Mudryk eti awe anabaki wapi😂😂😂Ni system ya uchezaji iendelee kuwa hivi kwenye ushambuliaji. Ila mudyk awe anabaki kwenye uwanja wa mazoezi kufyeka nyasi
Nilipost hapa video akicheza Benefica ni natural striker, Felix alichependewa na Maresca ndio huo uwezo wake wa kucheza nafasi nyingiJoao Felix ni winger hajawahi kuwa namba 10 toka ameanza mpira. Wing preferably kwa Felix ni left na ndio maana Sterling kaondoka, Mudryk ni swala la muda tu.
Kilaza madueke leo kaniprove wrong ,ngoja tuone kama form hii ataendelea nayo mpaka mwisho wa msimu ,Ni system ya uchezaji iendelee kuwa hivi kwenye ushambuliaji. Ila mudyk awe anabaki kwenye uwanja wa mazoezi kufyeka nyasi
Mudyk atolewe mkopo haraka Kabla dirisha halijafungwa, Tena mkopo wenye masharti nafuu wakopaji wasije wakatuachia.Kilaza madueke leo kaniprove wrong ,ngoja tuone kama form hii ataendelea nayo mpaka mwisho wa msimu ,
Mudryk ndio maiti ambayo hamna matumaini ya kufufuka ,sijui alilogwa na nani huyu dogo .
Improvement sioni kabisa
Hao huwa hata hawaangalii mpiraKuna pimbi hapa alisema ni ukichaa kumfananisha Noni Madueke na Jeremy Doku
Habari ndio hiyo
Kilaza aliyeonekana ana kitu cha ziada kwa Makocha wote waliowahi kuifundisha Chelsea SC akiwepo na bado anaendelea kupangwa first squard, una tatizo mahali si bure.Kilaza madueke leo kaniprove wrong ,ngoja tuone kama form hii ataendelea nayo mpaka mwisho wa msimu ,
Mudryk ndio maiti ambayo hamna matumaini ya kufufuka ,sijui alilogwa na nani huyu dogo .
Improvement sioni kabisa
Bado unachuki zako tu nilisema ona sasa mpk kaondoka na mpiraNoni ni takataka kama huyu kocha alivyo takataka ,we utaona hata leo ,lazima tubondwe leo
Timu linalotegemea kilaza kilaza kama madueke ni upuuz
Ni Chelsea FC sio SC hao sio SimbaChelsea SC bado tunalazimika kutafuta striker no 9 maana hii mechi ilipaswa Chelsea SC itandike Wolverhampton SC hata goli 8.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hawa ndo mawinga sasa. Winger kama havezi kucheza 1v1 vizruti basi awe na pace.Ebu angalia jinsi Neto anavyokimbia kutafuta nafasi, world class
Ebu pia fuatili mtangazaji wa kiarabu, wa bongo haoni ndani
View attachment 3079056
Mudryk anakitu shida yake ni swala la maamuzi na anacomplicate vituHawa ndo mawinga sasa. Winger kama havezi kucheza 1v1 vizruti basi awe na pace.
Kuna watu wanamcrticize Mudryk ila binafsi nafikiri ana kitu, ni vile anahitaji tu muda. Afundishwe zaidi na apewe minutes kati ya 30-60?