Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

JAMBO LA MSINGI " CHELSEA SIO TEAM YA KUVUMILIA KOCHA ALIYEIFIKISHA NAFASI YA SITA "
Usiishi kwenye ndoto. Chelsea ya Abramovich siyo hii ya watoto. Akina Disasi, Levi Colwil, Badiashire, Mudryk, Chukwuemeka.

Wamarekani wamekuja na utamaduni mpya kabisa

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Poch hakutaka baadhi ya wachezaji wauzwe kama Galagher na Chaloba ila maboss wanataka kumake profit.

Poch alitaka power zaidi ktk transfer windows ila mabosi wanataka kocha aletewe wachezaji wanaowataka wao maboss.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nenda kasome sababu za poch kutimuliwa The Athletics moja ya source reliable duniani
 
Mnaopenda hii hali ya makocha kutimuliwa mjue hii tofauti kati ya wamiliki hawa na Abramovich

Abramovich alifukuza kocha kwa performance based
Hawa wamiliki wanafukuza kocha kwasababu hawaendani na mradi
Nifafanue ya pili

Akina Todd na Eghbali wanataka kocha ambaye atafuata maelekezo yote yaliyo kwenye Terms of Reference ya project

Barcelona ndio ilikuwa na hii approach ya kuwa na team identity kwenye uchezaji wa timu uwanjani

Changamoto hapa ni kwamba makocha wengi wakubwa wanakuja na style yao ya uchezaji ambao hauendani na wanavyotaka hawa akina Boehly

Hii inadhihirishwa na ukweli kwamba sasa wanataka kocha kijana ambaye akili yake bado flexible haijadumalia kwenye mfumo mmoja

Ndio maana makocha kama akina MOU, Conte hawataweza kamwe kujadiliwa kwenye nafasi hii ya kukochi Chelsea kwa zama hizi.

Kwa maoni yangu hii ni nzuri japo kuitekeleza itakwua na changamoto nyingi sana ya kumpata kocha elite na bado akawa na sifa hizo

PEP Guardiolaanaweza kuwa na sifa hizo ila hapatikani kwa sasa

Xabi Alonso anaweza kuwa na sifa hizo sijui ngoja tuone

Robert De Zerbi anaweza kuwa na sifa hizo ila kwa sasa hatujui

Ngoja tuone
Huwezi kumnunulia wachezaji kocha elite na anayejitambua kama Pep bila consent yake. Usichojua ni kuwa hata bench la ufundi ni la kwake. Huwezi kumpangia nani awe kocha wa set pieces.

Mzee Poch siyo tatizo, tatizo ni ujuaji wa wamiliki

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Watuletee tu yoyote ata wakichukua kocha wa basket, ilimradi sio Poch. Inatosha.
Poch amenifanya nimekua mnyonge sana kitaa manina.
Shida club ya Chelsea mashabiki wengi wanaendeshwa na hisia kuliko akili. Msimu huu kuna wachezaji wameletwa kutoka league nje ya epl mfano Gusto, Disasi, Badiashire, Jackson, Mudryk, Mudueke, lakini ndani ya nusu msimu ameweza kutengeneza timu kutokana na hao wachezaji wasio na uzoefu na EPL.

2. Timu ya Chelsea imefunga magoli mengi sana msimu huu na hata forward walianza kufunga magoli kitu ambacho kilishindikana hapo nyuma tangu aondoke Hazard.

3. Mpira wa Poch ni direct football kuelekea goli. Angalia timu zilizotengeneza nafasi nyingi za kufunga utaikuta Chelsea top 4.

4. Mtu anasema eti nafasi wazi hazikufungwa. Hili ni kosa la kocha? Yaani Nunez asipofunga nafasi ambayo imetengenezwa kwake ni kosa la Klop!?

5. Kulikuwa na mgawanyiko katika dressing room, lakini Poch kaleta stability. Kuanzia Desemba mwaka jana you can sense the spirit of togetherness.

6. Angalia idadi ya injuries katika kikosi chetu alafu linganisha na injuries zilizowapata Man U na Newcastle na uone wako nafasi gani.

7. Poch is highly respected na wachezaji wanaobaki na imeleta shock.

8. Eddie Howe anayekusihwa na Chelsea kamaliza msimu nyuma ya Poch na ana misimu mitatu yuko na timu. Ten Hag ana misimu miwili akiwa na timu .

9. Mwisho tambua kuwa Chelsea siyo Brighton, Brentford au Iptswich. Pressure ya kudeliver ni kubwa na makocha wasio na uzoefu hawawezi kuderiver.

Hivyo alipaswa kupewa msimu kesho na kupewa lengo la kuchallenge Man City na Arsenal then kama angefanikiwa kushika nafasi 3 za juu angepewa lengo la kubabe ubingwa kwenye msimu wake wa tatu.

Watu hasa wanachelsea sijui ni kwa nini hawana uwezo wa kuangalia details za uwanjani?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
MJADALA WAFUNGWA
Conor Gallagher vs Declan Rice katika msimu wa 2023/2024.
Nani ni bora zaidi?
Wanakaribiana katika nyanja nyingi za soka kama vile kugonga, kuachia, kubonyeza, kupiga pasi, kukatiza, kutengeneza nafasi, kulinda na mengine mengi, isipokuwa Gallagher ni bora zaidi kuliko Declan Rice katika pasi za nyuma na faulo alizofanya.

View attachment 2996744
Galagher is no where near Decline Rice.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Enzo Maresca anaibuka mgombea mkuu kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino kama kocha mkuu wa Chelsea kwa sababu anazo sifa kama za PEP.
• Upara kama Pep
• Muonekana kama Pep
• Alifanya kazi na Pep
• Alishinda Championship akiwa na Leicester
• Alishinda PL 2 na Lavia na Palmer
View attachment 2996770
Aisee. Leicester vs Chelsea? Huyo kocha wa timu ndogo hata Abrahimovich hakuwahi kuwafikiria kwenye akili yake

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
McKenna vs Maresca ndo makocha pekee Chelsea imejaribu kuwasiliana nao mpaka sasa kwa mujibu wa Fabrizio
 
Poch hakutaka baadhi ya wachezaji wauzwe kama Galagher na Chaloba ila maboss wanataka kumake profit.

Poch alitaka power zaidi ktk transfer windows ila mabosi wanataka kocha aletewe wachezaji wanaowataka wao maboss.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Pochettino alichimba kaburi lake mapema nadhani kuanzia March
  1. Kwanza alimkataa set pieces specialits
  2. Pili akaanza kulaumu wamiliki kwa usajili na kutompa mamlaka
  3. Tatu aliwashambulia mashabiki na kupoteza muunganiko kati ya timu na mashabiki
  4. Alimsema Mudryk kuwa ni mgumu kufundishika mchezaji ambaye ni wa kimkakati kwa owners
  5. Kumng'ang'ania Gallagher ambaye alikuwa ni mchezaji wa kimkakati kwenye mauzo na pia wamiliki hawakuwa na mpango wa Galagher kuwepo kwenye timu ijayo kwa sababu ya aina ya uchezaji wake
 
Poch hakutaka baadhi ya wachezaji wauzwe kama Galagher na Chaloba ila maboss wanataka kumake profit.

Poch alitaka power zaidi ktk transfer windows ila mabosi wanataka kocha aletewe wachezaji wanaowataka wao maboss.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hapo ndio ujue huyo kocha ni mwehu, wenzio wana kina Saliba na kina Rice, wewe unang'ang'ania kubaki na hizo takataka. Bora De zebr mara 100 kuliko huyo mashavu.
 
Mimi sikumpenda Pochettino kwenye majeruhi ya wachezaji. Nina uhakika wa 70% majeruhi yaliongezewa kasi na mazoezi ya kizamani aliyokuwa akiwapa Pochettino wachezaji. Moja ya sababu ambayo wamiliki hawakupendezwa na Pochettino.
Kocha ajaye aweze kuwatumiwa wachezaji kwenye mazoezi huku tahadhari ikichukuliwa wasiingie kwenye majeruhi yasiyotakiwa

Wachezaji kama James, Fofana, Nkunku na wengine wangeweza kuamua timu iwe nafasi kwenye jedwali la ligigani kama wangekuwa wazima.
Sisemi kuwa majeruhi yote aliyasababisha yeye, ila naamini mazoezi yake hayakuwa rafiki na afya ya wachezaji
 
Mail Sport imeambiwa Thomas Frank hana nia ya kujiunga na Chelsea.

Kieran McKenna kwa upande wake anavutiwa na nafasi ya Chelsea.
- Vyanzo vya karibu na McKenna vimeelezea hamu aliyonayo ya kujipa changamoto katika kiwango cha juu zaidi.
 
Enzo Maresca akielezea kwa nini Inverted Full backs wanatumiak kama mbinu ya uchezaji
Anasema huwa kwa kawaida tunadefend kwa kutumia wachezaji watano, kuwaleta FB ndani ni kuongeza ukabaji katikati ya uwanja
Anasema pia kuwaleta FB ndani wakati timu ina mpira ni kuoverload katikati ili kuwa na wachezaji zaidi ili kuongeza uthibiti wa mpira



FULL VIDEO:
View: https://www.youtube.com/watch?v=qyUu1PN8ELA
 
BREAKING:
Chelsea wameifahamisha Ipswich Town kuhusu nia yao ya kumnunua Kieran McKenna, ndiye mgombea wao wanayempendelea zaidi.
@JacobSteinberg

Wameweka mipango mbadala kwa Enzo Maresca wa Leicester.
 
Licha ya kumsifu hadharani, Pochettino alihoji faraghani ikiwa Enzo Fernandez alikuwa mharibifu vya kutosha kuwa nambari 6 au mbunifu wa kutosha kuwa namba 8.

Caicedo, wakati huo huo, awali alionekana kukosa nidhamu ya kufanya kazi kama kiungo wa kati kabla ya kuja vizuri baadaye msimu.

@TheAthleticFC

Maoni yangu

Enzo alikuwa mbunifu na alicheza vizuri sana wakati wa Potter
Alipokuja Pochettino, alionekana kama mchezaji wa academy, alicheza hovyo hovyo sana hadi Gallagher anaonekana bora kuliko yeye.

Naomba kocha ajaye aweze kumtumia Enzo vizuri sana kwenye role yake bila kuwaacha pembeni akina Lavia, Caiceod, Santos na wengineo.

1716418302047.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom