Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Poche jamani maskini
Hii timu siyo🤣🤣
Hii timu siyo🤣🤣
Tunawaamiliki wa ajabu sanaHawa wamiliki ni wehu ,bora Dezerbi au Ange Yule kocha wa spurs ,
Ila Ndio hivyo ,sidhani kama wana nature ya kuwa slaves
Klopp jamaniPoche jamani maskini
Hii timu siyo🤣🤣
Lengo lao ni kumpata a complete PUPPETTunawaamiliki wa ajabu sana
Kweli Kocha wa Championship,Na Brentford yan mnawajadili ffs yani unamfukuza Poch ili ulete kocha wa Brentford😭😭😭 Wallah tumerogwa
Klopp jamani
Mlimpa muda wa kuimba wimbo
Gallagher hajawa complete midfielder hiyo ndio tofauti iliyopo hapo sio Mzuri kwenye kumiliki mpira pamoja na kucontrol mchezo akivifanyia hivi vitu atakuwa bonge la midfilderMJADALA WAFUNGWA
Conor Gallagher vs Declan Rice katika msimu wa 2023/2024.
Nani ni bora zaidi?
Wanakaribiana katika nyanja nyingi za soka kama vile kugonga, kuachia, kubonyeza, kupiga pasi, kukatiza, kutengeneza nafasi, kulinda na mengine mengi, isipokuwa Gallagher ni bora zaidi kuliko Declan Rice katika pasi za nyuma na faulo alizofanya.
View attachment 2996744
Wewe unampenda Robert De Zebri aje chelseafc au upendi tuanzie hapo kwanzaHabari za ndani zimedai uongozi wa Chelsea unataka ‘kocha mkuu’ ambaye atazingatia kuinua viwango vya wachezaji anaopewa, tofauti na ‘meneja’ ambaye atatinga pande nyingine za biashara.
Chanzo kimoja ambacho hakikubaliani na kuondoka kwa Pochettino Jumanne usiku kilieleza kuwa ni ‘kibaraka’.
Hii sifa inamuangukia Robert De Zerbi kwa 100%
Hawa wamiliki wanataka kocha atakayeinua viwango vya wachezaji ili wauzwe wapate faida. Hata kama kocha hatabeba makombe
Kumbuka pia kuwa waliwahi kusema wanapenda sana model ya Brighton ya mid-table team lakini wamilki wanakula faida vizuri
Tuombe Mungu isiwe hivi nilivyodhania
Nadhani Rooney anawafaa sana kwanza anaijua EPL vizuri pili ni mzalendo kweli kweli 😁😁Majina yanayohusishwa na kocha mpya wa Chelsea.
Kabla hatujampata kocha mpya tutasikia mengi sana
- Kieran Mckenna
- Thomas Frank
- Eddie Howe
- Michel
- Enzo Maresca
- Sebastien HoeneB
- Wayne Rooney
Poch nae hana akili kwenye hilo team imekuwa hovyo kwenye mipira ya juu,Tuchel alimkataa Cristian Ronaldo akafukuzwa
Pochettino alimkataa Bernardo Cueva kama specialist wa set pieces Macrh 2024 akatimuliwa
Hawa makocha wanaotaka kibarua cha kuifundisha Chelsea hawawezi kujifunza kutoka kwa hawa wamiliki wapya?
View attachment 2996783
Unamuondoa Poch ambaye amestabilize timu ili kumleta Thamas Frank, McKenna, De Zerb?Maamuzi sahihi.
Poch hakutaka baadhi ya wachezaji wauzwe kama Galagher na Chaloba ila maboss wanataka kumake profit.Sidhani kama Pochettino kaondoka kwa sababu ya performance based.
Kulikuwa na mvutano mkubwa kati ya wamiliki, wakurugenzi na kocha mkuu. Ni kwa manufaa ya klabu.
Na wakati wanamleta Potter hawakujua?Huyo pochetino hana rekodi ya maana.
Ni average coach. Kuna coaches wapo average teams ila ni talented na promising.
Pochetino ameshakuwa kwenye game na hana matokeo ya maana.
Huu ushindi wa mwishoni ni zuga tu.
Mtu yoyote ambaye ameshawahi simamia any successful project anajua kuwa pochetino kama angebakia lazima angezengua mno next season.
Hao matajiri wa timu sio wajinga wanajua mambo ndio maana ni matajiri.
Na hawawezi kuwa na maamuzi ya kawaida kama sisi.
Vipi kuhusu improvement ya Timu? Au umeshasahau jinsi Lampard?70% ya mashabiki hawakupenda Pochettino kuondoka. Wengi wa hao walizugwa na matokeo ya mechi za mwishoni na Chelsea kushika na. 6
Umemsahau yule msaidizi wa Potter alicoach mechi ya LiverpoolMakocha wanne ndani ya miaka miwili. Tunategemea wa 5 very soon.
Real tired of this team na uongozi wake
De Zerbi kamzidi hadi poch kiufundiUnamuondoa Poch ambaye amestabilize timu ili kumleta Thamas Frank, McKenna, De Zerb?
Uamuzi wa ovyo sana
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app