Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pochettino alikataa kwa nguvu zote wazo lolote kwamba mbinu zake za mafunzo zinaweza kuwa zimechangia tatizo la majeruhi.

Lakini wengine waliotazama vipindi vya Pochettino vya mazoezi - mara nyingi wakiongozwa na msaidizi Jesus Perez - wanasisitiza kwamba wachezaji wa Chelsea walikuwa na kazi nyingi, wakiwa na jukumu la kukimbia kwa kasi kubwa.
@TheAthletic
 
Maandamano yananukia jumapili ijayo saa mbili usiku huko Stamford Bridge kuwapinga wamiliki. Mashabiki hawajafurahishwa na Chelsea kuhusishwa na McKenna na kadhalika.
1716421458967.png
 
Kocha ajaye lazima aweze kufit in kwenye kuboresha viwango vya wachezaji walipo na watakaosajiliwa baadaye
Ni lazima ajue kuendeleza kiwango bora ya Cole Palmer na wale nyota wanaokuja kama akina Estavo na Paez
 
Shida club ya Chelsea mashabiki wengi wanaendeshwa na hisia kuliko akili. Msimu huu kuna wachezaji wameletwa kutoka league nje ya epl mfano Gusto, Disasi, Badiashire, Jackson, Mudryk, Mudueke, lakini ndani ya nusu msimu ameweza kutengeneza timu kutokana na hao wachezaji wasio na uzoefu na EPL.

2. Timu ya Chelsea imefunga magoli mengi sana msimu huu na hata forward walianza kufunga magoli kitu ambacho kilishindikana hapo nyuma tangu aondoke Hazard.

3. Mpira wa Poch ni direct football kuelekea goli. Angalia timu zilizotengeneza nafasi nyingi za kufunga utaikuta Chelsea top 4.

4. Mtu anasema eti nafasi wazi hazikufungwa. Hili ni kosa la kocha? Yaani Nunez asipofunga nafasi ambayo imetengenezwa kwake ni kosa la Klop!?

5. Kulikuwa na mgawanyiko katika dressing room, lakini Poch kaleta stability. Kuanzia Desemba mwaka jana you can sense the spirit of togetherness.

6. Angalia idadi ya injuries katika kikosi chetu alafu linganisha na injuries zilizowapata Man U na Newcastle na uone wako nafasi gani.

7. Poch is highly respected na wachezaji wanaobaki na imeleta shock.

8. Eddie Howe anayekusihwa na Chelsea kamaliza msimu nyuma ya Poch na ana misimu mitatu yuko na timu. Ten Hag ana misimu miwili akiwa na timu .

9. Mwisho tambua kuwa Chelsea siyo Brighton, Brentford au Iptswich. Pressure ya kudeliver ni kubwa na makocha wasio na uzoefu hawawezi kuderiver.

Hivyo alipaswa kupewa msimu kesho na kupewa lengo la kuchallenge Man City na Arsenal then kama angefanikiwa kushika nafasi 3 za juu angepewa lengo la kubabe ubingwa kwenye msimu wake wa tatu.

Watu hasa wanachelsea sijui ni kwa nini hawana uwezo wa kuangalia details za uwanjani?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Ndugu wewe umesema kitu ambacho nimekisema mara nyingi humu. Watu wengi wanaendeshwa na hisia na ukiwaambia wanasema unawatusi au kuwakejeli. Kui c9ach timu kama Chelsea inahitaji kocha mwenye experience na mentality ya kuhandle pressure ya dressing room, ya mashabiki, media ukichanganya na uchanga wa kikosi.

Hayo yote watu wanayapuuzia wakidhani ni jambo jepesi sana. Lakini kwa kile Poch alichokifanya toka msimu unaanza mpaka sasa tunaona atleast mafanikio tena ndani ya msimu mmoja. Alichoona yeye kwa wachezaji alionao inaweza kum cost kama ataamua kuendelea halafu akawa hana maamuzi kwenye sajili za wachezaji anaowataka itakua ngumu kwake kuleta anachokusudia. Kitu ambacho elite coach yoyote hawezi kukubali.

Watu hapa wanataja makocha wa ajabu ajabu kwakua wameona kafundisha vitimu huko vinachezacheza tu anadhani akija Chelsea ndio yatakua hayohayo. Hatutaacha kulalamika kwa upuuzi huu unaondelea yan kila msimu kocha mpya.
 
Usiishi kwenye ndoto. Chelsea ya Abramovich siyo hii ya watoto. Akina Disasi, Levi Colwil, Badiashire, Mudryk, Chukwuemeka.

Wamarekani wamekuja na utamaduni mpya kabisa

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hapa iwe ya abramovic au yoyote, porter alivuruga katimuliwa ,lampard ,poche na huyu anayekuja akivuruga atatimuliwa tu ,mtatafuta sababu nyingi sana ila chelsea kwa uwekezaji haiwezi kukubali kuwa nje ya top four,ni aibu team inayofungwa na olympiacos home and away kucheza uefa chelsea inaangalia tu.
 
Ndugu wewe umesema kitu ambacho nimekisema mara nyingi humu. Watu wengi wanaendeshwa na hisia na ukiwaambia wanasema unawatusi au kuwakejeli. Kui c9ach timu kama Chelsea inahitaji kocha mwenye experience na mentality ya kuhandle pressure ya dressing room, ya mashabiki, media ukichanganya na uchanga wa kikosi.

Hayo yote watu wanayapuuzia wakidhani ni jambo jepesi sana. Lakini kwa kile Poch alichokifanya toka msimu unaanza mpaka sasa tunaona atleast mafanikio tena ndani ya msimu mmoja. Alichoona yeye kwa wachezaji alionao inaweza kum cost kama ataamua kuendelea halafu akawa hana maamuzi kwenye sajili za wachezaji anaowataka itakua ngumu kwake kuleta anachokusudia. Kitu ambacho elite coach yoyote hawezi kukubali.

Watu hapa wanataja makocha wa ajabu ajabu kwakua wameona kafundisha vitimu huko vinachezacheza tu anadhani akija Chelsea ndio yatakua hayohayo. Hatutaacha kulalamika kwa upuuzi huu unaondelea yan kila msimu kocha mpya.
We are on the same page bro. Tatizo la mashabiki wengi wanaipenda Chelsea ila hawaifatilii. Mtu anakwambia tangu Pochetino aje nimeacha kuangalia Chelsea alafu huyo huyo ndo anakuja kusema Chelsea haichezi vizuri. Sasa hauangalii mpira Chelsea unaiona wapi?

Watu hawajui the pressure that comes by coaching a big club like Chelsea. Wanafikiri mtu anaweza kukochi Brentford au Iptswich au Leicester alafu akapata matokeo hayo hayo Chelsea.

Kuna watu wanabet alafu timu ikishindwa wanakuwa frustrated, mwisho wa siku wanataka kuwafrustrate na wachezaji hivyo hivyo. Katika hili Pochetino amejitahidi kuwalinda wachezaji dhidi ya mashabiki wenye frustration zao. Na kadri muda ulivyokuwa unaendelea mashabiki wenye akili washaanza kumuelewa. Ila wazee wa live score na twitter ni vigumu kuwaelewesha.
 
  • Di Matteo alifukuzwa kazi baada ya kumaliza nafasi ya 6 na kushinda UCL
  • Mourinho baada ya kumaliza nafasi ya 5
  • Ancelotti baada ya kumaliza nafasi ya 2 (SECOND)
  • Lampard baada ya kumaliza nafasi ya 4 na katikati ya ban ya uhamisho.
  • Thomas Tuchel baada ya kumaliza namba 3 na kubeba UCL alitimuliwa

Wachezaji kila wakati mpito kama huu waliiimarika na kusonga mbele.
 
Vyanzo vya karibu na McKenna vimeelezea hamu aliyonayo ya kujipa changamoto katika kiwango cha juu zaidi.
Hii ndio point ya msingi ya huyo kocha, huyu hajaangalia project iliyopo Chelsea Ila anaangalia kutengeneza CV yake, sasa hapo kwenye mafanikio kuna 50/50
 
We are on the same page bro. Tatizo la mashabiki wengi wanaipenda Chelsea ila hawaifatilii. Mtu anakwambia tangu Pochetino aje nimeacha kuangalia Chelsea alafu huyo huyo ndo anakuja kusema Chelsea haichezi vizuri. Sasa hauangalii mpira Chelsea unaiona wapi?

Watu hawajui the pressure that comes by coaching a big club like Chelsea. Wanafikiri mtu anaweza kukochi Brentford au Iptswich au Leicester alafu akapata matokeo hayo hayo Chelsea.

Kuna watu wanabet alafu timu ikishindwa wanakuwa frustrated, mwisho wa siku wanataka kuwafrustrate na wachezaji hivyo hivyo. Katika hili Pochetino amejitahidi kuwalinda wachezaji dhidi ya mashabiki wenye frustration zao. Na kadri muda ulivyokuwa unaendelea mashabiki wenye akili washaanza kumuelewa. Ila wazee wa live score na twitter ni vigumu kuwaelewesha.
Karibia wachezaji wote wako nyuma yake kwa kupitia pist zao hasa baada ya taarifa ya Poch kutoka. Wemgi walishaanza kuamini kipo kitu kinaweza kufanyika chini yaPoch na wengi development inaelekea pazuri.

Nikashangaa tena baadhi ya comment eti wanaoumia Poch kuondoka walizugwa na mwendelezo wa timu mechi za mwisho. SMH! Kwan hii si ndio progress yenyewe tunayoililia. Wachezaji wanaoumia Poch kuondoka kwaiyo na wenyewe wamezugwa au?

Wengi tunaipenda Chelsea ila hatufuatilii mpira nje ya kile tunachokiona uwanjani. Nadhani tupanue bongo zetu nje ya uwanja kujua mambo yanaendje nje ya pitch
 
  • Di Matteo alifukuzwa kazi baada ya kumaliza nafasi ya 6 na kushinda UCL
  • Mourinho baada ya kumaliza nafasi ya 5
  • Ancelotti baada ya kumaliza nafasi ya 2 (SECOND)
  • Lampard baada ya kumaliza nafasi ya 4 na katikati ya ban ya uhamisho.
  • Thomas Tuchel baada ya kumaliza namba 3 na kubeba UCL alitimuliwa

Wachezaji kila wakati mpito kama huu waliiimarika na kusonga mbele.
Ndg bado hujaamini kuwa Chelsea ya akina Lampard, Terry, Drogba, Ashley Cole, Peter Zcheck siyo hii ya Disasi, Badiashile, Galagher na Jackson?

Bado haujaelewa kuwa Chelsea ya zamani haikuwa na falsafa ya uchezaji. Uchezaji wa timu ulimtegemea kocha husika. Ila sasa matajiri wanataka possession-attacking based football. Na katika mpira falsafa ya mpira inachukua muda kujengwa.

Bado hauelewi kuwa tuna wachezaji wasio na uzoefu wa EPL kama Enzo, Mudueke, Badiashile, Disasi, Gusto, Jackson, Nkunku?

Je bado hauelewi kuwa kwa baadhi ya wachezaji inachukua muda mpaka kuaddapt intensity ya EPL?

Hivi bado haulewi kuwa msimu huu tumekuwa na wachezaji wengi ambao wamekuwa na majeraha ya muda mrefu? Hivi unajua kuwa maboss walisajili wachezaji ambao ni injury prone kama Gusto, Nkunku, Lavia?
 
Tuchel ni Chelsea ya akina Boehly
Na dalili zinaonyesha kuwa hawa wapya watakuwa worse kuliko hao wa zamani kwenye kuhire and fire
 
Moja ya sababu ya poch kufukuzwa ni njia zake za mazoezi zimeshapitwa na waka
Shida club ya Chelsea mashabiki wengi wanaendeshwa na hisia kuliko akili. Msimu huu kuna wachezaji wameletwa kutoka league nje ya epl mfano Gusto, Disasi, Badiashire, Jackson, Mudryk, Mudueke, lakini ndani ya nusu msimu ameweza kutengeneza timu kutokana na hao wachezaji wasio na uzoefu na EPL.

2. Timu ya Chelsea imefunga magoli mengi sana msimu huu na hata forward walianza kufunga magoli kitu ambacho kilishindikana hapo nyuma tangu aondoke Hazard.

3. Mpira wa Poch ni direct football kuelekea goli. Angalia timu zilizotengeneza nafasi nyingi za kufunga utaikuta Chelsea top 4.

4. Mtu anasema eti nafasi wazi hazikufungwa. Hili ni kosa la kocha? Yaani Nunez asipofunga nafasi ambayo imetengenezwa kwake ni kosa la Klop!?

5. Kulikuwa na mgawanyiko katika dressing room, lakini Poch kaleta stability. Kuanzia Desemba mwaka jana you can sense the spirit of togetherness.

6. Angalia idadi ya injuries katika kikosi chetu alafu linganisha na injuries zilizowapata Man U na Newcastle na uone wako nafasi gani.

7. Poch is highly respected na wachezaji wanaobaki na imeleta shock.

8. Eddie Howe anayekusihwa na Chelsea kamaliza msimu nyuma ya Poch na ana misimu mitatu yuko na timu. Ten Hag ana misimu miwili akiwa na timu .

9. Mwisho tambua kuwa Chelsea siyo Brighton, Brentford au Iptswich. Pressure ya kudeliver ni kubwa na makocha wasio na uzoefu hawawezi kuderiver.

Hivyo alipaswa kupewa msimu kesho na kupewa lengo la kuchallenge Man City na Arsenal then kama angefanikiwa kushika nafasi 3 za juu angepewa lengo la kubabe ubingwa kwenye msimu wake wa tatu.

Watu hasa wanachelsea sijui ni kwa nini hawana uwezo wa kuangalia details za uwanjani?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Result tu sio sababu ya poch kufukuzwa,

Squad profile yetu haendani na profile ya poch?

Ukipata mda Pitia The Athletics kuna sababu pale zilizotolewa kutoka ndani.
Moja ya wapo ya sababu nyingine Poch alitaka team isajili 2 player ya wachezaj ambao ashawah kuwafundisha.

Ziko sababu The Athletics pale wametoa kwa yaliyojiri
 
Tuchel ni Chelsea ya akina Boehly
Na dalili zinaonyesha kuwa hawa wapya watakuwa worse kuliko hao wa zamani kwenye kuhire and fire
Tuchel makocha aina ya Conte ambao wanataka already made players. Kazi yao ni kuassemble wachezaji pamoja na kutengeneza timu ya makombe. Aina ya wachezaji tulio nao, umri wao, inexperience nk wanahitaji mwl ambaye atawpa muda na kuwavumilia. The main reason Poch anaondoka on a mutual consent ni kwa sababu matajiri wanataka kocha atakayehusika na in-pitch management. Hawataki kocha awe na power katik transfers na wanatka akubaliane na wao kwa kila wanachotaka. Kocha anayejielewa hawezi kufnya kazi ya aina hiyo
 
Owners and Management's Message After Hiring Potter

'We are thrilled to bring Graham to Chelsea," said Boehly after Potter's appointment. "He is a proven coach and an innovator in the Premier League who fits our vision for the club. Not only is he extremely talented on the pitch, he has skills and capabilities that extend beyond the pitch which will make Chelsea a more successful club."He has had a major impact at his previous clubs and we look forward to his positive impact at Chelsea. We look forward to supporting him, his coaching team and the squad in realising their full potential in the coming months and years".

Owners and Management's Message After Hiring Pochettino

"Mauricio is a world-class coach with an outstanding track record. We are all looking forward to having him on board," the club said."Mauricio's experience, standards of excellence, leadership qualities and character will serve Chelsea Football Club well as we move forward," Winstanley and Stewart said in a statement."He is a winning coach, who has worked at the highest levels, in multiple leagues and languages. His ethos, tactical approach and commitment to development all made him an exceptional candidate.

"Expected Owners and Management's Message After Hiring a New Manager/Coach
????

Ujumbe wa Wamiliki na Uongozi Baada ya Kumuajiri Poter
'Tuna furaha kubwa kumleta Graham Chelsea,' alisema Boehly baada ya kumteua Potter.
"Ni kocha aliyethibitishwa na mvumbuzi katika Premier League ambaye anaendana na maono yetu kwa klabu. Sio tu kwamba ana kipaji kikubwa uwanjani, ana ujuzi na uwezo unaoenea zaidi ya uwanja ambao utaifanya Chelsea kuwa klabu yenye mafanikio zaidi.

"Amekuwa na impact kubwa katika vilabu vyake vya awali na tunatazamia matokeo yake chanya akiwa Chelsea. Tunatazamia kumuunga mkono yeye, timu yake ya ukufunzi na kikosi katika kuvumbua uwezo wao kamili katika miezi na miaka ijayo."

Ujumbe wa Wamiliki na Uongozi Baada ya Kuajiri Pochettino
"Mauricio ni kocha wa kiwango cha kimataifa mwenye rekodi bora. Sote tunatazamia kuwa naye kwenye bodi," klabu hiyo ilisema.

"Uzoefu wa Mauricio, viwango vya ubora, sifa za uongozi na tabia vitasaidia Klabu ya Soka ya Chelsea vyema tunaposonga mbele," Winstanley na Stewart walisema katika taarifa.

"Ni kocha aliyeshinda, ambaye amefanya kazi katika viwango vya juu zaidi, katika ligi na lugha nyingi. Misimamo yake, mbinu za kimbinu na kujitolea kwa maendeleo vyote vilimfanya kuwa mgombea wa kipekee."

Ujumbe wa Wamiliki Wanaotarajiwa Baada ya Kuajiri Meneja/Kocha Mpya
????
 
Moja ya sababu ya poch kufukuzwa ni njia zake za mazoezi zimeshapitwa na waka

Result tu sio sababu ya poch kufukuzwa,

Squad profile yetu haendani na profile ya poch?

Ukipata mda Pitia The Athletics kuna sababu pale zilizotolewa kutoka ndani.
Moja ya wapo ya sababu nyingine Poch alitaka team isajili 2 player ya wachezaj ambao ashawah kuwafundisha.

Ziko sababu The Athletics pale wametoa kwa yaliyojiri
Nimezipitia ila hata huko nyuma nimesema hapa watu wakabisha kwa kudai kuwa majeruhi yalikuwepo tu kabla yake
Makocha wengi hawaendi na wakati kimazoezi, kimbinu nk. Poche alikuwa kinara
RIGID TO CHNGE hii ndio label yangu nzuri kwake
 
Owners and Management's Message After Hiring Potter

'We are thrilled to bring Graham to Chelsea," said Boehly after Potter's appointment. "He is a proven coach and an innovator in the Premier League who fits our vision for the club. Not only is he extremely talented on the pitch, he has skills and capabilities that extend beyond the pitch which will make Chelsea a more successful club."He has had a major impact at his previous clubs and we look forward to his positive impact at Chelsea. We look forward to supporting him, his coaching team and the squad in realising their full potential in the coming months and years".

Owners and Management's Message After Hiring Pochettino

"Mauricio is a world-class coach with an outstanding track record. We are all looking forward to having him on board," the club said."Mauricio's experience, standards of excellence, leadership qualities and character will serve Chelsea Football Club well as we move forward," Winstanley and Stewart said in a statement."He is a winning coach, who has worked at the highest levels, in multiple leagues and languages. His ethos, tactical approach and commitment to development all made him an exceptional candidate.

"Expected Owners and Management's Message After Hiring a New Manager/Coach
????

Ujumbe wa Wamiliki na Uongozi Baada ya Kumuajiri Poter
'Tuna furaha kubwa kumleta Graham Chelsea,' alisema Boehly baada ya kumteua Potter.
"Ni kocha aliyethibitishwa na mvumbuzi katika Premier League ambaye anaendana na maono yetu kwa klabu. Sio tu kwamba ana kipaji kikubwa uwanjani, ana ujuzi na uwezo unaoenea zaidi ya uwanja ambao utaifanya Chelsea kuwa klabu yenye mafanikio zaidi.

"Amekuwa na impact kubwa katika vilabu vyake vya awali na tunatazamia matokeo yake chanya akiwa Chelsea. Tunatazamia kumuunga mkono yeye, timu yake ya ukufunzi na kikosi katika kuvumbua uwezo wao kamili katika miezi na miaka ijayo."

Ujumbe wa Wamiliki na Uongozi Baada ya Kuajiri Pochettino
"Mauricio ni kocha wa kiwango cha kimataifa mwenye rekodi bora. Sote tunatazamia kuwa naye kwenye bodi," klabu hiyo ilisema.

"Uzoefu wa Mauricio, viwango vya ubora, sifa za uongozi na tabia vitasaidia Klabu ya Soka ya Chelsea vyema tunaposonga mbele," Winstanley na Stewart walisema katika taarifa.

"Ni kocha aliyeshinda, ambaye amefanya kazi katika viwango vya juu zaidi, katika ligi na lugha nyingi. Misimamo yake, mbinu za kimbinu na kujitolea kwa maendeleo vyote vilimfanya kuwa mgombea wa kipekee."

Ujumbe wa Wamiliki Wanaotarajiwa Baada ya Kuajiri Meneja/Kocha Mpya
????
The Next kuwa fired ni hao wakurugenzi.

Huwezi recruit player wanamna flan halaf utafute kocha wa namna nyingine ni ujinga wa hali ya juu.
 
Anasahau De Zerbi kafungwa kila mechi alikutana na Pochetino. Vijana wa Chelsea ni shida. Ukiwa serious na wanachosema utaishia kupoteza nguvu zako bure
Kufungwa sio sababu ya kumfanya kocha aonekane kilaza kuna factor nyingi mkuu.

Huwezi compare Profile ya Brighton na ya Kwetu.

Kwa hiyo Tuchel aliyemfunga Pep game 3 mfululizo unaweza sema anamzidi Pep???

Terdzic aliyemfunga Luis Enrique anamzidi Enrique???

Kufungwa na kocha kuna factor nyingi sana.
Kukaa na kucompare Brighton na Chelsea ni kujitoa ufaham.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom