lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Wewe mkuu unsema nini? Felix ni namba gani sasaMkuu Felix sio namba 10 wala hajawahi kuwa namba 10. Felix ni winger tena hasa LW
Wewe mkuu unsema nini? Felix ni namba gani sasaMkuu Felix sio namba 10 wala hajawahi kuwa namba 10. Felix ni winger tena hasa LW
Timu yenye Safu bora ya ushambuliaji hushinda mechi lakini timu yenye Safu bora ya ulinzi hushinda kombe.Nilishasema kuwa na Enzo, Caisedo ni uchochoro. Wiki iliyopita Kovacic alipita kati yao kama mazuzu akafunga. Na leo wanaicost timu.
Alafu pia Palmer na Enzo si wakabaji hivyo timu inalemewa kama hatuna mpira. Presha kwa namba 6 na mabeki inakuwa kubwa
Tatizo la Caicedo ni anachukua muda kufit in kwenye mfumo, hata kwa Pochettino ilikuwa hivi hivi ila baadaye alikuja kutulia. Enzo sijui ni nini kimempata kwa kweli, siko confortabloe akichez ana Caicedo. Enzo anafaa asipewe majukumu makubwa ya kukaba. Akiwepo Lavia inaweza kumpunguzia hayo majukumuNilishasema kuwa na Enzo, Caisedo ni uchochoro. Wiki iliyopita Kovacic alipita kati yao kama mazuzu akafunga. Na leo wanaicost timu.
Alafu pia Palmer na Enzo si wakabaji hivyo timu inalemewa kama hatuna mpira. Presha kwa namba 6 na mabeki inakuwa kubwa
Joao Felix ni winger hajawahi kuwa namba 10 toka ameanza mpira. Wing preferably kwa Felix ni left na ndio maana Sterling kaondoka, Mudryk ni swala la muda tu.Wewe mkuu unsema nini? Felix ni namba gani sasa
Tatizo la Caicedo ni anachukua muda kufit in kwenye mfumo, hata kwa Pochettino ilikuwa hivi hivi ila baadaye alikuja kutulia. Enzo sijui ni nini kimempata kwa kweli, siko confortabloe akichez ana Caicedo. Enzo anafaa asipewe majukumu makubwa ya kukaba. Akiwepo Lavia inaweza kumpunguzia hayo majukumu
Tunaua paka hawa wanaojiita mbwehaAisee leo tunafanya mauaji ya kimbari
Unasemaaaa...???1 Madueke = 10 Saka
Ni system ya uchezaji iendelee kuwa hivi kwenye ushambuliaji. Ila mudyk awe anabaki kwenye uwanja wa mazoezi kufyeka nyasiSijui madueke ataendelea kuwa kwenye form hivi hivi