lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Mnaopenda hii hali ya makocha kutimuliwa mjue hii tofauti kati ya wamiliki hawa na Abramovich
Abramovich alifukuza kocha kwa performance based
Hawa wamiliki wanafukuza kocha kwasababu hawaendani na mradi
Nifafanue ya pili
Akina Todd na Eghbali wanataka kocha ambaye atafuata maelekezo yote yaliyo kwenye Terms of Reference ya project
Barcelona ndio ilikuwa na hii approach ya kuwa na team identity kwenye uchezaji wa timu uwanjani
Changamoto hapa ni kwamba makocha wengi wakubwa wanakuja na style yao ya uchezaji ambao hauendani na wanavyotaka hawa akina Boehly
Hii inadhihirishwa na ukweli kwamba sasa wanataka kocha kijana ambaye akili yake bado flexible haijadumalia kwenye mfumo mmoja
Ndio maana makocha kama akina MOU, Conte hawataweza kamwe kujadiliwa kwenye nafasi hii ya kukochi Chelsea kwa zama hizi.
Kwa maoni yangu hii ni nzuri japo kuitekeleza itakwua na changamoto nyingi sana ya kumpata kocha elite na bado akawa na sifa hizo
PEP Guardiolaanaweza kuwa na sifa hizo ila hapatikani kwa sasa
Xabi Alonso anaweza kuwa na sifa hizo sijui ngoja tuone
Robert De Zerbi anaweza kuwa na sifa hizo ila kwa sasa hatujui
Ngoja tuone