Je hii ya PEP ina ukweli ndani yake alipokuwa anamuongelea Kelvin, mimi naona kama ni sawa
Pep
"Sehemu ya goli la mpinzani sio mbinu tu, ni kipaji ndicho kinachotakiwa"
"Kevin de Bruyne ni kipaji halisi. Sio juu ya mbinu, ni juu ya kipaji".
Pep
“The final third is not tactics, it’s talent”
“Kevin de Bruyne is pure talent. It’s not about tactics, it’s about talent”.
Hapa sasa naanza kujirudi, Pochettino tunamuonea bure japo ana sehemu yake ya kuandamwa kwa kuchezesha wachezaji nje ya nafasi zao
Ila hili la kutumbukiza magoli wavuni inatakiwa talent kama alivyosema kipara
View attachment 2872353