lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Ancelotti alifungwa hovyo hovyo akiwa manager wa Everton lakini haikumpunguzia heshima yake ya kuwe elite coach na ndio maana Real Madrid wakamchukuaAnasahau De Zerbi kafungwa kila mechi alikutana na Pochetino. Vijana wa Chelsea ni shida. Ukiwa serious na wanachosema utaishia kupoteza nguvu zako bure
Kushinda au kushindwa ni subject na rasilimali zilizoko mkononi mwako. Kila mara tunawaambia wachezaji Brighton walimsajilia RDZ nim matakataka kuliko wote EPL hamsikii. RDZ kaamua kutoka kistaharabu pale kwa sababu hiyo
Chelsea tuna wachezaji wazuri sana ambao hata hao makocha wa Championship wakija wakatuliza kichwa watafika mbali sana
Poche alikuwa ni tapeli lisilobadilika, mbishi na mkorofi
Old fasion methods, hana tofauti na akina MOU