Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1716900716227.png
 
Kocha ambaye yupo serious unamtambua ata kumwona appearance, Poche alikuwa wa baridi sana kama Lampard, Ten Hag na Potter tu.
Kocha gani hawezi kuwakemea wachezaji uwanjani? Alikaa ki zezeta zezeta sana.
KARIBU SANA ENZO.
 
Enzo Maresca juu ya yeye kushindwa akiwa kocha wa Parma:

"Walinipa mkataba wa miaka mitatu, na unapofanya mkataba wa miaka mingi ni kwa sababu kuna wazo la mradi nyuma yake na matarajio yasiyo ya kweli"

"Hakuna mtu aliyewahi kuniambia kuwa katika mwaka wa kwanza tulipaswa kwenda Serie A, zaidi sana wakati wachezaji 15 au hivyo wapya wanapowasili katika majira ya joto. Parma wangeweza kucheza mechi za mtoano kama wachezaji watatu tuliowaainisha kusajiliwa kwenye dirisha la usajili la Januari wangesajiliwa."
Mbona kaanza lawama kabla ya kazi sasa?
 
Kwa mfumo wa Enzo Maresca wachezaji hawa wakiwa fit watatumika sana na watafaa sana kwenye formation na pattern ya uchezaji wake msimu ujao
  1. Reece James - Wings back wa kuingia na kucheza kiungo
  2. Cucurella - kama james
  3. Lavia
  4. Caicedo
  5. Jackson
  6. Palmer
  7. Enzo
  8. Santos kama atabaki
  9. Disasi
  10. Badiashile
  11. Colwill
  12. Fofana
  13. Chukwuemeka
Gusto ni mzuri ila atatakiwa kuadapt kwenye posession footabll
Pia Madueke, Mudryk, Petrovic anatakiwa kuobresha footwork yake,
 
Romeo Lavia [2021]:

"Ninafurahia sana kurejesha mpira na kupasi kupita katikati ya wachezaji wa upinzani. Enzo ilinisaidia sana kwa hilo, kila mara kuwa kwenye nusu zamu ili niweze kuona mchezo unasonga mbele, kwa hivyo sio shida sasa. "

Romeo Lavia [2021]:

"I really enjoy recovering the ball and passing through the lines. Enzo's helped me a lot with that, always being on the half-turn so I can see the game going forward, so it’s not a problem now."
https://x.com/Blue_Footy/status/1795400951433683190/photo/1
 
BREAKING NEWS:

MANCHESTER UNITED HUENDA WASIFUZU TENA EUROPA LIGI🚨

Hii ndio sababu:

INEOS Group Limited anamiliki Nice na Manchester United na timu zote zimefuzu kwa mashindano hayo ya Europa League

Kanuni za UEFA zinakataza timu zinazomilikiwa na mmiliki huyo huyo kushiriki kwenye ligi inayofanana.

Hii inamaanisha nini:

Man United WANAWEZA kushushwa daraja kwenye Conference League na Chelsea WANAWEZA kuchukua nafasi yao ya Europa League

Source: @MailSport

Sheria yenyewe hii hapa

This article is not applicable if any of the cases listed under Paragraph 5.01 happens between:

1. a club qualifying for the UEFA Champions League and entering the league phase directly and a club qualifying for the UEFA Europa League or UEFA Conference League.

2. a club qualifying for the UEFA Champions League and entering the playoffs (champions path or league path) or the third qualifying round of the league path directly or for the UEFA Europa League and entering the league phase directly and a club qualifying for the UEFA Conference League.

Maelezo zaidi hapa: UEFA Documents

1716904930628.png
 
Kwa mfumo wa Enzo Maresca wachezaji hawa wakiwa fit watatumika sana na watafaa sana kwenye formation na pattern ya uchezaji wake msimu ujao
  1. Reece James - Wings back wa kuingia na kucheza kiungo
  2. Cucurella - kama james
  3. Lavia
  4. Caicedo
  5. Jackson
  6. Palmer
  7. Enzo
  8. Santos kama atabaki
  9. Disasi
  10. Badiashile
  11. Colwill
  12. Fofana
  13. Chukwuemeka
Gusto ni mzuri ila atatakiwa kuadapt kwenye posession footabll
Pia Madueke, Mudryk, Petrovic anatakiwa kuobresha footwork yake,
Uza Disasi hapa, huyu mda wote anachoma
 
Uza Disasi hapa, huyu mda wote anachoma
Mfumo unaweza kumlinda, kama Enzo akimpliment mfumo wake wa inverted LB maana kwenye defense wanakuwepo walinzi wanane kabla ya mabeki hawajafikiwa. Tatizo la Disasi ni slow kureact na huo uslow wake unaweza funikwa na akwa CB bora.

Mfano mzuri, Vestergaard wa Leicester city yuko slow kama Disasi lakini mfumo wa kocha ulimfunika akawa CB mzuri
Kwenye possessive football mabeki wanakuwa hawahitajiki kumpress kama ilivyo kwenye mpira wa transition
Maoni yangu na pia itakuwa na risky kubwa. Ikitokea akauzwa itakuwa bora zaidi

Mfumo unaweza kumlinda, kama ENzo akimpliment mfumo wake wa inverted LB maana kwenye defense wanakuwepo walinzi wanane kabla ya mabeki hawajafikiwa. Tatizo la Disasi ni slow kureact na huo uslow wake unaweza funikwa na akwa CB bora. Maoni yangu na p[ia itakuwa na risky kubwa. Ikitokea akauzwa itakuwa bora zaidi
Kwa hiyo ghalagher na Chalobah wanauzwa au ?
 
Kwa alie ifuatilia Leicester City kule Championship atuambie huyo Kocha soka lake liko vipi.
 
Kwa mfumo wa Enzo Maresca wachezaji hawa wakiwa fit watatumika sana na watafaa sana kwenye formation na pattern ya uchezaji wake msimu ujao
  1. Reece James - Wings back wa kuingia na kucheza kiungo
  2. Cucurella - kama james
  3. Lavia
  4. Caicedo
  5. Jackson
  6. Palmer
  7. Enzo
  8. Santos kama atabaki
  9. Disasi
  10. Badiashile
  11. Colwill
  12. Fofana
  13. Chukwuemeka
Gusto ni mzuri ila atatakiwa kuadapt kwenye posession footabll
Pia Madueke, Mudryk, Petrovic anatakiwa kuobresha footwork yake,
Ondoa Badiashile na Disasi weka Chalobah plus new CB, Cucullera isn't reliable as well due to his inconsistency. Hao Disasi na Badiashile wakae na Chalobah awafundishe namna ya kufanya build up na kudefend one vs one
 
Challabor na build up wap na wap jamani acha kumsingizia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom