low for Chelsea.
Hapa Chelsea mwaka huu ndio kwanza ameanza miaka 22 bado dunia yote iko mbele yake
Preseason ni moja wa wachezaji walioonyesha uwezo mkubwa sana na akipata muda hapa Chelsea au nje ya Chelsea na moto huu huu ataenda mbali sana