Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo McKenna sidhani kama anapigiwa upate, kocha anae pewa nafasi zaidi ni RDZ huyu nae bado sana. Kwani Hans Dieter Flick si hana timu?
Unahis Keran McKena anamzidi Poch??????

Tusijidanganye hapo ni kama tutakuwa tunaanza upya
 
Wamiliki sio wanamtafuta kocha anayemzidi Poche, wanataka kocha anayekubaliana na mambo haya
  1. Maono ya project
  2. Approach ya utekelezaji wake
Wanadhibiti approach ya utekelezaji wa mradi ni sporting directors na wamiliki
Sio kocha aje aanze kusema anataka control ya usajili na kitakachomuondoa Pochettino ni hiyo na ametangaza sana kwenye media hadi wamiliki wamechukia

Huu ujumbe kwa Kimombo
The reasons for Pochettino's sacking (If it this happen) are far greater than what we see, hear, and imagine. It is a matter of a conflict of interest between the coach and the owners. It is a matter of differing project vision. These owners are very strict in the way they want this project to be implemented. It is an owner-controlled project, and any coach who comes in must comply with the owner's terms of reference for project implementation and not otherwise.

Kiswahili
Sababu za kutimuliwa kwa Pochettino (Ikiwa hii itatokea) ni kubwa zaidi kuliko kile tunachoona, kusikia na kufikiria. Ni suala la mgongano wa kimaslahi kati ya kocha na wamiliki. Ni suala la kutofautiana kwa dira ya mradi. Wamiliki hawa ni wakali sana katika namna wanavyotaka mradi huu utekelezwe. Ni mradi unaodhibitiwa na mmiliki, na kocha yeyote anayekuja lazima azingatie masharti ya rejea ya mmiliki kwa ajili ya utekelezaji wa mradi na si vinginevyo.
 
Huyo McKenna sidhani kama anapigiwa upate, kocha anae pewa nafasi zaidi ni RDZ huyu nae bado sana. Kwani Hans Dieter Flick si hana timu?
Makocha wanaobashiriwa ni
  1. Ruben Amorim wa Sporting Lisborn na
  2. Kieran McKenna wa Ipswich Town
 
Wamiliki sio wanamtafuta kocha anayemzidi Poche, wanataka kocha anayekubaliana na mambo haya
  1. Maono ya project
  2. Approach ya utekelezaji wake
Wanadhibiti approach ya utekelezaji wa mradi ni sporting directors na wamiliki
Sio kocha aje aanze kusema anataka control ya usajili na kitakachomuondoa Pochettino ni hiyo na ametangaza sana kwenye media hadi wamiliki wamechukia

Huu ujumbe kwa Kimombo
The reasons for Pochettino's sacking (If it this happen) are far greater than what we see, hear, and imagine. It is a matter of a conflict of interest between the coach and the owners. It is a matter of differing project vision. These owners are very strict in the way they want this project to be implemented. It is an owner-controlled project, and any coach who comes in must comply with the owner's terms of reference for project implementation and not otherwise.

Kiswahili
Sababu za kutimuliwa kwa Pochettino (Ikiwa hii itatokea) ni kubwa zaidi kuliko kile tunachoona, kusikia na kufikiria. Ni suala la mgongano wa kimaslahi kati ya kocha na wamiliki. Ni suala la kutofautiana kwa dira ya mradi. Wamiliki hawa ni wakali sana katika namna wanavyotaka mradi huu utekelezwe. Ni mradi unaodhibitiwa na mmiliki, na kocha yeyote anayekuja lazima azingatie masharti ya rejea ya mmiliki kwa ajili ya utekelezaji wa mradi na si vinginevyo.
Sipo upande wa Pochetino,

Hichi kitu cha kuwauza wachezaj walioperform kwa sababu ya pure profit ni ujinga
Chalobah kafanya vizuri kuliko hata disasi ila tunataka kumuuza yeye ni ujinga wa hali ya juu

SD na Wamiliki kuna sehem wanazingua ila sitaki kocha apewe total control
Ya signing maana kitakochotokea ndio yale yale ya kuletewa wakina Anthony kwa sababu tu kocha ni anamtaka yule mchezaji.

Poch nae atulie afanye kazi yake hizo habar za kutaka control ya signing hazipo siku hizi,
 
Kuna wachezaji bado pia ni matakataka yakuuza, huwezi ukategemea mchezaji kama Ghallagar au Challabar wanachojua kuzuia tu, hat kupga pass moja hawawezi.
 
Galagher ameimprove sana, hata kitakwimu amemzidi Rice. Chalobah ni beki na anapimwa kwenye kukaba
wachezaji ambao kwa kweli hatutaweza kuwa nao ni
• Disasi - slow
• Sarr - hajitambui
• Gallagher - best lakini pure profit sake
• Chilwell - majeruhi
• Kepa - hafai
• Broja - hafai
• Lukaku - hafai
• Casadei - punguza mzigo, viungo wako wengi???
• Maatsen hatuna namna
• Datro Fofana - auzwe tu
• Hutchinson - auzwe tu
• Chilwell - majeruhi
• Sterling, anaishia huyo
• Lesley Ugochwuku
 
Ni ipi faida ya kusajili hovyo hovyo kila dirisha? Asilimia kubwa ya hao wachezaji hatujawatumia ipasavyo alafu mara hii wauzwe, inasikitisha sana!

Hii club inaanza kuendeshwa kwa kubahatisha. Tumerudi nyuma hatua mbili De Zerbi na McKenna tunacheza kamari tu.
 
Ni ipi faida ya kusajili hovyo hovyo kila dirisha? Asilimia kubwa ya hao wachezaji hatujawatumia ipasavyo alafu mara hii wauzwe, inasikitisha sana!
Usajili ulifanyika kiholela na kwa fujo, noway lazima waondolewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom