Tuna wakurugenzi wa michezo wa ajabu sana linapokuja swala la kutafuta kocha.Kiukweli kocha huwezi kumshortlist au kumhoji sana kwa sababu profile zao zinajulikana mpaka personalities zao zinajulikana.
Na hii ndi sababu kuu hawamleti kocha anayefaa. Wanamfanyia usaili kama muuza duka
Too much analysis leads to paralysis
Uchambuzi mwingi huza mapooza
Mwanaume unaitwa ally pipi, ww n mzima kwel ww au ww sio riziki.?Remember when €120M 'Flop' Enzo Fernandez taunted Mason Mount earlier this season for leaving Chelsea? Fast forward...
— Mason Mount WON the FA CUP with United while Enzo lost the Carabao Cup with Chelsea and he'll be playing conference league next season.
We had the last laugh 😂View attachment 3000389
kwetu mbaga ni mchicha😋Mwanaume unaitwa ally pipi, ww n mzima kwel ww au ww sio riziki.?
Chelsea standards have dropped massively.Kuna waliokuwa wanamkandia sana na kulinganisha uwezo wake na matokeo ya Brighton
Aslimia zaidi ya 60% anaweza akachukua yeye ila bado yuko pia Enzo Maresca
Siyo cha mbuzi mkuu maana kimetusababisha tucheze mechi za mkutano/conferenceYES, Mount is a coward, hakuna jina jingine hata kama mmeshinda hicho kikombe cha mbuzi
Chelsea ni Certified midtable teamMaresca ndiye kocha ajaye wa Chelsea. Na hii itakuwa confirmed kabla ya tarehe 1 June
Ujinga wa matajiri. Walitaka watu wa kuongozwa na kusema yes sir kwa kila kitu na huyo wamempata sasa. Chelsea ilipaswa kugain momentum baada ya kuanza kupata stability. Ngoja tumpe muda kama atateuliwa.Chelsea ni Certified midtable team
Kufanya kazi na makocha wakubwa hakukufanyi uwe bora,Maresca kafanya kazi na makocha kama Ancellot, Manuel Pellegrim, Pep Guardiola. Challenge kubwa kwake itakuwa ni uzoefu wa EPL as a Head coach. Ila ni bora kuliko DeZerbi mbabaishaji.
Big Carlo ancelotti ni Yes sirUjinga wa matajiri. Walitaka watu wa kuongozwa na kusema yes sir kwa kila kitu na huyo wamempata sasa. Chelsea ilipaswa kugain momentum baada ya kuanza kupata stability. Ngoja tumpe muda kama atateuliwa.
Ndo maana nilisema makocha wote waliotajwa it was a downgrade on Pochetinho. Japo tunaweza kupata a good gamble.Kufanya kazi na makocha wakubwa hakukufanyi uwe bora,
kila kitu kiende sawa ila tofauti na hivyo tutaonekana ni team ya ajabu.
Tusipofuzu UCL msimu ujao tutakuwa nahali mbaya sana
Profile yake ina match na wachezaj tulionao based na source nilizopitia kumsoma .Maresca ndiye kocha ajaye wa Chelsea. Na hii itakuwa confirmed kabla ya tarehe 1 June
Ila haimechi na standards za Chelsea. Ni unproven. No EPL experience ila tutalazimika kumback up as long as atakuwa a Chelsea coachProfile yake ina match na wachezaj tulionao based na source nilizopitia kumsoma .
Ngoja tuone kipi atakileta
Amekuwa kwa Pep msim waliochukua treble ila ilo halitoshi.Ila haimechi na standards za Chelsea. Ni unproven. No EPL experience ila tutalazimika kumback up as long as atakuwa a Chelsea coach