juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Bayern nao wameenda Kwa Kompany mjue sahiv soka lishsbadilika watu hawataki tu majina ya kocha bali waangalia unanini je kweny sehem ambazo kuna resource nyingi kuna chance unaweza ukafanikiwa.Pia ukifatilia mijadara utaelewa kuwa mimi nasapoti yeyote atakayechaguliwa ambacho nasisitiza ni kuwa inexperience isn't healthy for bigger clubs as ours
Na kingine kocha anaeweza fit ndani ya mfumo wa team kuanzia management mpk kwa wachezaji.
Team zote sasa hiv zinamifumo ishawekwa na ishakuwa stable .
Nilikupa mfano mzuri wa Klopp na Edward mwishon walishindwa elewana mwisho wa siku Edward akaondoka,Now Klopp anaondoka Edward karudi.
Jiulize why hata Liverpool,Bayern hawajaenda kwa makocha ambao wako tayar na mafanikio??
Why hata leo hii Man Utd ukifatilia hata makocha wanaowataka utaona 90% bado hawajawa na mafanikio na ni inexperience kwenye vilabu vikubwa.
Ni either sisi mashabiki ndio hatutak kukubali kuwa soka la sasa haliangalii majina na lishabadilika au ni vile tu tumeamua kuwa nachuki kwa kukihisi kila kitu tunakijua.