lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,488
Usimuunderate Enzo, aje tumpe muda, nusu msimu unatosha kujua kocha anafaa au hafai, saa nyingine hata mechi 10 tu zinatoa pichaChelsea ni Certified midtable team
Usimuunderate Enzo, aje tumpe muda, nusu msimu unatosha kujua kocha anafaa au hafai, saa nyingine hata mechi 10 tu zinatoa pichaChelsea ni Certified midtable team
Hapana, wamiliki wana point mtakuja kuwaelewa baadayeUjinga wa matajiri. Walitaka watu wa kuongozwa na kusema yes sir kwa kila kitu na huyo wamempata sasa. Chelsea ilipaswa kugain momentum baada ya kuanza kupata stability. Ngoja tumpe muda kama atateuliwa.
Kilichowavutia SD na wamiliki ni kwamba anajua nguvu na udhaifu wa wachezaji wengi wa Chelsea tofauti na makocha wengineProfile yake ina match na wachezaj tulionao based na source nilizopitia kumsoma .
Ngoja tuone kipi atakileta
Hao makocha wazoefu wengi wao ni vichwa ngumu, wagumu kubadilika kulingana na wakati na m,pinzani. Mfano mzuri Pochettino, angekuwa ni mrahisi wa kubadilika leo Chelsea tungekuwa UCL. Kocha pekee mzoefu ambaye angematch hii timu ni Acceloti na hapatikani, wacha tufanye gamble na hawa wasio na uzoefuIla haimechi na standards za Chelsea. Ni unproven. No EPL experience ila tutalazimika kumback up as long as atakuwa a Chelsea coach
Kitu nachoimani nacho siku hii kitu ikikubali nadhani tutakuwa na uwezo wa kutawala soka la uingereza kwa mda mrefu.Hapana, wamiliki wana point mtakuja kuwaelewa baadaye
Kuna mchambuzi mmoja kachambua vizuri
Wameweka structure nzuri sana na falsafa pia
Model waliochukua wamiliki ni timu iongozwe na iadentity of play kutoka kwa uongozi na sio kocha
Hii approach mbona inafuatwa na timu nyingi toka zamani tukianzia na Barcelona, Bayern Munich nk
Model hii inahitaji kocha ndie aweze ku fit in
Model hii haitaki kocha wa kuja na kuanza kulalamika kama Pochettino kuhusu usajili au anamtaka huyu huyu hamtaki
Nawaunga mkono asilimia 100. Kuna makocha tukiwapa mamlaka watatuharibia timu halafu watakimbia na tutakaoumia ni sisi
Mfano
TT alitaka magarasha mengi yakaletwa, baadaye hayakufaa kitu ikabidi yauzwe kwa beo poa
Building from SD naona ina uendelevu fulani mzuri kuliko timu ikijengwa kutokea kwa kocha
Huwezi kubuid kwa kuteua makocha na kuwafukuza kila msimu. Utakosa continuity.Hapana, wamiliki wana point mtakuja kuwaelewa baadaye
Kuna mchambuzi mmoja kachambua vizuri
Wameweka structure nzuri sana na falsafa pia
Model waliochukua wamiliki ni timu iongozwe na iadentity of play kutoka kwa uongozi na sio kocha
Hii approach mbona inafuatwa na timu nyingi toka zamani tukianzia na Barcelona, Bayern Munich nk
Model hii inahitaji kocha ndie aweze ku fit in
Model hii haitaki kocha wa kuja na kuanza kulalamika kama Pochettino kuhusu usajili au anamtaka huyu huyu hamtaki
Nawaunga mkono asilimia 100. Kuna makocha tukiwapa mamlaka watatuharibia timu halafu watakimbia na tutakaoumia ni sisi
Mfano
TT alitaka magarasha mengi yakaletwa, baadaye hayakufaa kitu ikabidi yauzwe kwa beo poa
Building from SD naona ina uendelevu fulani mzuri kuliko timu ikijengwa kutokea kwa kocha
Hakuna tajiri atakuja kumatch mafanikio ya Abramovich. That guy had a very high football passionKitu nachoimani nacho siku hii kitu ikikubali nadhani tutakuwa na uwezo wa kutawala soka la uingereza kwa mda mrefu.
Tumeshindwa tawala epl kwa sababu ya kutokuwa na mwendelezo mzuri tunapata kombe msim mmoja msim wapili kocha akifanya vibaya badala ya kuangalia shida nini tunajikuta tunamtimua kocha anakuja mwingine cycle inajirudia.
poch ameacha msingi na stability ndani ya team Maresca sidhan kama atapata shida sana.
Ps.
Tusimuunderrate Enzo Maresca huenda akafanya makubwa kuliko hata hao tuliokuwa na matumaini nao.
Tuissupport team sasa
Mda ni kitu muhimi sana, Tuombe uzima tuHakuna tajiri atakuja kumatch mafanikio ya Abramovich. That guy had a very high football passion
Huwezi pia baki na kocha asiyeweza kushirikiana na wenzake. kuchimbana kwenye vyombo vya habari. kulalamika kila wiki kwenye press conference. huwezi jenga ngome kwa mentality hiyo hata kama wewe ni kocha mzuri. Kocha mzuri ni yule anayefit in kwenye timu na anaielewa squad na anao uwezo wa kuifundisha ikawa timu nzuri huku akiwa anashirikiana na wenzake. Hiyo match ni ya lazima na ndio protocols za leadership na good governanceHuwezi kubuid kwa kuteua makocha na kuwafukuza kila msimu. Utakosa continuity.
Kuliko ubishi na kuhukumu wakati muda ungalipoMda ni kitu muhimi sana, Tuombe uzima tu
Inaelekea Poch moshavu kwako ni bonge la kocha!!!, usimalize maneno badae ukawa unapita JF kwa kuchungulia.Ndo maana nilisema makocha wote waliotajwa it was a downgrade on Pochetinho. Japo tunaweza kupata a good gamble.
Inaonekana kwako De Zerbi ni bonge la kocha maana hamkuacha kumsifia humu kila wakati japo matajiri hata wao hawamkubaliInaelekea Poch moshavu kwako ni bonge la kocha!!!, usimalize maneno badae ukawa unapita JF kwa kuchungulia.
Pia ukifatilia mijadara utaelewa kuwa mimi nasapoti yeyote atakayechaguliwa ambacho nasisitiza ni kuwa inexperience isn't healthy for bigger clubs as oursInaelekea Poch moshavu kwako ni bonge la kocha!!!, usimalize maneno badae ukawa unapita JF kwa kuchungulia.
Hata angewekwa jiwe, alimradi Mashavu anaondoka, it is OK 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Pia ukifatilia mijadara utaelewa kuwa mimi nasapoti yeyote atakayechaguliwa ambacho nasisitiza ni kuwa inexperience isn't healthy for bigger clubs as ours