Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Poch anakalili anafikiri kila left back ni winger kama alivyofanya kwa Bale sasa analazimisha kwa Chilwell na MaitsenBora acheze Chilwell, Mudyk anachezaga na vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida.