Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni team effort kama team iliyokuwa coached au ni individual brilliance??
Mkuu hebu acha vichekesho. Yan mpaka tunaongoza kutengeneza nafasi nyingi ni individual brilliance ya wachezaji no coaching efforts? OKAY SAWA, Sasa kama ni individual kwa nini wasiwe brilliant kwenye kuzimalizia hizo nafasi? Kama ni indiviadual kwa nini bado tunaruhusu magoli kila leo?
 
Hata Graham Potter alipokua Brighton alifanya mambo mazuri sana lakini nini kilimkumba alipokuja Chelsea? Unataka kuniambia sasa hivi Company ni kocha mzuri kuliko Poch? What a joke is this

Potter ni vile tu alikuta ligi ishaanza ikawa ngumu ila Kwa Poch no Excuse
Tangu pre season kaanza nayo na hatujui tunacheza style gani
 
Mkuu hebu acha vichekesho. Yan mpaka tunaongoza kutengeneza nafasi nyingi ni individual brilliance ya wachezaji no coaching efforts? OKAY SAWA, Sasa kama ni individual kwa nini wasiwe brilliant kwenye kuzimalizia hizo nafasi? Kama ni indiviadual kwa nini bado tunaruhusu magoli kila leo?
Sure mkuu
 
Chances zipi unazozingumzia mkuu,

Maswali mbona huwa hamjibu, kuna pattern yoyote ile inaonekana uwanjani au inshaallah,Mchezaj yupi kaimprove tangu aje Poch, Why anatumia wachezaji nje ya position,
IMG_1422.png
 
Fulham wamepeleka moto Stanford utadhani wapo kwao.

All in All congrats The Blues kwa +3
 
Hata Graham Potter alipokua Brighton alifanya mambo mazuri sana lakini nini kilimkumba alipokuja Chelsea? Unataka kuniambia sasa hivi Company ni kocha mzuri kuliko Poch? What a joke is this🤔
Wataalamu wa soka wanadai Chelsea ni timu kubwa kocha yeyote au mchezaji yeyote anayekuja hapa anakuwa na presure kubwa mabegani mwake ndio maana hawafanyi vizuri
 
Mkuu hebu acha vichekesho. Yan mpaka tunaongoza kutengeneza nafasi nyingi ni individual brilliance ya wachezaji no coaching efforts? OKAY SAWA, Sasa kama ni individual kwa nini wasiwe brilliant kwenye kuzimalizia hizo nafasi? Kama ni indiviadual kwa nini bado tunaruhusu magoli kila leo?

Ndio maana nakwambia jinsi tunavyoattack o kuzuia hakuna chochote tunachokifanya

Team inayofundishwa vizuri utaona tu jinsi wanavyoshambulia jinsi wanavyojilinda.
 
Hii timu inaishi kwa bahati bahati uwezo sifuri sahemu ya pasi wanabutua sehemu ya kushoot wanapiga pasi. Kocha ndio shati kabisa hana ushawishi wala pattern ya uchezaji
 
Leo tumeanza mechi na mentality sahihi, tumetengeneza nafasi nyingi kuliko Fulam
Ila uzuri wa Chelsea usitudanganye kwa sababu Fulam ndio hawakucheza vizuri, laiti wangeweka ule moto wa Luton, tungelala hii mechi
 
Petrovic ni mzuri kumzidi Sanchez ila kwa kuwa Poch akili zake ziko kwenye mashavu utaona Petrovic anasugua bench kipindi sanchez amepona
 
Hahaha ndio kuforce kila game na bado haileti matunda?
Chief kuna kitu kinaitwa mbinu kwenye mpira, wewe umekariri lazima mchezaji acheze namba yake hiyo hiyo kauka nikuvae.
Wewe Chief kitu gani unaita mbinu
Chilwell kucheza winga wakati tuna mawinga wazuri?
Colwill kucheza LB wakati Chilwell yupo?
Na wote hawafanyi vizuri kwenye hizo nafasi, bora hata kwa hiyo tacti ingeleta matunda sawa ila Colwill amekuwa mzigo pale kwenye LB na Chilwell tangu acheze winga hakuna alichokifanya
Ukweli ndio huo na ujinga mojawapo wa Pochettino ni hiyo
Tactic isipofanya kazi badili gia angani yeye kakariri tu
Colwill akicheza CB anacheza vizuri
Chilwell akicheza LB anacheza vizuri
Mechi nyingi tunapoteza kwa sababu ya hii foolish tactics
 
Chances zipi unazozingumzia mkuu,

Maswali mbona huwa hamjibu, kuna pattern yoyote ile inaonekana uwanjani au inshaallah,Mchezaj yupi kaimprove tangu aje Poch, Why anatumia wachezaji nje ya position,
View attachment 2870646
Sasa hiyo nafasi ya 5 tumeingia kwa individual brilliance ya wachezaji bila effort ya coach? Kwa ufupi wa kikosi na ingia toka ya wachezaji unataka atengeneze pattern ipi ya kueleweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom