Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Ishu inayochalkenge ni kwamba Enzo anaoffer kitu cha kipekee kwenye kupiga pass. Yule kijana pasi zake zina macho na zinabreak lines kadhaa kwenye pitch kitu ambacho Caisedo siyo mzuri sana labda Lavia tatizo la Enzo ni kuwa siyo mzuri defensively. Hata pale Argentina kuna majitu yanamrahisishia kazi akina De PaulHili tatizo lilionekana toka kipindi cha Pochettino. Enzo alipopata injury akawa hachezi timu ikabalanse kiasi kwenye midfield. Nadhani Caicedo anacheza vizuri na Lavia kwa kuzingatia mechi dhidi ya Man City walicheza vizuri sana mpaka alipotoka ndio Kova anapita katikati ya wachezaji na kufunga kirahisi.