Sisi Nkunku anaumia akikimbia pekeyake nyumbaniMachester city bila Kelvin, ni swa na Chelsea
Acha uchawi mkuuMatumaini yangu Chelsea itashinda mechi zote mbili hili
Hahahaha hii ni noma 🤣🤣🤣🤣Sisi Nkunku anaumia akikimbia pekeyake nyumbani
Enzo huwa hachezi kama namba 10
Sijacheki game kwani Enzo katumiwaje?Leo ndio Poch kamtumia sahihi Enzo
Kivipi embu elezea.Machester city bila Kelvin, ni swa na Chelsea
Ndio maana nikakwambia tunatofautiana namna tunavyoangalia na kuutafsiri. Ila Enzo huwa hachezi namba 10. Mtu wa mwisho kucheza namba 10 vizuri alikua ni Mount. Sasa hivi tuna ingia toka za mara Galagher, Nkunku, Palmer hata Sterling. Sisi hatuna namba 10 mzuri anayeweza kupiga pass za kueleweka hatuna huyoMkuu basi game zetu huwa huwaangalii
Sijacheki game kwani Enzo katumiwaje?
Class is permanent. Sisi hatuna wachezaji wenye class hiyo lakini pia madaktari ni tatizo kubwa pale. Leo hii Pulisic na RLC kule Milan husikii wakiwa majeruhi wanacheza kila leoKelvin De Bruyne amerudi tu kutoka majeruhi na kuleta impact, kafunga goli zuri la kusawazisha na kutoa assist bora kabisa kwa goli la ushindi. wachezaji majeruhi wa Chelsea wakirudi wanahitaji kuadapt na kuwa fit kwa wiki mbili na zaidi
View attachment 2870971
Kwa hiyo Chilwel ndio anacheza LWhalaf nje una mudryk na Colwil bado unamchezesha LB
Halaf lawama wanapewa wachezaji![]()



Class is permanent. Sisi hatuna wachezaji wenye class hiyo lakini pia madaktari ni tatizo kubwa pale. Leo hii Pulisic na RLC kule Milan husikii wakiwa majeruhi wanacheza kila leo
Na hata hao majeruhi wakirud bado tutajamba jamba tu.Hiv mnaona Jinsi Spurs wanavyocheza ??? Kocha wao anamiez 6 kama yule mashavu
No Son,Kulisevski,Madison,Bisouma,Sarr sisi japa kila siku tunalalamila majeruhi je wachezaj ulionao umewatumiaje
Kuna mechi kadhaa kama mbili au tatu hivi Enzo alicheza kama namba 10 na Gallagher akarudishwa nyuma kucheza pivot na aidha Caicedo au Lesley. Na katika hizo mechi ndio Enzo aliboronga ile mbaya, hata baada ya kurudishwa kwenye pivot na Caicedo bado aliendelea kucheza vibaya na majeruhi yakaingia hapo hapo naona hii ya Fulam ndio Enzo anarudi kwenye formEnzo huwa hachezi kama namba 10
Majeruhi imechangia ila na ubovu wa kocha humo hump 50/50Hiv mnaona Jinsi Spurs wanavyocheza ??? Kocha wao anamiez 6 kama yule mashavu
No Son,Kulisevski,Madison,Bisouma,Sarr sisi japa kila siku tunalalamila majeruhi je wachezaj ulionao umewatumiaje
Aliunda tume ya kuchunguza na hadi leo hatukupewa majibu ya tumeToddy anavyopenda kuajiri na kufukuza medical department ingekuwa na shida angeshafukuza wote na kuajiri upya.
Amwage mahela kibao ya usajili halafu wakashinde vitandani? Sio kwa Toddy.
Changamoto ya majeruhi chanzo chake kikuu ni usajili wa injury prone players.
Na wengine kabla hata hawajaacheza mechi wanaumilia huko huko kwenye mazoezi ya PocheWachezaji wetu majeruhi wakirudigi uwanjani wanacheza mechi 1 wanarudi tena majeruhi kuendelea kula mshahara wa bure.