Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli la pili nitamlaumu sana Madueke, Mabeki na Kipa
Goli limesababishwa kirahisi mno na limeingia kirahisi mno bila juhudi ya mabeki au kipa
Uzuri wa MAdueke kule mbele unaharibiwa na ukabaji wake mbovu
 
Caisedo mistake
Enzo alipaswa kuwin mpira baada ya Caisedo kufanya makosa na huu udhaifu wa Enzo,

Fofana hajui kama yeye ni beki anamark hewa,
Angalia goli lililokataliwa la Wovles, na haya mawili, tunashida kwenye namna ya kukaba sana. Kocha kafanikiwa tu kwenye kutenegeneza movmemenht za kushambulia na kupigiana pasi ila tukiwa hatuna mpira tuna udhaiofu mkubwa na huu naona tutaenda nao hadi mwisho wa msimu
 
Partnership ya Enzo na Caicedo ni sawa na kuchanganya betri na gunzi kuwasha tochi.
Nilishasema kuwa na Enzo, Caisedo ni uchochoro. Wiki iliyopita Kovacic alipita kati yao kama mazuzu akafunga. Na leo wanaicost timu.

Alafu pia Palmer na Enzo si wakabaji hivyo timu inalemewa kama hatuna mpira. Presha kwa namba 6 na mabeki inakuwa kubwa
 
Hili deal la Felix sidhan kama lilikuwa linahaja

hatuna haja ya no 10 kwa sasa,

LW na CF hizo ndio sehem tulizozihitaji tho Pedro anaweza cheza LW
CF
Neto palmer madueke

Halaf mwakan unawaongeza Estevao na Paez
Mkuu Felix sio namba 10 wala hajawahi kuwa namba 10. Felix ni winger tena hasa LW
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom