Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama unaelewa mpira angalau kidogo utagundua kuwa baada ya Chalobah kupona na kuanza kucheza ndipo defence yetu ilianzakukaa sawa.
Sasa mimi nimeongelea defence au build up? Kaangalie hat mechi moja tu aliyocheza dk. zote alizocheza alikua akipewa mpira anaupeleka wapi, tena kwa mpira wa huyo kocha ndio haumfai kabisa huyo kisoda. Mtampa lawama bure
 
Kama unaelewa mpira angalau kidogo utagundua kuwa baada ya Chalobah kupona na kuanza kucheza ndipo defence yetu ilianzakukaa sawa.
Chalobah anajua kusoma mchezo na ni mwepesi na hiyo ndio anayowazidi CB wengi pale Chelsea. CB mdogo mwenye kujua kusoma mchezo na kufannya timing tackle angalau zaidi ya Badiashile na Disasi
 
  1. Willy Caballero - Assistant manager on Analysis and tactical observation
  2. Danny Walker - Assistant manager
  3. Michele de Bernardin - Goal keeping coach
  4. Marcos Alvarez - Fitness coach
  5. Javier Molina Caballero - First team analyst
wote hapo juu wanatarajiwa kuungana na Enzo Maresca katika klabu ya Chelsea.
@JPercyTelegraph
 
Kamzid uwezo yaan kila kitu, poch labda mashavu tu ndio kamzid. Kama huamini wampe poch Brighton asipoishusha daraja.
Brighton ni team yenye muundo Mzuri ndio maana makocha wengi wanafanikiwa hicho sio kigezo chakusema amemzidi poche
 
Brighton ni team yenye muundo Mzuri ndio maana makocha wengi wanafanikiwa hicho sio kigezo chakusema amemzidi poche
Ina wachezaji makapi sana, kocha atakayekuaj hiyo Brighton itashuka daraja
 
Ondoa Badiashile na Disasi weka Chalobah plus new CB, Cucullera isn't reliable as well due to his inconsistency. Hao Disasi na Badiashile wakae na Chalobah awafundishe namna ya kufanya build up na kudefend one vs one
Chalobah anauzwa, CB mpya wa nini? mada ilibase kwenye wachezaji waliopo, soma vizuri
 
Na kila mara hutu tunawaambia mfumo wa uendeshaji inaotaka kuutumia Chelsea haupaswi kuwa wa fukuza fukuza fukuza kama zamani. Ila kuna watu vichwa ngumu zinakaza fuvu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240529_051227_X.jpg
    Screenshot_20240529_051227_X.jpg
    467.3 KB · Views: 11
Nani kakwambia Chalobah anauzwa? Tusubiri kocha mpya aseme hamuhitaji
C tumekubaliana viongozi wa timu ndio wenye maamuzi juu ya wachezaji na sio kocha, kwahy kwa mfumo huo kama n kufukuzwa au kubaki itakuwa n maamuzi ya viongozi na sio kocha.
 
Nimeipenda sana hii video ya Kaka na Refa. Raha ya Football. Football ni urafiki sio uadui

 
Roberto De Zerbi alitaka udhibiti fulani juu ya wachezaji kubaki na kuingia lakini wakurugenzi walichagua kupinga hilo, Haya ndiyo fursa iliyompa nafasi Enzo Maresca. Maresca yuko tayari kufanya kazi na wachezaji wowote ambao uongozi uatwasajili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom