Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,774
- 40,445
Yaani nimeshangaa sana. Hatujamaliza ligi vibaya sana kihivyo.. ilikuwa mwanzo mzuri kuelekea msimu mpya.Timu ilikua ishajipata tayari chini ya Poch ila Ghafla habari ya kuondoka imewadia, ngoja tuone kocha gani ataenda pale