lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Sidhani kama Pochettino kaondoka kwa sababu ya performance based.Mauricio Pochetno kaondoka Chelsea
Kulikuwa na mvutano mkubwa kati ya wamiliki, wakurugenzi na kocha mkuu. Ni kwa manufaa ya klabu.